I blame Klopp and FSG kwa club kutokuwa na enough quality depth,
but, to be honest i dont care what City are doing kwenye EFL and FA, as its so evident kuwa their squad is bigger and better than ours..
better to focus kwenye eneo ambalo tuna matumaini nalo zaidi msimu huu, na pia ni eneo ambalo tumeanza nalo vizuri sana.
nobody knew that we'd compete this year kulingana na ubora wa wachezaji tulionao kulinganisha na City or even Spurs, but here we are leading the league, instead of complaining kuhusu kutolewa kwenye FA Cup tunatakiwa kuwa reasonable na kuangalia kama kikosi chetu kingeweza kustahimili 3-4 competitions at once, we're heading kwenye game ya Brighton huku tukiwa tunajiuliza if our number 6 or 16 year-old boy mmoja wao anaweza kuwa partner wa VVD siku hiyo, meanwhile Pep anaumiza kichwa game ijayo nani aanze kati ya Laporte/Stones/Kompany/Otamendi, and angalia idadi ya games alizocheza Otamendi this season, shows how equipped they are.
we all wanted Klopp to stop being a coward na kuwa mwepesi kufanya maamuzi magumu, now amefanya maamuzi magumu ya ku-opt kwenye League tu, so why are we complaining? wakat tunamuhitaji Klopp si ndiyo tulikuwa tunataka hii mentality? anaionesha now, so lets back him for once, Salah/Firmino/Mane/Allison/Fabinho/Keita etc they wont be convinced to stay at LFC kwasababu ya FA cup medals,
biggest Klopp critique and moaner, but i'll support him on this one.