Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Cc: KING NGWABA,MOSDEF,CAPT & CO.. mmeanza kuniudhi huku kuandika kwenu post kwa kiswahili matokeo Yake watoto wa mtogole wasiojua mpira Zaid ya vigodoro mnawajaza humu,rudin kwenye lugha tu malkia muone tunavyokuwa shwari na wachache..

NASEMA HIVI KWA HII BARCELONA ILIYOBONDWA ZAIDI YA MARA MBILI TATU KWENYE LIGI YAO,ASUBUH NA MAPEMA WANALIVERPOOL TUNAWEKA MPIRA KATI..UWEZO WA SUAREZ(MWANETU),COUTHINO SIO WA KUPAMBANA NA DAMU ZA MOTO VVD&CO,!!!MESSI HAKUNA ANAEBISHA BADO MPIRA UMO ILA SIDHANI KAMA ATACHEZA PEKE YAKE MECHI ZOTE MBILI..MAN NI DHAIFU TENA DHAIFU KWELI KWELI..HUWEZI MUEKEA MESS BEKI SMALLING,JONES SIJUI FRED HALAFU UTEGEMEE MATOKEO...INAWEZEKANA SUAREZ ATASAAFU SOKA MAANA NAONA KABISA ATANG'ATA MTU SIKU HIYO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good win

Kuanzia Nou camp bonge la advantage final is ours

Siipendi VAR ila Jana against city, hahaaa iendelee kutumika

Still upepo upo kwetu Klopp akichanga karata vizuri PL & UEFA zinatua Anfield
Unapigwa nou camp na anfeild vile vile hao hakuna nyumbani wala ugenini wanaupiga mwingi tu

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Liver hana ubavu wa kuifunga barcelona, PERIOD.
Tuache hizi ndoto za ajabu ajabu kuwa liver atamfunga na kumtoa barca. Safari ya liver imefika tamati. Wanapigwa nje na ndani.
Muda ukifika ndio utaamua,tusipoteze muda kubishana humu
 
Ranked! The 5 best centre-backs in the world

5. AYMERIC LAPORTE (MANCHESTER CITY)

4. SERGIO RAMOS (REAL MADRID)

3. KALIDOU KOULIBALY (NAPOLI)

2. RAPHAEL VARANE (REAL MADRID)

1. VIRGIL VAN DIJK (LIVERPOOL)

FOURFOURTWO.COM
No AJAX player?
 
VVD alaianza kushangilia goal la King Salah kabla hata hajatikisa nyavu! He knew it all before! Hahah
IMG_20190418_103346_662.jpeg
 
Unapigwa nou camp na anfeild vile vile hao hakuna nyumbani wala ugenini wanaupiga mwingi tu

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno

Barca tunapiga mpaka anachakaa

Our biggest threats walikua manure, man city na totts

Hawa wengine jiandae kutusifia
 
Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno

Barca tunapiga mpaka anachakaa

Our biggest threats walikua manure, man city na totts

Hawa wengine jiandae kutusifia
Huenda ikiwa ulichoandika ni kweli...ila umeandika ki-Man U zaidi yani full dharau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom