Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Huu ni mtazamo uliokuwa nao ww kiongozi but mtizamo huu hauwezi kuwa halisi hata siku moja, maana huwezi niambia ya kwamba tunaanza msimu Gomez akiwa chaguo la kwanza, ukweli ni kwamba Gomez anapata fursa ya kuanza baada ya Lovren kuwa majeruhi, kilichotokea ni kwamba alimudu vzr tu kucheza tukazoea na kumuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu akiimudu nafasi sindiyo anakuwa chaguo la kwanza au? Refer case ya Moreno na Robertson...je utasema Moreno bado ni chuguo la kwanza?
Au kipindi kile Mignolet na Karius?
It is the same thing with Lovren and Gomez, dogo akipona Lovren anarudi bench.
