Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo jamaa mzima kweli?

Inabidi ajue hizo midfielder zenu hapo juu hazipati namba hata hapo Tottenham, mna mido za kawaida mno na ndio maana nawashangaa wanaomponda Klopp maana ni sawa na mtu anayepita katika moto lakini haungui.
 
Kwaiyo walio mchagua walikuwa wendawazimu sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next 5 games lfc

Brighton A
Crystal H
Leicester H
Westham A
Bournemouth H


Next 5 games man city

Wolves H
Huddersfield A
Newcastle A
Arsenal H
Chelsea A


Kama tukizichanga karata zetu vizuri bila tatizo tunaweka gape zuri kabisa lingine

City kuna 3 games anapoteza hapo clearly
 
Mkuu its always start like that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari nyingi huwa zinaanza na tetesi ndio maana sijaona habari za fekir katika web ya Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasa TAA si bora Liverpool tu! Bali ni Best Right Back EPL nzima!

Anaebisha na Abishe Mimi ziwezi kunishana nae.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawezi kuwa bora hata hapo Liverpool mkuu, huyu alicheza kwa kiwango kizuri sana msimu uliopita ila kwa sasa dogo katumika sana amechoka Jana ndio alikuwa chochoro na hili linaenda kumkuta na Robertson maana anatumika sana,kwa sasa Trent huwez mfananisha na clyne hapo liver so usimuoverrate kihivyo dogo kafulia hana tofaut na berellin wangu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…