Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Haya matokeo according to Forum nyingi za Waingereza wanaeneza propaganda kuwa Henderson's absence ni sababu ya yote haya..
Now wanazidi Kumkweza kijana wao na kumfanya ndiyo suluhisho la matatizo yetu.
Sasa tujianae kisaikoloji jamaa kuwa katika kundi la Our Greatest Captain Ever na kumuona anarindima uwanjani kwa kila Mchezo.