AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Tunazo 18, Mwakani mwezi May zinakuwa 19, Tutakuwa ndio Club inayoongoza kubeba EPL nyingi huku tukilingana na Man U.
,Sina mkuu....
Na wewe nakuuliza una english premier league cheaf? Hata moja tu.(nijibu kama nilivyokujibu please)
Sent using Jamii Forums mobile app

