Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klop toka dortmund hanaga historia ya kuchukua uefa hata mara moja, ndio maana final ya madrid ilikuwa na gundu balaaa mkapigwa kizembe mnoo

Liverpool mwaka huu hamchukui hata kombe la mbuzii
The only reoson people fail in life, is because they listen to their relatives, friends and neighbours
 
Na mm Sina haja ya kuendelea kulumbana ila Ni huyo city alionekana ana nafasi kubwa % za kuingia nusu fainali dhidi ya tothnm..#MPIRADAKIKA90#
Kaka labda mgeni hapa!
Kuna watu hapa wanawaona City zaidi ya Barca ile ya akina Iniesta!
Sasa Mumgu Mtu wao Pep akitolewa huwa wanaona aibu sana
Liverpool akishinda mechi zake nne zote zilizobaki anakuwa bingwa wa EPL!
City wameisha choka hawa,na "Kane-golaso" angekuwepo wangepigwa hapo hapo Itihad
 
Jana pia Capitane Hendo katoa assist
Assits ya nne mfululizo ktk mechi nne
Hendo kawa mzuri sana kwa role mpya aliyo pewa
Mafanikio haya ya Hendo kwa Liverpool kuna watu hapa wanachukia sana!
 
Kaka labda mgeni hapa!
Kuna watu hapa wanawaona City zaidi ya Barca ile ya akina Iniesta!
Sasa Mumgu Mtu wao Pep akitolewa huwa wanaona aibu sana
Liverpool akishinda mechi zake nne zote zilizobaki anakuwa bingwa wa EPL!
City wameisha choka hawa,na "Kane-golaso" angekuwepo wangepigwa hapo hapo Itihad
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Mungu mtu wao Pep
 
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Mungu mtu wao Pep

Wanamuona Mungu-Mtu wa soka wkt anabahatisha huyu!
Toka atoke Barca mwaka wa 7 sasa team tofauti hamna CL hata nusu final!
Walimfukuza Pelegrin aliyewapa EPL na nusu final ya UCL,watamuachaje Pep ambaye kawapa tu EPL ambayo hata Mancin aliwapa?

Jiandae kwa party tunachukua EPL labda tushindwe wenyewe tu kwa hizi mechi nne
 
Hahahahahahahahah

Walisema kama Spurs anatolewa na Man City kiurahisi sana tena kwa kupigwa home and away,haijawa hivyo!

Sasa wanakuja na ngonjera zisizo na back up yyt ya kisayansi kama Spurs anafungwa week hii,hawa ‘watabiri’ wapuuze tu mkuu!
 
Of course not.. Coutinho tumemsajili kukipa nguvu kikosi kilichofeli mwaka jana.. So we are going for a treble
What?

So, Is this not History? Use your mind to think before bringing your trash kwenye thread
 
Klop toka dortmund hanaga historia ya kuchukua uefa hata mara moja, ndio maana final ya madrid ilikuwa na gundu balaaa mkapigwa kizembe mnoo

Liverpool mwaka huu hamchukui hata kombe la mbuzii
Msimu huu.wameimarika sana, kila idara, hivo wana asilimia kubwa kuondoka na silverware zote mbili au moja wapo , naona ya EPL ndio rahis zaid, maana mech mbili zijazo za city...kuna moja atasare,,
 
Msimu huu.wameimarika sana, kila idara, hivo wana asilimia kubwa kuondoka na silverware zote mbili au moja wapo , naona ya EPL ndio rahis zaid, maana mech mbili zijazo za city...kuna moja atasare,,
Ili mchukue ubingwa man city apigwe kabisa ,vinginevyo epl mtaisikia kwenye bomba
 
Ili mchukue ubingwa man city apigwe kabisa ,vinginevyo epl mtaisikia kwenye bomba
Mkuu mm ni arsenal fan, ila nimezungumzia uhalisia uliopo, Kwa mech zilizobaki kwa Liverpool sion akipoteza wala kutoa sare hata mech moja, man city ana nafas ya kudrop point. ,kumbuka man u hana chakupoteza tena hata Tottenham, maana wasipokaza msimu ujao watakuwa futuhi, hivo tarajia ktk mech hizi mbili kuna sare moja ambayo itakuwa advantage kwa liver,

Man u watafia uwanjan hiyo mechi, maana madhara ya kutokucheza UCL kwao ni makubwa sana
 
Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno

Barca tunapiga mpaka anachakaa

Our biggest threats walikua manure, man city na totts

Hawa wengine jiandae kutusifia
Una kikosi dhaifu kiasi gani mpaka Manure wawe tishio?

Barca hajawa mzuri ugenini ila home anabadilika mno.

Wanaosema Barca hawezi kumtoa Liva nakubali, ila Messi anaweza.
 
Mkuu mm ni arsenal fan, ila nimezungumzia uhalisia uliopo, Kwa mech zilizobaki kwa Liverpool sion akipoteza wala kutoa sare hata mech moja, man city ana nafas ya kudrop point. ,kumbuka man u hana chakupoteza tena hata Tottenham, maana wasipokaza msimu ujao watakuwa futuhi, hivo tarajia ktk mech hizi mbili kuna sare moja ambayo itakuwa advantage kwa liver,

Man u watafia uwanjan hiyo mechi, maana madhara ya kutokucheza UCL kwao ni makubwa sana
Sare ya wolves haujaiona?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom