Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kops Kuna yule kihere here wa ar5enal anakujaga humu kutukera naombeni jina lake nimvae kwenye jukwaa lao
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu shauri yako hapo ulipo muunganisha hendo kwenye group la kwanza patakucost
Sent using Jamii Forums mobile app





Huyu naye anakuwa drama queen!! Subiri mli-bottle kombe halafu tuone drama zake zitaishia wapi.
I can’t wait for that day!!
Yaa ni kweli city on paper alikuwa vizur sana naona baada ya kupigwa na crystal palece timu nyingi zimetoa woga pia hata baadhi ya watu wanasema majeruhi yanawakost sio sawa na nyie injuries zimewapita pembeni kwenye key players
Ila kupigwa na kusuluhu kupo tu
Msalimie Emre Can na Coutinho
YEYOTE YULE ANAWEZA MKUU, KATIKA SOKA JAMBO LOLTE LINAWEZA TOKEA KATIKA WAKATI WOWOTEHiyo ni kawaida kwenye michezo, hakuna timu italast forever bila kufungwa.
Swali litakuja, ni nani unadhani ana uwezo wa kuifunga? Tukimtoa City.
Mkuu muda tutapigwa sisi hao wengine watakua washachakazwa na vipigo so haita kuwa na athar tenaNiamimi utapigwa tu tena si chini ya mech 3 tunza hii post.
tumepoteza game ya nne mwaka huu 3 zikiwa za ligi.
YEYOTE YULE ANAWEZA MKUU, KATIKA SOKA JAMBO LOLTE LINAWEZA TOKEA KATIKA WAKATI WOWOTE
not sure Klopp il aim for a draw cz he never does, he will load his guns to shot accuratly wen given th chance reason City wont sit back n wait fot us to attack n them being at home il aim to win n at least reduce th points to four...Aim for a draw man
win will be a bonus
if they win tomoz, gap itarudi kwenye 7
so if we lose against them tarehe 3 gap itakuwa ni 4, then pressure itakuwa kwetu tena
so tukienda na mentality ya kutaka kushinda, they will punish us, need to be calm and play for a draw whilst exploring chances za magoli
wont mind a Brexit midfield vs Man city man
Mkuu tusubiri panel ya kikao cha marefa kesho kama Salah alijiangusha kutafuta penati basi watamfungia...Arsenal kawapa maujiko, hongereni.
Hongera pia kwake refa, maana kafanya kazi ya ziada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man this is too early. Chill down!!Dah ile ilitisha sana, pale ndo unaanza kuhisi bahati wanazozipata mabingwa.
Sasa hivi naanza kuwaza tu jinsi timu pinzani zitakavyokuwa zinadili na sisi msimu ujao kama mabingwa watetezi.
nilisharekebisha kitambo mkuuTumezipokea, mpira ni kupokezana.
Hapo kwenye kupoteza naomba niweke records clear, mmepoteza 5, 4 za ligi ni against Man City 2 - 0, Chelsea 3 - 2, Southampton 3 - 2 na hii ya Liverpool 5 - 1.