Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

√ Alison is Ok to be ahead of Ederson
√ VVD na Laporte no Comment
√ Walker sikuhizi kwenye defence is shit, Kwahiyo TAA deserved to be ahead of Walker.
√ Iwapo Mendy yupo fit free from injury basi ninamueka ahead of Robertson! Lakini kwasasa Mendy ni injury basi Robertson anadeserve kuwemo kikosini.
√ KDB, Fernandinho and Silver hao hapana mjadala wa kuwepo kwao ukilinganisha na Midfielders wetu.
Wanastahiki kuepo hapo kwa 100%.
√ Aguero is Ok to be ahead of Firmino
√ Salah no discussion
√ But I doubt Mane to be ahead of Sterling
I think it's the way Klopp plays them that makes them look better individually...... he sets the team up to suit the strengths of individual players.

mathalani Salah.... akidanganyika kwenda La Liga huo ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa umaarufu wake.
 
Line Up yangu ya Leo:

MANE-BOBBY-SALAH

MILNER - FABI - GINI

ROBO-VVD-LOV-TAA

ALISSON
Iwapo Milner hatakuwa fiti enough kucheza basi namueka Hendo acheze kama Namba 8.

Na mapendekezo ya Game plan yangu ni kwenda na Mentality ya Kutafuta Draw huku nikiipanga timu kwa Kaunta ambayo nitakuwa na mkakati kwa FABINHO na SALAH kwenye Kaunta.

Fabinho nitampa kazi ya kuanzisha Mashambulizi ya Kaunta Kwa Kupiga mipira mirefu kwa Salah.
Man City mids are just too swift technically and we need an animal in Hendo to tighten and toughen things up there and I think Klopp may opt for him tonite. just like vs Napoli last time out.

granted....technically speaking, Fabinho is miles ahead of Hendo but if you want to become too technical vs Man City's midfield swifters, boy you'll be playing right into Pep's waiting hands.
 
I think it's the way Klopp plays them that makes them look better individually...... he sets the team up to suit the strengths of individual players.

mathalani Salah.... akidanganyika kwenda La Liga huo ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa umaarufu wake.
kabisa individual briliance we might be behind City bt how Klopp has clicked this lads to play as a unit is the masterpiece...
 
Waamuzi wa leo vs Manshit ndio hawa hapa,
Referee: Anthony Taylor
Assistants: Gary Beswick, Adam Nunn
Fourth official: Martin Atkinson
 
Mkuu Milly kucheza RB leo vs City ni kujitafutia kipigo maana kwa pace ya Sterling or Sane atakimbiza upepo...

Aidha apangwe TAA or Clyne, Milly apangwe midfild tu.

Mkuu kuna watu kwenye Mpira wanaangalia only one Factor na si mile Mchezaji anacho offer kwa upande wa pili.

Hivi mtu haangalii Pace ya Leroy Sane winger ya kushoto?
Kwa Pace ya Sane kumuekea Milner ambaye umri hauwezi kumpa tena pace ni kujitafutia majanga tu!

Nakuhakikishia Watapata Penalty Kick mapema sana.

Kwani Milner hana uwezo wa kumkimbiza Sane
 
BREAKING NEWS.

Nasikia leo David Silva kaamka na tumbo la kuhara kwa hiyo hatacheza. Halafu Aguero kaamka na chongo kwa hiyo mnaweza kuanza kupumua. Hizi ndio habari njema kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hatujawahi kuwafunga wakiwa na hao wachezaji au?
Chelshit kwa kujifariji

Hivi Jana vs Soton mulitoka ngapingapi? 😀😀
 
Today
IMG_20190103_133414.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom