Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fabi hio kazi akipewa anakaba mpama kivuli...Barca kuwafunga ni kuhakikisha mipira kwa Messi haimfikii kamwe maana ndogo ni master pass ukiacha pia mfungaji...

wao hutumia pia mabeki wa pembeni kama sasa kupeleka mashambulizi ukiangalia assist za Jordi utaona umuhimu hivyo ni kama vile tunacheza mfumo sawa hii game ita balance sana...

uzuri sisi hatuna nani azuiwe ili watufunge sisi ni mazima kwenda mbele mazima kurudi kuzuia...

hawa naona wakifa mbio za Mane na Salah pale mbele zitawachanganya...
Messi hawezi zuiwa na uyo shoga mwenye upara
 
Timu yetu ina morali ya hali ya juu,na uhakika tutacheza kama unit,huku messi akikabidhiwa fabinho,fainali mpaka ubingwa nauona huu hapa
Hahahaha mkikaba Messi busquet king of disguise passes atamlisha Suarez na magori yataingia siku ya kumuona Allison kuwa ni karius imewadia
 
Majogoo wa kike wanavyodanganyana watamtoa Barca ni Sawa ni kama wanavyodanganyana kuwa VVD. Ni beki Bora ujinga mtupu
 
Mungu Mtu wenu OUT tena CL!
Mliwahi sema hapa Barca na Loverpool zikiungana hamna mchezaji wa Liverpool atapata nafasi!
Kabla ya kukutana na Barca napenda kujua,je ile kauli yenu uchwara bado mnaisimamia?
 
Cc: KING NGWABA,MOSDEF,CAPT & CO.. mmeanza kuniudhi huku kuandika kwenu post kwa kiswahili matokeo Yake watoto wa mtogole wasiojua mpira Zaid ya vigodoro mnawajaza humu,rudin kwenye lugha tu malkia muone tunavyokuwa shwari na wachache..

NASEMA HIVI KWA HII BARCELONA ILIYOBONDWA ZAIDI YA MARA MBILI TATU KWENYE LIGI YAO,ASUBUH NA MAPEMA WANALIVERPOOL TUNAWEKA MPIRA KATI..UWEZO WA SUAREZ(MWANETU),COUTHINO SIO WA KUPAMBANA NA DAMU ZA MOTO VVD&CO,!!!MESSI HAKUNA ANAEBISHA BADO MPIRA UMO ILA SIDHANI KAMA ATACHEZA PEKE YAKE MECHI ZOTE MBILI..MAN NI DHAIFU TENA DHAIFU KWELI KWELI..HUWEZI MUEKEA MESS BEKI SMALLING,JONES SIJUI FRED HALAFU UTEGEMEE MATOKEO...INAWEZEKANA SUAREZ ATASAAFU SOKA MAANA NAONA KABISA ATANG'ATA MTU SIKU HIYO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha mkikaba Messi busquet king of disguise passes atamlisha Suarez na magori yataingia siku ya kumuona Allison kuwa ni karius imewadia

Barca HAWEZI mtoa Liverpool huyu
Kama tunapenda majina ya team sawa
 
Sasa kwa viungo wenu fabinho, milliner, Henderson na keita kabisa wapo tayari kupambana na Sergio, rakitic na fundi mdogo arthur melo...

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Majogoo wa kike wanavyodanganyana watamtoa Barca ni Sawa ni kama wanavyodanganyana kuwa VVD. Ni beki Bora ujinga mtupu
Ranked! The 5 best centre-backs in the world

5. AYMERIC LAPORTE (MANCHESTER CITY)

4. SERGIO RAMOS (REAL MADRID)

3. KALIDOU KOULIBALY (NAPOLI)

2. RAPHAEL VARANE (REAL MADRID)

1. VIRGIL VAN DIJK (LIVERPOOL)

FOURFOURTWO.COM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom