Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
Droo ya Southampton imekuvuruga na muda sio mrefu Mtaa wa 6 utakuhusuBREAKING NEWS.
Nasikia leo David Silva kaamka na tumbo la kuhara kwa hiyo hatacheza. Halafu Aguero kaamka na chongo kwa hiyo mnaweza kuanza kupumua. Hizi ndio habari njema kwenu. [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app