Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duuuh! Hahahahah
We will do the ‘hard way’
Liverpool way
Down to the wire
Mechi hii ilikuwa ngumu sana,Everton wameingia kuharibu tu lkn Salah ndiyo katuua zaidi
Mechi hizi nne ndiyo zitatoa bingwa wa EPL
Liverpool vs Spurs vs Chelsea
Man City vs Spurs vs Man U
Tuna advantages kubwa sababu sisi ndiyo tutaanza kucheza na hawa wawili!
Bado nina imani kubwa sana!!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man city-Watford on Saturday, city lazima aondoke na point 3....mark my words! Ntaifufua hii comment
Chief..!
Walichokifanya Liverpool kitawagharimu sana..!
Man City alishakuwa kama ni jambazi aliyevalishwa kitanzi tayari kwaajili ya kunyongwa,alikuwa ameshakata tamaa,lakini ghafla anajikuta yupo juu ya farasi na shotgun mkono wa kulia,nadhani unajua nini kitafuata hapo..!
Mimi ninaamini baada ya kupoteza mechi dhidi ya Newcastle wachezaji wa Man City walishakata tamaa kabisa ya kuipita Liverpool,lakini sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama moja wakiwa na idadi inayofanana ya mechi zilizobaki..!
Chochote kinaweza kutokea,ila kwa kocha na wachezaji aliokuwa nao City,sisemi kitu ngoja tujionee wenyewe..!
 
Kuna siku niliwahi kuwaambia hawa, unamsajili Shakir akusaidir nini.? Walinijia juu sana ooh kacheza Bayern, sijui kapita huku na kule. Nikawaambia haya tusubiri tuone atawapa nini.

Bado nasubiri maajabu ya Shaqiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata nao hawafikirii toka buyern kwenda inter then stoke city kuna mtu humo? shaqir sijawahi kumuani hata siku moja aliotea goli za mbabatizo dhidi yetu basi kuna lingine hapo mkuu?

Angekuwa daraja la juu huwez kuporomoka hivyo yaani had inter kachemka ina maana roma,napoli,lazio na ac milan +juve hawakumuona anapoondoka bure au wale wakina torino na udinese hawakumuona?
 
Kuna siku niliwahi kuwaambia hawa, unamsajili Shakir akusaidir nini.? Walinijia juu sana ooh kacheza Bayern, sijui kapita huku na kule. Nikawaambia haya tusubiri tuone atawapa nini.

Bado nasubiri maajabu ya Shaqiri

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ndugu yangu kama kocha hampangi impact yake itaonekana vipi...anyday nitamchukua Shaqir mbele ya Hendo or Milie
 
Hiki kitu wengi kinawaacha mdomo wazi
Jana kocha katuangusha vibaya sana, kweli unatafuta ushindi halafu unapanga viungo walinzi wote? kanimaliza alivyomtoa Gin na kumuingiza Milner nikajuwa jamaa hayuko serious. nilitegemea kuongeza viungo washambulizi Shakir na Keita. pale acheze Fab au Ander hawawezi kuwa wawili pamoja, na mimi nasema Fab acheze captain ni back up tu. sasa tuombe kudra tu maana huwezi kushinda league na Ander kama Midfilder pass zake ni kama robot. nampenda Klopp lakini kwa jana hapana huyu mzee atatupa ugonjwa wa moyo kwa kweli. tactic alikuwa wrong 100%
 
Liverpool fans FURIOUS with Jurgen Klopp's team selection 'boring bland midfield'
LIVERPOOL fans are FUMING at Jurgen Klopp’s midfield selection for the Reds’ crunch Merseyside derby against Everton.
But Jurgen Klopp’s decision to play Fabinho, Georginio Wijnaldum and Jordan Henderson as a three in midfield for the big match, hasn't gone down well with Liverpool fans.
Naby Keita, who has impressed in recent weeks, is the notable omission from the side that’s left Reds supporters reeling.

Here are some of the best responses, to the news, on Twitter:

One wrote: “Poor midfield selection.”

Another agreed, tweeting: “Genuinely don’t get why he’s keeping Keita out the side. The guy finally gets playing well and into a good rhythm and then he takes him out for 3 games in a row. It’s absurd.”

One noted that the selection could be a positive or a negative: “Hendo and Fabinho well it can go two ways either spectacular or we don’t get much.”

One user wrote: “I swear klopp love hendo so much why he can't give Naby his chance.”

Another social media user even went with James Milner in their midfield, tweeting: “It should’ve been fab gini keita or fab gini milner.”

Someone else questioned what Keita had to prove to Klopp, writing: “What has Keita need to do to start?
And finally, one tweeted that Henderson was “useless”: “This is honestly getting tiring. Boring bland midfield . Hendo is useless in these games.”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom