Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimefika final kubwa ya ngazi za vilabu duniani msimu uliopita nikiwa SINA kipa
Nikiwa sina Keita wala sina Fabinho wala Shaqir
Nimeongeza wachezaji wanne wazuri,Dan na Lallana wamepona
Kwa nn nisichukue ?

Mkuu Siku Hazifanani
 
Haya maneno ya Sadio Mane juu ya Goli lake lililokataliwa Kimakosa dhidi ya Arsenal Ni Mazuri Kwa Mtu Kama yeye ila tunachotaka atueke wazi tu kuwa anataka kuondoka ili tutafite replacement na mapema.

“If you remember, when I scored a goal against West Ham earlier in the season I was offside and that goal counted.

So if this time I was onside and it didn't count then you just to deal with it and accept it. Officials are human beings and sometimes we all make mistakes"
 
Liverpool squad iliyosafiri Kucheza na Nyota Nekundu ya Belgrade:
Fabinho, Van Dijk, Wijnaldum, Lovren, Milner, Keita, Firmino, Mane, Salah, Gomez, Alisson, Sturridge, Moreno, Lallana, Mignolet, Robertson, Origi, Solanke, Matip, Kelleher, Alexander-Arnold.

At least Keita amepona nadhani Hata kama Kesho Hatocheza lakini Weekend atakuwa Fiti.
 
Keita ..........Nilipoiona Jina lake nilisema Afadhali kidogo
 
Hiyo mechi ngumu mzee baba, wakikaba Hazard kwisha habari yao

Kuna Mussa Sissoko huyo, Eriksen huyo,Delle Alli huyo bado na msumbufu mmoja huyo anaitwa Lamela

Na Totte wana beki, wana kiungo, wana striker

Lazima wapoteane

Hapo bado hawajakutana na Guardiola kwenye ligi na huyo huyo huyo Pep anavyowajuliaga!!
Haya maneno yenu ya kujifariji tumeyazoea sisi tunakata mbuga tu. 16 match in all competitions unbeaten.
 
Misimu iliyopita Klopp alikuwa na tatizo la kuzifunga teams ndogo hata Anfield
Tulishindwa mfunga WBA,Burnley na wengineo
CP ilikuwa ina uwezo wa kutufunga hata Anfield
Sasa Klopp effect ipo juu,vitimu hivi tunavipiga popote pale
Wakubwa wenzetu tunalazimisha sare ugenini
Mechi ya kwanza na Man City 0-0
Tupo sawa sawa kweli,week ijayo na Fulham home ground tunampiga kiurahsi tu
Klopp katengeneza sana team!
Acha kuwapa matumaini hewa wenzako.
Kati ya timu ndogo ulizocheza nazo Huddersfield ndo anashika mkia, Cardiff ni wa 3 kutoka mwisho,
Southampton ni wa 5 kutoka mwisho, na
Crystal palace ni wa 7 kutoka mwisho.

Hizo siyo timu za kucheza nazo ukajisifia msimu huu.

Nafikiri mziki wa West ham na Brighton uliuona hata kama ulipata ushindi. Na naamini kama uliuangalia mpira wa Liverpool na Leicester unaukumbuka sana.

Sasa timu nyingi ndogo ulizobakiza ndo timu ngumu ambazo zinaweza kukuumiza.
1. Wolves(huyu kamsimamisha Man city)
2. Watford(unamkumbuka vzur huyu)
3. Everton
4. Bournemouth

Baadhi ya hizo timu lazima zitakutoe damu tu.
 
Ni muda wa kumpumzisha dogo TAA anaonekana amechoka sana.Kati ya mabeki wote yeye ndo alicheza vibaya sana siku hiyo.Bila uwepo wa VVD na Becker, ambao waliokoa michomo mingi,Arsenal walikuwa wanashinda goli nyingi tu.Clyne arejeshwe wakati dogo anarecover form yake.

Fabinho alikuwa na game mbaya sana.Ni kama vile liverpool katikati hawakuwa na mtu kabisa.Nikizingatia perfomance yake kwenye game mbili zilizotangulia bado nampa benefit of doubt.Aendelee kuchezeshwa namba sita.Kumbadilishia namba ni kumtafutia sababu ya kumweka nje ili Hendo acheze.Kama walivyosema wengine naamini 4-2-3-1 ndiyo inafaa zaidi kutumika kwasababu inatufanya tudominate dimba.Our front three wanaweza laumiwa but with weak midfield what can they do?

Ambacho nimekipenda zaidi kwenye hiyo game ni kukosekana kwa Hendo.Hakyanani angecheza basi someone in here could be posting after every one minute to narrate his findings trying to convince everyone that it was because of Hendo we were shit that day.Watu ni wabaya sana aisee wakikuchukia.Hendo sio mzuri kweli lakini kwakweli mara nyingi anakuwa tu spacegoat wakati karibia timu nzima inakuwa imepoteana.

Nadhani kama Keita amepona kabisa ni wakati sasa wa kuchezesha Fabinho,Gini na Keita kwenye midfield mfululizo (ligi na UEFA) ili wapate chemistry.Hii midfield haiwezi kutuangusha ikipewa muda.Na ndipo hapo hata front three wataweza kupimwa kweli kama wameflopp kitu ambacho sikiamini bado.
 
Ndo nn sasa, We umekutana nao wangapi kati ya hao? Je ww hawatakutoa damu au ndo ramli zenu
 
HII NDIYO POST YANGU YA MWISHO KUKUJIBU

Napata wasi wasi na umri wako na ufahamu wako ulipo/ulipokuwa shuleni!

Kuna sehemu niliyosema Liverpool inabeba ubingwa?

Mshukuruni Sana Klopp Juzi kupanga timu kwa hisani ya Waingereza, Venginevyo mungelikwisha Kujipiga Ban hapa JF.

Narudia tena Arsenal Hata ipewe muda Wa 1 Century basi kwa Msimu huu haiwezi maliza juu ya Liverpool.
acha visingizio bwana wewe na kujifanya unaujua sana mpira kuliko wenzio si tungekuona ukiwa sky sport,supersport ukichambua eti tumshukuru klop kwani yeye ndio aliyecheza?kwahiyo unataka kusema kuwa kile kilikuwa kikosi dhaifu mlichokipanga?acha hizo basi yani kuchezeshwa milner ndio unaona kocha kavuruga?wewe ndio hamna kitu kabisa na bora usinijibu maana unaongea pumba tupu mpaka mwenzako malafyale anataka kukufukuza humu maana unashusha hadhi ya hili jamvi kwa michango yako.........
 
Ni muda wa kumpumzisha dogo TAA anaonekana amechoka sana.Kati ya mabeki wote yeye ndo alicheza vibaya sana siku hiyo.Bila uwepo wa VVD na Becker, ambao waliokoa michomo mingi,Arsenal walikuwa wanashinda goli nyingi tu.Clyne arejeshwe wakati dogo anarecover form yake.

Fabinho alikuwa na game mbaya sana.Ni kama vile liverpool katikati hawakuwa na mtu kabisa.Nikizingatia perfomance yake kwenye game mbili zilizotangulia bado nampa benefit of doubt.Aendelee kuchezeshwa namba sita.Kumbadilishia namba ni kumtafutia sababu ya kumweka nje ili Hendo acheze.Kama walivyosema wengine naamini 4-2-3-1 ndiyo inafaa zaidi kutumika kwasababu inatufanya tudominate dimba.Our front three wanaweza laumiwa but with weak midfield what can they do?

Ambacho nimekipenda zaidi kwenye hiyo game ni kukosekana kwa Hendo.Hakyanani angecheza basi someone in here could be posting after every one minute to narrate his findings trying to convince everyone that it was because of Hendo we were shit that day.Watu ni wabaya sana aisee wakikuchukia.Hendo sio mzuri kweli lakini kwakweli mara nyingi anakuwa tu spacegoat wakati karibia timu nzima inakuwa imepoteana.

Nadhani kama Keita amepona kabisa ni wakati sasa wa kuchezesha Fabinho,Gini na Keita kwenye midfield mfululizo (ligi na UEFA) ili wapate chemistry.Hii midfield haiwezi kutuangusha ikipewa muda.Na ndipo hapo hata front three wataweza kupimwa kweli kama wameflopp kitu ambacho sikiamini bado.
safi sana jicho lako limeona nilipoona TAA nibeki mzuri sana tena sana ila ametumika sana so ana fatigue.........na tatizo hili ndilo linalomtesa HECTOR BELLERIN pia kina salah na mane wametumika sana
 
Ni muda wa kumpumzisha dogo TAA anaonekana amechoka sana.Kati ya mabeki wote yeye ndo alicheza vibaya sana siku hiyo.Bila uwepo wa VVD na Becker, ambao waliokoa michomo mingi,Arsenal walikuwa wanashinda goli nyingi tu.Clyne arejeshwe wakati dogo anarecover form yake.

Fabinho alikuwa na game mbaya sana.Ni kama vile liverpool katikati hawakuwa na mtu kabisa.Nikizingatia perfomance yake kwenye game mbili zilizotangulia bado nampa benefit of doubt.Aendelee kuchezeshwa namba sita.Kumbadilishia namba ni kumtafutia sababu ya kumweka nje ili Hendo acheze.Kama walivyosema wengine naamini 4-2-3-1 ndiyo inafaa zaidi kutumika kwasababu inatufanya tudominate dimba.Our front three wanaweza laumiwa but with weak midfield what can they do?

Ambacho nimekipenda zaidi kwenye hiyo game ni kukosekana kwa Hendo.Hakyanani angecheza basi someone in here could be posting after every one minute to narrate his findings trying to convince everyone that it was because of Hendo we were shit that day.Watu ni wabaya sana aisee wakikuchukia.Hendo sio mzuri kweli lakini kwakweli mara nyingi anakuwa tu spacegoat wakati karibia timu nzima inakuwa imepoteana.

Nadhani kama Keita amepona kabisa ni wakati sasa wa kuchezesha Fabinho,Gini na Keita kwenye midfield mfululizo (ligi na UEFA) ili wapate chemistry.Hii midfield haiwezi kutuangusha ikipewa muda.Na ndipo hapo hata front three wataweza kupimwa kweli kama wameflopp kitu ambacho sikiamini bado.

Mkuu yani bora tuchezeshe Mabeki Watatu tu (Robbo, VVD na Gomez) Kuliko Kumchezesh Clyne.

Kumchezesha Clyne kwasasa ni kujiweke Death Warrant kwa Makusudi.

Clyne kwasasa si mchezaji tena mkuu anapata hiyo Salary Yake tu ya Kuganga Njaa lakini si Kwampira.

Ni bora katika mechi nyepesi akapumzishwa TAA na kugaiwa yule dogo Camacho ili aandaluwe kutoa Changamoto kwa TAA kuliko kuchezeshwa Clyne.
 
Acha kuwapa matumaini hewa wenzako.
Kati ya timu ndogo ulizocheza nazo Huddersfield ndo anashika mkia, Cardiff ni wa 3 kutoka mwisho,
Southampton ni wa 5 kutoka mwisho, na
Crystal palace ni wa 7 kutoka mwisho.

Hizo siyo timu za kucheza nazo ukajisifia msimu huu.

Nafikiri mziki wa West ham na Brighton uliuona hata kama ulipata ushindi. Na naamini kama uliuangalia mpira wa Liverpool na Leicester unaukumbuka sana.

Sasa timu nyingi ndogo ulizobakiza ndo timu ngumu ambazo zinaweza kukuumiza.
1. Wolves(huyu kamsimamisha Man city)
2. Watford(unamkumbuka vzur huyu)
3. Everton
4. Bournemouth

Baadhi ya hizo timu lazima zitakutoe damu tu.
Umekuwa Shehe Yahya na unasahau sana haraka mbona?
WHU alifungwa 4-0 sasa team inayo fungwa 4-0 ndiyo ilisumbua?
Brighton alifungwa 1-0 kama ambavyo Newcastle alipo fungwa 2-1 na Man City!
Sasa hawa akina Watford ndiyo watamsumbua Liverpool huyu?
 
Mkuu Siku Hazifanani
We are far better than last year
ARSENAL kaimarika,kiwango hiki cha Man City cha Soton kukosa wao na kipa bao 3 hawamfungi Arsenal!
Hata mechi yao na Man U sio rahisi,Man City usiwaone tu kufunga waangalie nyuma
Spurs yule Lamela alikuwa anaimaliza ile game kiurahisi tu
Mkuu tupo sawa mno,tuna drop points kwa teams kubwa tu
Fulham watapigwa easy tu
 
mabeki- clyne,moreno,lovren majanga huyo lovren na matip ni kama maua ya saa nnehawana tofauti na mustafi wangu yaani hapo majembe ni gomez,VVD,ROBO na TAA ambaye nae msimu huu kama ana kauchovu flani nafikiri sababu ya kutumika sana...
viungo-ox,lallana, hawa kama gari la mkaa trip shamba trip gereji.......huyu hendo nyinyi mwenyewe mnamkataaga....fabinho flopper
dani ana mechi zake za kucheza kwa msimu sasa hivi tutaanza kumuona jukwaani hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ulisema tuna kikosi kiduchu
Kwa hiyo unakubali tuna kikosi kikubwa na sasa unakuja na madai mapya kama ni kikosi kipana LKN kibovu?
 
Haya mtoto wa klopp solanke kishapona hapa ndio ataendelea kutuonyesha klopp ni pasua kichwa haeleweki!

Kikubwa ili kunusuru huu uchezaji wa ovyo inabidi Ox apone fasta... harafu klopp aache chuki za kijinga Clyne na Origi mpaka sasa wapo wapo tu au kwasababu labda TAA ni scouser?
 
Mkuu wewe ni mshabiki wa Liverpool ila ujaribu kidogo kufuatilia team yako kwa undani. Clyne alicheza kwenye game ya Carling cup, kama uliangalia ile mechi utakuelewa kwanini kocha anamuweka nje. Clyne siyo yule tuliyekuwa tunamjua. Alikaa mwaka mzima msimu uliopita bila kugusa mpira akiuguza majeraha. Jamaa anahitaji muda ili arudi kwenye kiwango kile. Solanke ni mzima na mara kwa mara amekuwa akicheza kwenye mechi za U23 ila kwa msimu huu ujio wa shaqiri na kurejea kwa sturridge sioni nafasi kwa origi na solanke, hawa wanasubiri January waende kwa mkopo na wanatakiwa na Newcastle.
Game ya arsenal Lovren angekuwa mzima. Trent asingeanza ile mechi. Na lovren akianza mara nyingi nafasi ya Trent huchukuliwa na Gomez. Kwa maoni yangu yupo sahihi na ana taarifa nyingi kuliko sisi mashabiki tumpe support
 
Haya mtoto wa klopp solanke kishapona hapa ndio ataendelea kutuonyesha klopp ni pasua kichwa haeleweki!

Kikubwa ili kunusuru huu uchezaji wa ovyo inabidi Ox apone fasta... harafu klopp aache chuki za kijinga Clyne na Origi mpaka sasa wapo wapo tu au kwasababu labda TAA ni scouser?
Halafu kuhusu OX msimu huu wote atakuwa nje. Suala la kumsubiria OX tusahau kocha alishalitolea maelezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom