Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bandugu hongereni sana mnatishaaaa!! Hili kombe mkilikosa ndo basi tena!!

Sent using Jamii Forums mobile app

We've heard this before!

• 2008/9 yalisemwa hayahaya kuwa "Mukilikosa Mara hii hamubebi tena".

• 2013/14 yalisemwa tena kuwa " Mukilikosa Mara hii hamutabeba tena"

• Na Mara hii 2018/19 munasema tena kuwa "Mukilikosa Mara hii ndiyo basi tena"

Kwahiyo hii kauli yako si ngeni! Ni ya wapiga Ramli tu hiyo.
 
Sisi tulikuwepo kabla ya Chelsea ya 2004. Na pia tumeshudia timu ikibeba makombe.

Wewe ni fan wa Liverpool kutokana na historia yake. Hujawahi "SHUHUDIA" wala kunyanyua kwapa kwenye kombe lolote..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuniambia hata Champions League ya 2005 sikuona sio? FA 2006? Carling Cup 2012? Brother hata kikombe cha mwisho cha Ligi mwaka 1989/90 nimeshuhudia kwa taarifa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe si shabiki wa arsenal sina haja ya kujibizana na wewe...so wewe ni shabiki wa chelshit timu iliyokaa miaka zaidi ya 100 kabla haijabeba epl!!do me a fevaor bro..kabishane na nottingham forest ndo size yako em too huge for you!!
Nyie mlipishana na man u mlangoni lakn toka mmerudi hamjapata kombe lolote hata man mliyemfyekelea mbali akiingia top 4 na nyie msipobeba kombe ni yale yale. Mmesota sana top 6 huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We've heard this before!

• 2008/9 yalisema hayahaya kuwa "Mukilikosa Mara hii hamubebi tens".

• 2013/14 yalisemwa tena kuwa " Mukilikosa Mara hii hamutabeba tens"

• Na Mara hii 2018/19 munasema tena kuwa "Mukilikosa Mara hii ndiyo basi tena"

Kwahiyo hii kauli yako si ngeni! Ni ya wapiga Ramli tu hiyo.
Hhahahaha watani sasa mnachekesha kumbe nyie wenyewe hamjiamini!!! si tunawapongeza na mkiambiwa hivyo ndo mfanye juhudi kabisa mchukue kombe maana vigezo vyote mnavyo na dunia itawashangaa msipochukua kombe mwaka huu ingawaje mechi zilizobaki ni nyingi lolote laweza kutokea lakini nyie mko kny track nzuri zaidi!!!
 
We beat Man City we will EPL champs!Kupoteza itafanya ligi imriwe hadi May!
Tuzidi omba vijana waendelee kufanya kazi waliyo ianza na wamalize vyema!
Klopp huyu atatupa raha nina imani nae sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bora Nkamu wangu wewe umeongea point si wengine wananipa historia!! , Nkamu gwangu all the best 2019 upate raha na wewe!!!
 
Bora Nkamu wangu wewe umeongea point si wengine wananipa historia!! , Nkamu gwangu all the best 2019 upate raha na wewe!!!

Naona ushindi Wa Mechi 3 tu umewatoa Mafichoni sasa munaonekana

Hata Chelsea Walipompata Sarri walianza hivihivi mpaka wakaja na Nyimbo yao ya Sarriball

Lakini sasahivi wanagombaniana nafasi ya 4 na Arsenal 😀

Kwahiyo na nyinyi ngoma yenu ya kitoto sasahivi itaelekea kulala hiyo muanze kutafutana
 
Hahaha haya mtani hili soka ukipata unafurahi ukikosa unajutia !!
 
Kijana anataka kurudisha mpira kwa kipa, Huko Barca unaambiwa hali ngumu dogo kageuka kama Lallana, hana impact.

the_anfield_daily-20181231-0001.jpg
the_anfield_daily-20181231-0001.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom