Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwasasa TAA si bora Liverpool tu! Bali ni Best Right Back EPL nzima!

Anaebisha na Abishe Mimi ziwezi kunishana nae.

Kuweni wakweli vijana Hivi huyo TAA anamzidije uwezo kieran Trippier au Cesar Azpilicueta au Luke Shaw au Wan Bissaka

Nataka na napenda kuwa mshabiki wa Soka na sio ushabiki upofu
 
Mbio za ubingwa zitakuwa wazi zaidi Leo baada ya city kunipigia vijogoo

Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka hapa mbio na tamuu maana naona hata St Marys wanawatoa jashoo hivyo nyie tena kwenye ubingwa naona mmepotea kimtindo tukutane msimu ujao tena EPL....

alikuja kwa kasi sana bwana Sirloser naona sasa bila kusajili mta suffer sanaaaa

leo Pep yupo na presha na Pep akiwa na presha huwa anapigika, pona yake labda tupate kadi nyekudu( i forbid) kama gemu ileeeee hapo anaweza kujitafutia ushindi...

UCL alipigwa nje ndani na alikua na presha hivi hivi hivyo na leo mapema tunachukua pointi zetu swafi 3

YNWA..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom