Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

2008-2009 we lost the EPL to Manu like this,
1) Three successive draws at the turn of the year meant Manchester United caught Liverpool

2)Liverpolol lost 2–0 to Midlesbrough at the end of February and dented the hopes of winning the league.

3)After the loss, Liverpool won ten of their final eleven matches, which included a 4–1 victory over Manchester United.

The run was not enough to overhaul United and they finished four points behind in second place.

2014-2015 we lost the league to Manciti like ths
1) 0–2 home defeat to Chelsea

2) 3–3 draw away to Crystal Palace

3)Those two result made Liverpool finishing second on the final day, behind champions Manchester City by just two points. This represented the closest checkpoint the club had come to winning the league title since 1990.

Je msimu huu tutaboa au ndio tunaedeleza haya ya kuunusa ubingwa na kuukosa, bado gemu chache sana 9 tu za kusuka au kunyoa.
 
Chief..!
Walichokifanya Liverpool kitawagharimu sana..!
Man City alishakuwa kama ni jambazi aliyevalishwa kitanzi tayari kwaajili ya kunyongwa,alikuwa ameshakata tamaa,lakini ghafla anajikuta yupo juu ya farasi na shotgun mkono wa kulia,nadhani unajua nini kitafuata hapo..!
Mimi ninaamini baada ya kupoteza mechi dhidi ya Newcastle wachezaji wa Man City walishakata tamaa kabisa ya kuipita Liverpool,lakini sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama moja wakiwa na idadi inayofanana ya mechi zilizobaki..!
Chochote kinaweza kutokea,ila kwa kocha na wachezaji aliokuwa nao City,sisemi kitu ngoja tujionee wenyewe..!

👍
 
Asalam Wakubwa

Ukitazama kwa upeo wa mbali kwa sababu anazozitoa Klopp baada ya matokeo hasi (suluhu au kupoteza) unapata wasi wasi mkubwa sana kama kweli kuna cha kushinda kutoka kwake.

Kusingizia Upepo? vs klabu kama leicester duh.! Inaogopesha haswa.

Kuwaogopa waingereza kume(ta)mpoza Klopp.Anapaswa kuchukua maamuzi magumu mno.

Wengi tulipatwa na ka mshtuko Milner anasimamishwa Lallana alafu Shaqiri & Keita hawajapasha misuli, Mhh unapatwa na dukuku uzungumze na Shaq ujue kama wanaugomvi na JK.

Anyway binafsi ninasema

LUCKY CAN WIN US THE TITLE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku niliwahi kuwaambia hawa, unamsajili Shakir akusaidir nini.? Walinijia juu sana ooh kacheza Bayern, sijui kapita huku na kule. Nikawaambia haya tusubiri tuone atawapa nini.

Bado nasubiri maajabu ya Shaqiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Xhaqiri ana Impact kubwa Sana uwanjani kuliko Midfielder yoyote kwa Waliocheza Jana.. Lakini kuna Waingereza wenye timu Lallana, Milner, Hendo na Sturridge wamemzuia kupata nafasi, sasa kama hapewi nafasi unategemea nini?

Siku akipewa nafasi basi msaada wake unaonekana kwenye Kuassist na Kufunga
 
Umesema vyema

Maana nafasi alizopewa kafanya njema sana.

Hauwezi kusubiri mwanajeshi apigane akiwa kambini bila kwenda kwenye battle field.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana hamumtak klopp mnataka arud lojaz?
FB_IMG_1551690404979.jpeg
 
Asalam Wakubwa

Ukitazama kwa upeo wa mbali kwa sababu anazozitoa Klopp baada ya matokeo hasi (suluhu au kupoteza) unapata wasi wasi mkubwa sana kama kweli kuna cha kushinda kutoka kwake.

Kusingizia Upepo? vs klabu kama leicester duh.! Inaogopesha haswa.

Kuwaogopa waingereza kume(ta)mpoza Klopp.Anapaswa kuchukua maamuzi magumu mno.

Wengi tulipatwa na ka mshtuko Milner anasimamishwa Lallana alafu Shaqiri & Keita hawajapasha misuli, Mhh unapatwa na dukuku uzungumze na Shaq ujue kama wanaugomvi na JK.

Anyway binafsi ninasema

LUCKY CAN WIN US THE TITLE

Sent using Jamii Forums mobile app
now to win th title we have to pray Citi to draw or lose at most in th next games remaining...

from leading wt 7 points to be behind Citi is unacceptable bt that th reality

Klopp amepanic kuliko wachezaji ndio maana kila kukicha ni sababu za ajabu ajabu...hivi akisema i got th tactics wrong with my team selection atakua kakosea nini...

Sarri has the balls kusema wachezaji wake wen they are losing,

Murinyo pia had th chest ku point wachezaji waliosababisha afungwe etc...

sasa klopp na huyu wa Spurs ni waoga,..call a spade a spade n utakua huru sio kuogopa upepo barafu thats pathetic..
 
But Klopp has won more HUGS than Pep. I think that is their big difference.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha useless hugs wen we ending th season empty handed...now we turn to be th ramli guys kumuombea Citi mambaya...

Citi wamecheza gemu 10 zaidi ya sisi na bado wanatupeleka mchakamchaka...ingekua bora tupate hata Carabao cup or FA cup na sio kuweka nguvu kwenye ligi nako tumechemka vimbaya...

for the first time i wish mmiliki angekua Roman maana huyu kiumbe angeshasepa siku nyingi...

we are going down from Jan n sitoshangaa kumaliza ligi nafasi ya tatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom