Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Spurs sio CPSpurs kwangu sio kigogo
Spurs sio CPSpurs kwangu sio kigogo
Inaitwa Chelsea sio shitKwa upande wangu msimu huu iwapo tutaendeleza kasi hiihii, na Man City & Chelshit wataendeleza kasi walizonazo mpaka mwisho Wa msimu! Basi Hata tukamate nafasi ya tatu sitolalamika kwani tumekutana na Upinzani mkali kwakweli kwenye msimu huu.

Mkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.
I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.
Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...
mkuu unafurahisha sana yaani wenzio wanautamani ubingwa wa EPL we unaona kawaida tuNakushauri ondoka hapa, hapakufai
Nakushauri hamia kwa team ambayo umeambiwa na watabiri kama ndiyo itachukua kombe!
Nani anampendelea muingereza hastahili kucheza?
Liverpool hii inachukua kombe tena sio FA
Ni Liverpool bora kabisa kupatwa kukusanywa na kocha yyt yule ktk modern football era
Team inafanya vyema bado mnaongea madudu tu!
Nani hajamfunga Soton?City kamfunga nani ambaye Liverpool hajamfunga?
Uchambuzi mbuzi kabisa
king ngwaba
malafyale msiuane tu wote mnatamani kuiona timu yenu ikichukua EPLUko sawa malafyaleKuna wachambuzi wa ajabu sana aisee
Eti hadi ana swear!
Ni kawaida team moja kuongeza points na ingne kupunguzwa points kutokana na team unayo cheza nayo week husika
Mfano week ijayo,Man City vs Man U
Liverpool atacheza na Fulham
Hapo ni wazi kabisa Liverpool ataongeza points wkt Man City na Man U wanapunguzana wao kwa wao
Jana Arsenal vs Liverpool tumepunguzana lkn Man City kacheza na trash Soton kashinda
Liverpool atacheza na Newcastle siku ambayo Man City na Chelsea watapunguzana
Mtu hayajui haya anaongea sijui madudu gani
Liverpool tupo sawa sana,sijapata ona Liverpool bora kama hii
Thank you Klopp,thank you very much
Ubingwa mwaka huu ni teams tatuUko sawa malafyale
Msimu uliopita ulituambia majogoo yanachukua ubingwaUbingwa mwaka huu ni teams tatu
Chelsea,Man City na Liverpool
Hamna team itakayo chukua ubingwa hata na mechi moja mkononi kama upuuzi ule wa mwaka jana!
Teams hizi 2 zimeimarika sana na tayari kabisa kum challenge City
City HANA uhakika wowote wa kutetea kiti chake
Mwaka jana mechi ya 8 tu mm nilijua City ni bingwa
Mwaka huu no way
Tunashuhudia EPL bora kabisa
WEWE HEBU TOA HIYO TAKATAKA LOSERFOOL KTK MBIO ZA UBINGWA WEKA GUNNERZUbingwa mwaka huu ni teams tatu
Chelsea,Man City na Liverpool
Hamna team itakayo chukua ubingwa hata na mechi moja mkononi kama upuuzi ule wa mwaka jana!
Teams hizi 2 zimeimarika sana na tayari kabisa kum challenge City
City HANA uhakika wowote wa kutetea kiti chake
Mwaka jana mechi ya 8 tu mm nilijua City ni bingwa
Mwaka huu no way
Tunashuhudia EPL bora kabisa
Mwaka jana nilikuwa naongelea kuhusu CL sio EPLMsimu uliopita ulituambia majogoo yanachukua ubingwa
Kuiweka ARSENAL ktk title contender hata hili jiwe litapiga keleleWEWE HEBU TOA HIYO TAKATAKA LOSERFOOL KTK MBIO ZA UBINGWA WEKA GUNNERZ
Kwa sababu tumetoa sare na Man City,Chelsea na Arsenal?Kaka malafyale naona unapambana kutetea unachokiamini. Ila honestly mm ni Liverpool fan lkn sioni epl ikiwa upande wetu mwaka huuu. Bado tuna safari ndefu sana kuutwaa ubingwa.
Mkuu na nyie Arsenali mnamatumaini??? hahahhaWEWE HEBU TOA HIYO TAKATAKA LOSERFOOL KTK MBIO ZA UBINGWA WEKA GUNNERZ
Wamepotea kivipi?
Mbona ndiyo takwimu zinawabeba zaidi?
Tumetoka sare na big teams tu Man City,Chelsea ugenini na Arsenal ugenini
Team ipo sawa sana,sasa tunacheza na Fulham,Watford na akina Newcastle
Hapo akina Mane watafunga tu
Kwa sababu tumetoa sare na Man City,Chelsea na Arsenal?
Au una points zipi mkuu za kuitoa Liverpool kwenye ubingwa?
Kuna vituko sana HahahahahaMkuu na nyie Arsenali mnamatumaini??? hahahha
Winning winning... 😀 😀![]()
![]()
mkuu unafurahisha sana yaani wenzio wanautamani ubingwa wa EPL we unaona kawaida tu
loserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumzaMkuu na nyie Arsenali mnamatumaini??? hahahha
Nakubali mkuuu. swali ni kwamba nyie asenane mna mpango wa kubeba kombe gani???loserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumza
Go check the archives mkuuMsimu ulioisha hatukuwa tunahitaji kukutana na timu mbovu ndo tufunge, tulikuwa tunakiwasha popote na kwa yeyote. Bahati mbaya tulikuwa tunafunga na tunafungwa pia.
This time tatizo la kufungwa limedhibitiwa, flow ya game siyo ile tuliyokuwa nayo, ndo maana kila siku tunazungumzia winning ugly.
Winning ugly, winning ugly...