radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hamna timu walaiyokutana nayo sio nyepesiARNOLD HASTAHILI KUCHEZA LIVERPOOL HATA KUKAA BENCHI HASTAHILI CHEZAJI LISENGE LISENGE
Hamna timu walaiyokutana nayo sio nyepesiARNOLD HASTAHILI KUCHEZA LIVERPOOL HATA KUKAA BENCHI HASTAHILI CHEZAJI LISENGE LISENGE








Wakuu King Ngwaba Don Clericuzio AdvocateFi na wengine,nawapa pole kabisa maana najua mtakuwa na huzuni sana baadae.
Angalau umenyoosha mikono juu mwenyewe. Umebaki na kibarua cha kumpiga Man U sasa maana najua lazima watanunua beki this winter transfer. Na hata Chelsea akipata striker na beki mmoja atakusumbua sana.Tukubali tu kuwa tumeshaliwa hii game kwani shida iko wapi? si refa auvunje tu mpira Man City waondoke na ushindi
Chelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazojua kutoa bikra uingereza.Firminoooooo
Hii game klop ndio ameiharibu, hendo , gini, milner hakuna kitu,(Hendo,gini,milner) sio kbs hamna kiungo mbunifu hata mmoja
(Fab,keita,gini)
(Fab,gini,shakir)
(Fab,hendo,shaqir)
(Fab,millie,gini)
Hendo,lovren wote hawa ni muda tu ndo unaowafanya wawe LFC mpk ss muda ukifika hutowaoma wakicheza hata na QPR
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahARNOLD HASTAHILI KUCHEZA LIVERPOOL HATA KUKAA BENCHI HASTAHILI CHEZAJI LISENGE LISENGE