As tukiwa tunakaribia kuingia mwaka mpya wa 2019, nimeona itakuwa vizuri ku-share historical moments za our fellow Top-reds/Super-fans/Sheep,
hawa wenzetu hawajawahi kuwa proved right na Club hata siku moja, na always hili suala huwa linanifanya nicheke sana kila nikikumbuka moments za hawa ndugu zetu
Dont get me wrong, traditionally LFC imekuwa na fans wa pande mbili tangu enzi za Shankly, kuna Top-reds na Good-reds, people will think hapa JF kuna Top-reds, hapa hakuna kabisa hawa watu, hujakutana na Top reds wenyewe Aisee, hahaha. ni balaaa
Leo nakumbukia our fellow's historical moments, just for the laugh man
1. During those Roy Evans last days at LFC, ambapo Club decided to appoint Houllier ili kufanya kazi sambamba na Roy, Top reds were against this, and even questioned credibility ya Houllier, even baada ya Roy kuondoka hawakutaka Houllier aendelee na team, but he went on to win us Cup treble....
2. Baada ya matatizo ya kiafya ya Houllier, club started to under-perform, as always Good-reds started to demand changes, and you should know at this time hawa Top-reds waliokuwa wakimkataa Houliier walikuwa washabadilisha msimamo wao baada ya ile cup treble (hence jina lao lingine la utani ni Sheep), so now utetezi wao ulikuwa kocha katupa treble hatakiwi kuondoka, but Good-reds wanted changes nonetheless, mind you these Top-reds didnt want Rafa Benitez at all
3. now, baada ya kuonekana kuwa Houllier will inevitable leave the club, Top-reds started to demand British coaches and europe's profiled coaches (with huge CVs), Club settled for Benitez, whom the Top reds didnt even want him despite his wonder job at Valencia, Benitez went on to win CL and FA Cup and assembled one of Club's best squad in 2008, but baada ya financial problems kutokana na uzembe wa Hicks and Gillet, na Club kuanza kuyumba, now ikumbukwe kipindi hiki Benitez aliingia kwenye mgogoro na Carragher as Rafa didnt want to give carra a new contract because at that time Club ilikuwa kwenye "adminstration" Carra went on to use the local jornos kudrive agenda kuwa matatizo yote ya Club ni kwasababu ya Benitez na pia alipata msaada kutoka kwa Stevie G katika kumuondoa Rafa at LFC, at this time Top-reds were behind Carra and they wanted Benitez out kwasababu tu SG nae alikuwa aki-support hiyo ishu, if SG asingekuwa ana-support hilo suala wala wasingetaka Benitez aondoke (hence wanaitwa Sheep), Good-reds didnt want Benitez out, matter of fact they knew main problem ilikuwa ni kina Hicks and Carra pia, and they knew for a fact ule ndiyo ulikuwa mwanzo wa dark days za LFC, but Top-reds hawalikuona hilo and they were vocal about rafa kuondoka, strangely enough they agreed Hodgson to take over the club, just because he's a LFC fan and knows the club better (lol), he went on to sign Konchesky, Poulsen, Joe cole, Jovanovic etc (hahahaha), As always Top-reds supported this signings kwa kisingizio kuwa Club ina hali mbaya kiuchumi, but after few months they started to turn on these players and Hodge hahahah (Sheep)
4. Hodge got sacked and the Club appointed Daglish as a temporally coach, but he did well in his 2-3 months and we decided to extend his contract, Top-reds blessed this, but Good-reds were against this, hii nakumbuka ndiyo ilikuwa battle ya hatari, as Good-reds walionekana hawamtaki Club-legend, nakumbuka kipindi hicho twitter na other platforms zilikuwa bado hazija shika kasi, so mijadala yote tulikuwa tunafanyia kwenye comment section ya kwenye official website ya Club, Aisee ilikuwa ni balaa, kwa mfano kama sisi ambao ni LFC fans from Africa, tulikuwa tukiitwa Monkeys, baboon etc (ndiyo maana nasema humu hamna Top reds), The Club-legend went on to sign Carrol, Downing, Henderson, Charlie Adams, Jose Enrique etc and refused to sign Gotze, a young Aubameyang etc apart from Henderson ambaye amefanikiwa kujipenyeza na kulast mpaka sasa, hakuna signing ya Daglish hata moja at the Club now as zote zilikuwa ni flop, but i was called a Monkey by top reds for questioning these signings and the ability of Daglish to identify talents kwenye mpira wa kisasa, and we all know kuwa our DOF got the boot na FSG kwa ubovu wa hizi signings and ndiyo zilifanya mpaka FSG wakabadilisha policy ya usajili, as they wasted 100m on stooges
5. Now, Daglish leaves the club, Good-reds wanted Klopp/Carlo/Bielsa etc, but FSG decided to appoint Brendan Rodgers, we were against this appointment, but as always Top-reds told the Good reds (wana msemo wao), "Go and support Chelsea", now in his 2nd season BR challenged for the title, Top-reds were on top of the world, and of-course everybody alikuwa happy as we all wanted the club to win the title, but kutokana na ile ride wote tukajikuta tumesahau kuwa Ni suarez na SG ndiyo wanaofanya kazi (Suarez most goals, SG most Assists), baada ya Suarez kuondoka and SG kuwa less motivated na kuchoka kutokana na umri, the reality ikaja upya hahaha, BR got exposed in his next season, Good-reds saw that na kugundua kuwa hakuna jipya atakaloleta BR now as he is inept tactically, we started to ask questions, and man, it was so bad Aisee, imagine asking questions about a manager ambaye ametoka kumaliza msimu akiwa wa pili, BR's CL campaign was nothing but an embarrassment, nakumbuka baada ya ile game yetu dhidi ya madrid away. i posted here kuwa i was proud na team baada ya kufungwa only 1-0, i said that because kikosi alichopanga BR kilikuwa ni kichekesho, alifanya LFC ionekane kama WATFORD kwenye CL, when we started to demand for BR's head tuliitwa kila aina ya majina, but now we had a wider coverage as platforms zilikuwa ni nyingi sana, we started to ask for Klopp/Carlo and Emery pia, Top-reds na wale wa humu JF wakawa wanasema only Carlo is better than BR, laughable isnt it? because they thought JURGEN NORBET KLOPP who is worshiped right now wasnt better than Brendan "clueless" Rodgers, so baada ya kile kipigo cha bao 6 na stoke city they decided to join the bandwagon. and even baada ya kujoin the bandwagon of BR out, they did not think Klopp will be a better choice haha
6. Now, Klopp joins the club and Good-reds demands some players head kama vile Lallana/Benteke/Balotelli/Henderson/Lucas/Milner/Lovren/Mignolet/Moreno/ etc, Klopp sells some players but because of low budget he decides to remain na baadhi ya wachezaji, Good-reds bado wakawa wanataka hawa wachezaji waondoke, but Top-reds wakaja na msemo mpya wa "Manager knows best" (but remember they didnt want him in the first place), Klopp went on to lose 3 finals with these players ambao Good-reds walisema siyo good enough,
UNDER KLOPP;
Top-reds: Klopp will improve Ibe and make Benteke a world bitter, he went on and Buy Mane, turn Bobby into a false 9 and sell Ibe pamoja na Benteke the moment he had the chance
Top reds: these moaning fans thought Klopp would sell Hendo and Milner,hawa ndiyo watakuwa main midfielders wa Klopp,he went on and buy Wijnaldum (an attacking player) and turn him into a Defensive midfielder and make him a regular stater at the club, na kumuhamisha Milner kwenye LB, at that time Klopp build his midfield around Gini.
Top reds: Lallana is very important for this club when fit, Klopp likes him and if he wanted to replace him angekuwa kishanunua mchezaji mwingine muda mrefu sana, he went on and Buy OX, then Keita and now Shaqiri wote hao wanacheza kwenye number zote anazocheza Lallana at LFC
Top-reds: 75m for a midtable club CB is so huge, Klopp will be crazy to spend that money, kwanza kuna Maguire yule mzuri sana, VVD ni bei sana, now they are sleeping huku wakilitaja jina la VVD lol
Top reds: i love Klopp but why buy a relegated Hull city player? we're Liverpool and we suppose to aim higher, wana msemo wao, "but if the manager wants him then i will back the player", now they are shameless saying Robertson is the best LB in the league and europe
Top reds; Klopp love Lovren and he is world Class, Klopp knows soccer management thats why he plays Lovren na hajamuuza, now a 21 year old kid is ahead of him kwenye picking order. (embarrassing for a world class CB)
Top reds: Henderson is a captain of LFC, and the manager who knows more about football plays him regularly, Klopp signs Fabinho, Top reds: i will back every player who wears the famous red jersey, Klopp trying to ease Fabinho in the team, Top reds: Good players shouldnt be taking so long to be eased, Fabinho had a blunder against Arsenal, Top reds: i knew he was average, we are missing Henderson, all you mofos who wanted Fabinho are stupid (forgetting that Klopp wanted fabinho too), Henderson should remain as a starter, i dont want to see Fabinho. few weeks later Klopp is bulding the midfield around Fabinho, Top reds: Henderson should play as 8, he plays so good akiwa na Fabinho, Fabinho compliment him a lot, Klopp did a good job buying Fabinho a number 6 tuliyekuwa tunam-miss kwa muda sana.
unajua jibu la Top-reds kwenye haya masuala? (regarding Coaches and players ambao hawakuwataka) "who would have thought he'd prosper at the Club?"