Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 982567
Rabbiot kasema Spurs SIO LEVEL yake,miaka ya nyuma kabla ya Klopp wachezaji kama Willian na huyu Shaqir walisema Liverpool sio leve yao!
Akianza kutukanwa Klopp huwa najiuliza mengi sana na kuwaza ina maana watu wameisha sahau jinsi tulivyokuwa trash hadi wachezaji wazuri wana tukataa?
I will Never disrespect the genius Klopp


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tegemea povu la jamaa au kleesoft kuhusu hii post mkuu......mimi nimenyut hapa pembeni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Man Utd siyo muhimu?

Mechi ya Arsenal siyo Muhimu?

Mkuu hao watu unaowataja wana uelewa mkubwa wa kuchambua mpira hapa kwenye jukwaa, tunaiona michango yao na kuielewa.

Tunaomba na wewe uwe unaweka analysis (pre and post match) ili tuuone uwezo wako wa kiuchambuzi ili tuseme kweli unachokiamini unaweza kukitetea.

Naona umeamua Kupigia Mbuzi Gita?

Usidhani kama anafahamu chochote unachoweza kumfahamisha...
Bora hata ungeendelea kumpuuza coz hana jibu wala hoja ya kukupa Bali atakuja na Mipasho ya Kuwa unasema KLOPP OUT.

Kila la Kheri Mkuu
 
Naona umeamua Kupigia Mbuzi Gita?

Usidhani kama anafahamu chochote unachoweza kumfahamisha...
Bora hata ungeendelea kumpuuza coz hana jibu wala hoja ya kukupa Bali atakuja na Mipasho ya Kuwa unasema KLOPP OUT.

Kila la Kheri Mkuu

Ha ha ha! Labda anaweza kutu-prove wrong kwa kutupa uchambuzi murua leo, nahisi kichwa chake kina madini ila hajaamua kushare na sisi.

Ameona Klopp ni football genius, and it takes a genius to know another genius.
 
Tena mechi na Aseno Emirates na Red star, TAA alicheza hovyo sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuhusu TAA wewe umechelewa kusema hapa kwani Haya tumeyasema tokea mwanzo wa Msimu kuwa TAA hayupo vizuri kwenye Kukaba Bali tunampenda kwasababu anapocheza timu inashambulia sana kutokana na Pace Yake katika Offensive.

Hata mechi ya Juzi na Arsenal alikuwa Shit kwenye Defence isipokuwa hao Arsenal wenyewe tu hawakua Makini.

Na ndiyomana wakati mwengine tunapendekeza Milner acheze yeye namba 2.

Ila kwasasa hatuna Namba 2 bora zaidi wa kuaminiwa! Ndiyo tunakubali acheze huyuhuyu TAA ambaye ni bora kuliko wengine waliobakia.
 
Mechi ya Anfield Torreira alikuwepo, Hendo hakucheza, je ulimwona akifanya aliyoyafanya Emirates?

Fabinho alikuwa ndo anaanza kuchezeshwa, improvement imeonekana, BTW wewe umekiri kuwa Fabinho, Gini na Keita wanatakiwa waanze mbele ya Hendo kwa sababu tunatafuta ushindi?

Ulikuwa na maana gani? Kwamba mechi ambazo hatuhitaji ushindi ndo Captain aanze au siyo? Kama ndo hivyo mbona tunaongea lugha moja.

Nimecheka sana jamaa jinsi anavyojikanyaga
 
Tegemea povu la jamaa au kleesoft kuhusu hii post mkuu......mimi nimenyut hapa pembeni.


Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi wewe sikushangai!

Hii kuwa Kocha wenu anapanga Kikosini Wachezaji Wabovu na Wazuri kina Lacazette kuwaweka Bench Mechi kama ya Liverpool halafu Nyinyi Washabiki Wa Arsenal Mukanyamaza Kimya eti munamuunga Mkono Kocha hamitaki Kumkosoa! Ndiyo iliyowafanya Mukafungwa 5.

Kina Siku Atamueka Bench Torreora na Auba kwenye Mechi pia Mutanyamaza na Kumpigia Makofi Kocha kwa Kusema Kocha anajua Zaidi Kuliko Nyinyi.

Kuna washabiki wa Ma U ulikuwa ukiwaona Wanampongeza Mourinho Kumueka bench Pogba eti Wanasema Kocha anajua Zaidi kuliko wao! Na wakawa wanawashambulia Wanaomkosoa Mourinho.

Sasa OGS yeye pengine hajui soccer management na anamchezesha Pogba nadhani unaona Pogba anachokifanya.

Kocha asiyepata pressure kutoka kwa Mashabiki hawezi kuleta Mafanikio.

Muangalie Pochetino asiyekosolewa na Mshabiki hata mmoja wa Spurs anaipa nini Spurs?
 
Ndo nasubiri atujibu hiyo quote tuone ana maanisha nini kusema Gini, Keita na Fabinho wanatakiwa kuanza kwa sababu tunahitaji matokeo.

Nahisi anamaanisha kuwa Kuna Mechi tuwachezeshe GINI-FABINHO-KEITA kwa ajili ya kutafuta ushindi.

Lakini kuna mechi tusitafute ushindi kwa kuwachezesha hao! Bali tucheze tu kwa ajili ya Kuwapa Support Hendo na Lallana na tuwapange Hendo-Milner-Lallana.
 
King
Nahisi anamaanisha kuwa Kuna Mechi tuwachezeshe GINI-FABINHO-KEITA kwa ajili ya kutafuta ushindi.

Lakini kuna mechi tusitafute ushindi kwa kuwachezesha hao! Bali tucheze tu kwa ajili ya Kuwapa Support Hendo na Lallana na tuwapange Hendo-Milner-Lallana.
King ,Hili jambo la mchezaji kucheza inategemea mechi inahitaji kitu gani siwezi kutumia nguvu nyingi kuwambia gemu ya buyern hendo ,milner wataanza , mechi ya city pia kama ni wazima wataanza ,pia spurs ,Chelsea ,man utd theater of dreams wataanza.sijasema gemu ya arsenal na utd anfield hazikuwa ngumu ila nachosema nilikisema kwa Napoli pale Liverpool atakapohitaji matokeo kwenye mechi win/lose not any result hao ndugu hendo na milner hawazuiliki ,unaweza Fanya majaribio ya fabihno,keita ,shaqir kwa arsenal yenye injury nne ya beki,same to man utd yenye internal misunderstanding, ila sio kwa Napoli,buyern,city,Chelsea,spurs ,PSG .ukijaribu tutakutana hapa kutoa pole.Heri ya mwaka Mpya wadau mnapofukuzia EPL kwa Mara ya kwanza
 
Mechi ya Man Utd siyo muhimu?

Mechi ya Arsenal siyo Muhimu?

Mkuu hao watu unaowataja wana uelewa mkubwa wa kuchambua mpira hapa kwenye jukwaa, tunaiona michango yao na kuielewa.

Tunaomba na wewe uwe unaweka analysis (pre and post match) ili tuuone uwezo wako wa kiuchambuzi ili tuseme kweli unachokiamini unaweza kukitetea.

Hawa wanao andika takataka hapa ndefu ndiyo wewe unawaita wachambuzi?
Hawa wanao kosoa kazi za Klopp za nani acheze wapi na mechi ipi ndiyo unawaita wachambuzi?Dec ina mechi 8 ktk siku 29 unategemea Hendo acheze mechi zote wkt tumeleta wachezaji kibao ktk nafasi hizo?
Zinaanza sasa mechi moja kila week na yyt anayepangwa na Klopp mm nitakuwa nyuma yake sababu yy ndiyo anakaa na wachezaji!
Upuuzi huu wanao andika ndiyo kwako uchambuzi unaita?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mechi ya Man Utd siyo muhimu?

Mechi ya Arsenal siyo Muhimu?

Mkuu hao watu unaowataja wana uelewa mkubwa wa kuchambua mpira hapa kwenye jukwaa, tunaiona michango yao na kuielewa.

Tunaomba na wewe uwe unaweka analysis (pre and post match) ili tuuone uwezo wako wa kiuchambuzi ili tuseme kweli unachokiamini unaweza kukitetea.
Tuendeleeni kumui ignore huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tegemea povu la jamaa au kleesoft kuhusu hii post mkuu......mimi nimenyut hapa pembeni.


Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka wewe kaa pembeni mm hawa naendelea kuwanyoosha,hawajui lolote ktk soka hawa kazi yao kutuandikia makala ndefu takataka kabisa ndani
Kaa pamoja na Unai atawapa raha sana hapo siku za mbele,hawa waliwahi andika hapa kama ukichanganya Barca na Liverpool hamna mchezaji wetu atakaye anza
Upuuzi mtupu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kaka wewe kaa pembeni mm hawa naendelea kuwanyoosha,hawajui lolote ktk soka hawa kazi yao kutuandikia makala ndefu takataka kabisa ndani
Kaa pamoja na Unai atawapa raha sana hapo siku za mbele,hawa waliwahi andika hapa kama ukichanganya Barca na Liverpool hamna mchezaji wetu atakaye anza
Upuuzi mtupu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Welcome Back AOC

Endelea kupambana kujiweka fiti.

View attachment 982606View attachment 982608View attachment 982609View attachment 982610View attachment 982612View attachment 982613

Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda Namba 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland

Namba 8 gani asiyejua Kuassist wala kuscore

• GINI haekeki bench
• FABI naye ameshajihakikishia nafasi
• Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje 😀😀😀
Na bado pana Keita hapo.


Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool 😀😀

Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer
JD kakukosea nini ndugu yang,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King King ,Hili jambo la mchezaji kucheza inategemea mechi inahitaji kitu gani siwezi kutumia nguvu nyingi kuwambia gemu ya buyern hendo ,milner wataanza , mechi ya city pia kama ni wazima wataanza ,pia spurs ,Chelsea ,man utd theater of dreams wataanza.sijasema gemu ya arsenal na utd anfield hazikuwa ngumu ila nachosema nilikisema kwa Napoli pale Liverpool atakapohitaji matokeo kwenye mechi win/lose not any result hao ndugu hendo na milner hawazuiliki ,unaweza Fanya majaribio ya fabihno,keita ,shaqir kwa arsenal yenye injury nne ya beki,same to man utd yenye internal misunderstanding, ila sio kwa Napoli,buyern,city,Chelsea,spurs ,PSG .ukijaribu tutakutana hapa kutoa pole.Heri ya mwaka Mpya wadau mnapofukuzia EPL kwa Mara ya kwanza


Kwavile hii ni future siwezi Kulijadili hili! Ngoja ifike hiyo Siku Nitakutag hapa kukuonesha Line-up.

Ila tu Milner mtoe hapo kwenye Kumlalamikia Kucheza kwani Hakuna anaemlalamikia Milner kucheza.

Tunacholalamikia ni Kucheza Combi ya Mido ya GINI-HENDO-MILNER.

Ila kucheza GINI-FABI-HENDO, GINI-FABI-MILNER, GINI-HENDO-KEITA, GINI-FABI-KEITA huwa hatuilalamikii sana!

Ila ukitupangia GINI-HENDO-MILNER hapo hatukubaliani.

Na ukumbuke kuwa haohao unaosema ni Wachezaji wa Must Win ndiyo waliocheza CL wakatufungisha kwa vibonde Red Star na kwa Napoli first leg.

Sasa sijui point yako ni ipi?
 
JD kakukosea nini ndugu yang,

Sent using Jamii Forums mobile app

Hajanikosea Mimi tu! Bali katukosea Wanaliverpool dunia Nzima.

Yeye ndiye mpaka Leo aliyetufikisha hapa tulipo.

Haiwezekani Captain nzima anaiongoza timu mwaka wa 5 anashindwa kuiongoza kubeba hata Carabao.

Mtazame Steven Gerrard alivyoiogoza Liverpool katika Final zote alizocheza na kuchukua Makombe ni kwamba yeye mwenyewe ndiye anayoiongoza timu kwenye ushindi kwa kufight personally kwa jitihada zake binafsi.

Lakini huyu Fake Captain wa sasa Katika Final zote tulizocheza akiwemo anashindwa kuhamasisha timu na kuwa yeye ndiye wa mwanzo anayepotea uwanjani.

Kwa Mfano baada ya kuumia Salah kwenye Fainali vs Real aliyekuwa akionekana kuwa na ari na kutafuta Matokeo ni Mane wakati Captain haonekani uwanjani kuwahamasisha Hata wachezaji wenziwe! Labda kumfokea Refa ndiyo tulichokiona.

Lakini mtazame Gerrard kwenye Fainali vs AC Milan alivyokuwa akiwahamasisha Wachezaji wenziwe kutafuta ushindi!!

Sasa huyu Mimi ndiyo nikawa ninamwita Fake Captain coz hana sifa za kuwa Leader.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom