Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jana kafanya mazoezi ila sidhani kama atapangwa labda aanzie benchi

5a3ebcdf68eec64d35726d196a7b0214.jpg

Nimeona na Keita naye training, nadhan atakuwa amepona.
 
Team of the calendar year (Jan - Dec 2018), according to an online BBC Sport poll.
I think Alisson hayumo vile alianza only August.... congrats to our 4 reds.

View attachment 983393

Watched the PL wrap y'day baada ya game ya Cardiff Vs Spurs

....and discussion ya COMBINED XI kati ya City na LFC ikaibuka, Phill Neville and Owen Hargreaves, suggested only 3 LFC players kwenye their entire Combined XI

thought it was so unfair Aisee
 
View attachment 983786

Mkuu unamjua huyo dogo hapo kwenye picha?

Huyo ni Sancho ambaye ndiye anayemueka Bench Pulisic kwa sasa.

Kwahiyo kwenye Liverpool hawezi kupata Namba Kwenye Kikosi cha Kwanza! Kwahiyo haitowezekana kwa Klopp kumnunua Pulisic kwa £40m ili aje awe Mchezaji wa Hakiba.

Na hiyo ndiyo sababu kubwa Kwa BVB kumuuza huyo Pulisic Kwa Chelsea kutokana na Kukosa namba Kikosi cha kwanza.

Na kumbuka kwamba Liverpool walionesha interest last Windows lakini kwenye Window hii Klopp ameachana naye na kilichokuwa kikiendelea sasa ni Rumours tu wala Klopp hajabide chochote kwa Pulisic kuonesha kuwa hana mpango nae katika Future plan Yake.

Kwahiyo Mkuu ni kuwa Klopp hajamkosa Pulisic, Bali hakuwa katika Mipango Yake kwenye Window hii Coz Klopp kwa sasa Ana plan na attacking Midfielder na si Winger ambapo tuna Mene, Salah na Xhaqiri na Wilson on his way to Sensor team.

Ukweli usiofichika Klopp hana mpango wa Kubide kwa Mchezaji yoyote hii January unless kutokee long injury.

Sancho is decent, but the British hype around him is too much

there are atleast 10-15 young players better than Sancho in eroupe and Latin America..

i'd promote our youngsters first before spending millions on him or Pulisic
 
Watched the PL wrap y'day baada ya game ya Cardiff Vs Spurs

....and discussion ya COMBINED XI kati ya City na LFC ikaibuka, Phill Neville and Owen Hargreaves, suggested only 3 LFC players kwenye their entire Combined XI

thought it was so unfair Aisee
hahaha!

but you know what? personally I wd have been happy with 0 (yes, you heard me right...ZERO) representative in the combined squad.

why, only one explanation - that we're top of the pile with "shit" players but playing as a cohesive unit. such teams can last some dynasty I tell you.

it probably explains why we don't have a single rep from the middle of the park despite the fact that we have the most effective (albeit least colourful) midfield in the league. pale kati kuna wachapa kazi tu hakuna kuremba!!
 
To put records clear on games that we defeated Man City:-

EPL: 4 - 3 home, Mid had E Can, Ox Chamberlain and Gini.

UEFA CL: 3 - 0 home, Mid had Henderson, Milner and Ox Chamberlain.

UEFA CL: 2 - 1 away, Mid had Ox Chamberlain, Milner and Gini.

With that being clear, you can easily tell that it was Chamberlain's heroics which won us all three games, especially the first two games.

So, for me, that Mid of Gini, Hendo and Milner shouldn't be discussed for tomorrow's game man.

I had go for Fabinho, Gini and Shaqir or Gini, Fabinho and Hendo.

If Milner is fit for tomorrow, will feature for RB.

That is my case.

Man, midfield of Fabinho-Gini-Shaqiri at Etihad ni suicidal

no question, kuwa kama Milner angekuwa/atakuwa fit enough Klopp anaweza akaanza na our "trade-mark" negative midfield (Gini-Hendo-Milner) ili kuweka a Mid-block at the back.

but kama Milner hatakuwa fit enough, Klopp will go with Fabinho-Henderson-Gini (2-1 shape midfield in a 4231 or 3-base midfield in a 433)
 
Kujipa faraja ni kitu kizuri sana.
View attachment 983786

Mkuu unamjua huyo dogo hapo kwenye picha?

Huyo ni Sancho ambaye ndiye anayemueka Bench Pulisic kwa sasa.

Kwahiyo kwenye Liverpool hawezi kupata Namba Kwenye Kikosi cha Kwanza! Kwahiyo haitowezekana kwa Klopp kumnunua Pulisic kwa £40m ili aje awe Mchezaji wa Hakiba.

Na hiyo ndiyo sababu kubwa Kwa BVB kumuuza huyo Pulisic Kwa Chelsea kutokana na Kukosa namba Kikosi cha kwanza.

Na kumbuka kwamba Liverpool walionesha interest last Windows lakini kwenye Window hii Klopp ameachana naye na kilichokuwa kikiendelea sasa ni Rumours tu wala Klopp hajabide chochote kwa Pulisic kuonesha kuwa hana mpango nae katika Future plan Yake.

Kwahiyo Mkuu ni kuwa Klopp hajamkosa Pulisic, Bali hakuwa katika Mipango Yake kwenye Window hii Coz Klopp kwa sasa Ana plan na attacking Midfielder na si Winger ambapo tuna Mene, Salah na Xhaqiri na Wilson on his way to Sensor team.

Ukweli usiofichika Klopp hana mpango wa Kubide kwa Mchezaji yoyote hii January unless kutokee long injury.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pulisic hakuikataa Liverpool bali alikuwa akiitaka Liverpool isipokuwa Dortmund wenyewe last 2 seasons ndiyo waliokataa kutuuzia.

Dirisha Hili Klopp Hakuwa na Mpango wa Kumnunua na ndiyomana Chelsea hakuwa na Mpinzani.

Ni Magezeti tu ndiyo yaliyokuwa yakiendesha Rumours lakini Liverpool haijatoa Bide yoyote hii January ikakataliwa.
Magazeti yanasema Liverpool walimtaka Pulisic, je wewe nini source ya taarifa zako kwamba Liver haikumwitaji Pulisic? Au tukuamini kwa kuwa wewe ni insider wa Liverpool?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha!

but you know what? personally I wd have been happy with 0 (yes, you heard me right...ZERO) representative in the combined squad.

why, only one explanation - that we're top of the pile with "shit" players but playing as a cohesive unit. such teams can last some dynasty I tell you.

it probably explains why we don't have a single rep from the middle of the park despite the fact that we have the most effective (albeit least colourful) midfield in the league. pale kati kuna wachapa kazi tu hakuna kuremba!!

I'd say individually, City wana better players in most positions than us, but tuna better "team/unit" than them kwasasa.

ila, atleast wangekuwa reasonable kwa Allison, we are in January (not August), amekuwa better than any keeper in the league this season, ingekuwa August/early september ningekubaliana nao kuhusu Ederson, but mpaka sasa Allison is miles ahead of Ederson statistically
 
Man, midfield of Fabinho-Gini-Shaqiri at Etihad ni suicidal

no question, kuwa kama Milner angekuwa/atakuwa fit enough Klopp anaweza akaanza na our "trade-mark" negative midfield (Gini-Hendo-Milner) ili kuweka a Mid-block at the back.

but kama Milner hatakuwa fit enough, Klopp will go with Fabinho-Henderson-Gini (2-1 shape midfield in a 4231 or 3-base midfield in a 433)
Nakubaliana na wewe Mkuu Klopp hawezi kuanzia na Midfielder ya Fabinho, Gini ,na Shaqiri Etihad Unapocheza City lazima Energy ya timu ianzie kwenye Midfield na Milner, Henderson Gini watahusika kesho.
 
Yeah

can see him reverting to that midfield kwaajili ya Mid-block

lets wait for the official line-up tomoz
 
Magazeti yanasema Liverpool walimtaka Pulisic, je wewe nini source ya taarifa zako kwamba Liver haikumwitaji Pulisic? Au tukuamini kwa kuwa wewe ni insider wa Liverpool?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina uhakika umeishia darasa la Ngapi lakini jifunze kusoma kwa ufahamu!

Hata Madrid Magezeti yaliandika Real imeshakubaliana na Salah na Mane msimu uliopita Je uliwahi kusikia kuwa Walifanya Mazungumzo na Liverpool ya Kuwataka?
Au ulisikia walitoa £ ngapi?

Hivi unajua maana ya Tetesi (Rumours) lakini?
Je hujui kama kazi kubwa ya Mageziti ya Michezo ni kuandija tetesi za michezo?

Na jengine Niliandika hapo Juu kuwa Liverpool ilimtaka Pulisic misimu miwili yote iliyopita Dortmund wakakataa kutuuzia! Sasa wewe hayo maneno ya kuwa nimesema Liverpool hawakuntaka Pulisic umeyatoa wapi?

Nilichosema Mimi ni Kuwa Liverpool haikumtaka Polisic hii January tu na Ndiyomana Chelsea alikuwa peke Yake sokoni kumtaka.

Na Klopp hajatoa dhabuni yoyote ya kumtaka January hii, Bali ni Chelsea pekee ndiye aliyetoa dhabuni.
Mtandao wetu ni huu www.liverpoolfc.com tafuta habari yoyote iliyokuwa officially kwamba Liverpool imeweka dau kwa Pulisic hii January ili uniprove wrong.

Bali utakachokikuta ni tetesi za Magazeti tu kuwa Liverpool wanamtaka Pulisic na Werner lakini Hakuna Offer yoyote Liverpool wliyotoa January hii kwa Wachezaji hao.

Klopp hakuwa na Mipango ya Kumsajili Pulisic hii January kwani alishasema wazi kwenye Press Conference kuwa hii January Hatosajili Mchezaji yoyote labda kutokezee injury kwa key players.

Kwahiyo Nasimamia kauli yangu kuwa Liverpool haikumuhitaji Pulisic hii January kwasababu haijaweka dau kwa Mchezaji huyo! Chelsea ndiyo walioeka dau £40m.
 
Magazeti yanasema Liverpool walimtaka Pulisic, je wewe nini source ya taarifa zako kwamba Liver haikumwitaji Pulisic? Au tukuamini kwa kuwa wewe ni insider wa Liverpool?

Sent using Jamii Forums mobile app

Magezeti sio source ya habari za Liverpool.

Source ya habari za Liverpool Liverpool Echo, www.liverpool.com , na Repoter kama Mellisa Redy. Na Hivi ndiyo sources za habari zangu za taarifa za Liverpool.

Sasa hao ndiyo wakuripoti kuwa Liverpool imeweka dau la kumtaka Pulisic hii January lakini Hakuna sehemu waliyoripoti habari hiyo.

Sasa wewe endelea kuchukua habari za Magezeti ya The Mirror na Bild kuwa Klopp kamtaka Pulisic.
 
If Klopp really wanted Pulisic, he'd be a liverpool player by now
you're dead right, man.
Klopp always goes for "needs" not "wants" like what Josephine Maurine did at Manure when buying Sanchez. he just wanted to piss Pep off, that's all. Klopp wouldn't do such crap even if he had all the money on the planet.
 
Magezeti sio source ya habari za Liverpool.

Source ya habari za Liverpool Liverpool Echo, www.liverpool.com , na Repoter kama Mellisa Redy. Na Hivi ndiyo sources za habari zangu za taarifa za Liverpool.

Sasa hao ndiyo wakuripoti kuwa Liverpool imeweka dau la kumtaka Pulisic hii January lakini Hakuna sehemu waliyoripoti habari hiyo.

Sasa wewe endelea kuchukua habari za Magezeti ya The Mirror na Bild kuwa Klopp kamtaka Pulisic.
Lkn mkuu, klopp alimuhitaji huyu kijana ila hakuwa serious kama chelsea ambao wanahitaji replacement ya hazard

Ni ukweli kabisa klopp alimtaka huyu kijana ,
Screenshot_2019-01-02-16-46-28.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn mkuu, klopp alimuhitaji huyu kijana ila hakuwa serious kama chelsea ambao wanahitaji replacement ya hazard

Ni ukweli kabisa klopp alimtaka huyu kijana , View attachment 983996

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo hamusomi ninachokiandika.

Mimi sijakataa kuwa hakuwahi kumuhitaji! Lakini si msimu huu! Klopp alimtaka tokea misimu Yake Miwili ya Mwanzo ambapo Dortmund walimkatalis katakata kuwa Hauzwi.

Lakini baada ya hapo aliachana nae na wala hakumzungumzia tena.

Na Chelsea msimu huu walipoanza kumtaka zilibakia Rumours tu kwa Liverpool kumtaka lakini Klopp hakuwa na mpango nae tena hii January.

Hata hivyo Hiyo Screenshot yako haiprove kitu kwenye kumtaka Bali inaonesha amemsifia tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom