Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

VVD NI Mzigo wa mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani kwako mkuu....yaani watu wana balaa yaani wanajiona wanajua kuliko kocha anayeshinda na wachezaji muda mwingi na kujua strength na weakness zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa ni wa kupuuza tu
Huwa nacheka sana mtu yupo Kimbiji huko wala hajui week hii wachezaji wamekuwa vipi anaonyesha yy anajua kuliko Klopp!
Upuuzi mtupu
 
Hivi nikweli kuna mtu aliamini tunaweza kumaliza ligi bila kufungwa?
Inawezekana ila sio lahisi hivo kwa ushindani wasasa
Tunaweza kupoteza tena

Ila hata wapinzani watapoteza tena

ONCE A RED ALWALYS A RED
 
Ohooo poleni Sana ila ndiyo matokeo.

Mnakikosi kizuri...klopp anatakiwa achezeshe mfumo wa 4:2:3:1
Robertson
VVD. Fabinho. Shagiri
Gomez. Gini/Keita. Firmino. Salah
AAT. Mane

Happy Mambo yatakuwa supa na tutakuwa tunawaachugulia tu hao majogooo. Ox akirudi anachukuwa namba ya Gini/Keita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa mzima kweli?

Inabidi ajue hizo midfielder zenu hapo juu hazipati namba hata hapo Tottenham, mna mido za kawaida mno na ndio maana nawashangaa wanaomponda Klopp maana ni sawa na mtu anayepita katika moto lakini haungui.

Mkuu kwanza Naomba utofautishe Kuponda na Kukosoa.

Then utafahamu kuwa hatupondi Bali tunakosoa..

Asiyetaka kukosolewa ni Jiwe pekee.

Turudi kwenye Mada.

  • Hivi mwenye wajibu wa kusimamia wachezaji na kujua udhaifu wao ni nani Kocha? Magazeti?
  • Sasa kama Mido yetu ni mbovu Je tukamlaumu Raisi Magufuli?
  • Sasa unatushangaa nini Kumlaumu Klopp wakati yeye ndiye responsible wa Performance ya timu?
  • Kama Mido ni Mbovu basi yeye kama Kocha atafute iliyo nzima kwani ndiyo Jukumu lake.
 
Mimi nilikuwa sijui kama bado mbwa jike akiwa kwenye "heat", wanahangika kutafuta mbwa dume,hata nnje ya mitaa yao.
Naona kuna "wenzi" hawachoki kutafuta "marijali" wa mitaa ya "majogoo". Kutwa kuchwa ni kunukuuu wanaume tuu.
 

Hii comment imenipa uhai leo! Inafaa iekwe katika Kumbukumbu za Anfield ili Klopp aione
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…