Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

a8fa769a-089b-4ed6-9832-2b0261986b98.jpg

Rabbiot kasema Spurs SIO LEVEL yake,miaka ya nyuma kabla ya Klopp wachezaji kama Willian na huyu Shaqir walisema Liverpool sio leve yao!
Akianza kutukanwa Klopp huwa najiuliza mengi sana na kuwaza ina maana watu wameisha sahau jinsi tulivyokuwa trash hadi wachezaji wazuri wana tukataa?
I will Never disrespect the genius Klopp

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
VVD “I don’t need to rest. Everyone wants to play every game,” he said.

“It’s not like you want to sit on the bench or be in the stand. I just go with it. As long as I’m fit and feel all right then I just keep going and playing.”

Huyu ndiye mpambanaji halisi
 
Welcome Back AOC

Endelea kupambana kujiweka fiti.

thumb_78977_default_news_size_5.jpeg
thumb_78978_default_news_size_5.jpeg
thumb_78972_default_news_size_5.jpeg
thumb_78980_default_news_size_5.jpeg
thumb_78973_default_news_size_5.jpeg
thumb_78974_default_news_size_5.jpeg

Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda Namba 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland

Namba 8 gani asiyejua Kuassist wala kuscore

• GINI haekeki bench
• FABI naye ameshajihakikishia nafasi
• Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje 😀😀😀
Na bado pana Keita hapo.

Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool 😀😀

Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer
 
Welcome Back AOC

Endelea kupambana kujiweka fiti.

View attachment 982606View attachment 982608View attachment 982609View attachment 982610View attachment 982612View attachment 982613

Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland

• GINI haekeki bench
• FABI naye ameshajihakikishia nafasi
• Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje 😀😀😀
Na bado pana Keita hapo.

Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool 😀😀

Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer

Tuendelee kuipenda timu na wachezaji wetu, mazuri yanakuja.
 
Naona hendo anachukiwa sana, endeleeni kumuamini tu, mnakumbuka hata mlivyo mponda lovren na kumzarau sana mm niliwatahadharisha ya kuwa mnakosea, mechi iliyofuata alitupia na ya pili yake alizalisha goli la 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hendo naye ilibaki kidogo aandike goli dhidi ya aseno, hata lukaku pmj na upuuzi wake sometimes anawasaidia mwanitesa, kumbukeni mechi nao ndo alitoa assist wakachomoa goli

Lovren kashika namba ya Gomez, mwenye namba akipona jamaa anarudi Bench.

Henderson ndiye Captain wa timu, haikushangazi Captain kuanzia benchi mechi kama za Man Utd na Arsenal wakati haumwi?
 
Lovren kashika namba ya Gomez, mwenye namba akipona jamaa anarudi Bench.

Henderson ndiye Captain wa timu, haikushangazi Captain kuanzia benchi mechi kama za Man Utd na Arsenal wakati haumwi?
Usitarajie Gomez kuchukua namba mbele ya Lovren kirahisi hivyo, na mm Lovren akicheza na VVD huwa niko comfortable zaidi kuliko Gomez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hendo naye ilibaki kidogo aandike goli dhidi ya aseno, hata lukaku pmj na upuuzi wake sometimes anawasaidia mwanitesa, kumbukeni mechi nao ndo alitoa assist wakachomoa goli

Sent using Jamii Forums mobile app

Kufunga goli hakukupi ticket ya kulikwepa benchi, Sturridge kafunga game ya PSG, game ya Chelsea goli muhimu.

Origi kafunga goli muhimu sana game ya Everton. Lakini wako benchi.
 
Kufunga goli hakukupi ticket ya kulikwepa benchi, Sturridge kafunga game ya PSG, game ya Chelsea goli muhimu.

Origi kafunga goli muhimu sana game ya Everton. Lakini wako benchi.
Nafasi zao na watu wanaowatangulia ndo tatizo, huwezi enda kucheza game ukiwa na njaa ya ushindi ukaanza na orig na Sturbridge huku mane Bobby wakiwa bench huo ni utani aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitarajie Gomez kuchukua namba mbele ya Lovren kirahisi hivyo, na mm Lovren akicheza na VVD huwa niko comfortable zaidi kuliko Gomez

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani! Labda nikuulize unaangalia EPL mechi za Liverpool?

Hivi tokea uanze huu msimu GOMEZ alikuwa akicheza namba ngapi?

Au hujui kama GOMEZ alikuwa akicheza CB na VVD?

Basi kama hujui LOVREN ni chaguo la 3.

Chagua la kwanza ni GOMEZ kwenye CB. Baada ya kuumia Gomez chaguo la pili alikuwa ni MATIP..
Baada ya Matip kuumia bega ndiyo Lovren chaguo la 3 akaanza kucheza.

Ninachujua Mimi Namba pekee GOMEZ aliyokuwa hawezi kuichukua kutoka kwa Lovren ni namba ya Jezi Yake.
 
Kwa Liverpool ya sasa hivi kila mchezaji ni muhimu ni vile nafasi ni chache tu, maana hawawezi kucheza wote kwa pamoja, na muda mwingi wataalamu wanasema you will never change a winning team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hendo anachukiwa sana, endeleeni kumuamini tu, mnakumbuka hata mlivyo mponda lovren na kumzarau sana mm niliwatahadharisha ya kuwa mnakosea, mechi iliyofuata alitupia na ya pili yake alizalisha goli la 5

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo ikitokea Mchezaji kufunga goli ndiyo anakuwa Mchezaji bora?

Hivi hizi tathmini zenu munazifanyia kinamna gani?

Kwani Mchezaji gani wa Liverpool ukitoa Kipa aliyekuwa hajawahi kufunga goli?

Original
Surridge
Moreno
Clyne
TAA
Solanke
Lallana

Hawa wote wameshawahi kufunga Magoli sasa nao tutahadharishe kuwa ni Mabest player.
 
Samahani! Labda nikuulize unaangalia EPL mechi za Liverpool?

Hivi tokea uanze huu msimu GOMEZ alikuwa akicheza namba ngapi?

Au hujui kama GOMEZ alikuwa akicheza CB na VVD?

Basi kama hujui LOVREN ni chaguo la 3.

Chagua la kwanza ni GOMEZ kwenye CB. Baada ya kuumia Gomez chaguo la pili alikuwa ni MATIP..
Baada ya Matip kuumia bega ndiyo Lovren chaguo la 3 akaanza kucheza.

Ninachujua Mimi Namba pekee GOMEZ aliyokuwa hawezi kuichukua kutoka kwa Lovren ni namba ya Jezi Yake.
Huu ni mtazamo uliokuwa nao ww kiongozi but mtizamo huu hauwezi kuwa halisi hata siku moja, maana huwezi niambia ya kwamba tunaanza msimu Gomez akiwa chaguo la kwanza, ukweli ni kwamba Gomez anapata fursa ya kuanza baada ya Lovren kuwa majeruhi, kilichotokea ni kwamba alimudu vzr tu kucheza tukazoea na kumuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom