Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hahahahahahah, umenichekesha sana mkuu, hawa jamaa kweli wana mu- under late sana hendo aiseeee mpaka tunachekwa na watu wa aseno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu Hendo
Hawa walikuwa wanamtukana sana pia Klopp,mm na wenzangu tukawa tunakesha nao lkn kawanyoosha ndiyo sasa wanarudi,wao kwao kocha wao bora duniani ni Pep!
Hapa Lovren alikuwa anatukanwa sana sasa wamenyooshwa na Lovren wameufyata
Hendo ni kikosi cha kwanza cha Liverpool na anaanza Alhamis na tunampiga City na kuchukua ubingwa mechi 17 mkononi na watapata aibu sana!
Yaani kweli hawa ndiyo wakupinga kazi za mikono ya genius Klopp?Hawa kweli?
Upuuzi mtupu
Sent from my iPhone using JamiiForums