Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo usijeshangaa Ukamkuta Lallana Kaanza, na yule Mbilikimo Xhaqiri yupo juu anawarm bench.
Inabidi tuwe na kikosi chenye ushindani kwenye 1st eleven na bench sio kuwa na wachezaji wanaocheza ili mradi wamecheza... leo sitamani kumuona Lallana au Milner ndani tutaharibu
 
Inabidi tuwe na kikosi chenye ushindani kwenye 1st eleven na bench sio kuwa na wachezaji wanaocheza ili mradi wamecheza... leo sitamani kumuona Lallana au Milner ndani tutaharibu

Kwa James Milner umepotoka mkuu

Kwa sasa Milner yuko form hatari sana
 
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
waliosubiri zaidi ya miaka 40 mbona mlikaa kimya au unaona ni Liverpool tu..sisi hutawala EPl ni jadi yetu sio mafanikio ya muda mfupi mfupi kama jmaa fulani waliosubiri wallet ya mrusi, na mwarabu n.k..
 
Kwa James Milner umepotoka mkuu

Kwa sasa Milner yuko form hatari sana

Mkuu Milner anao uwezo wa kukaba na si kumiliki mpira. Tafuta top Class midfielder ambae hawezi kumiliki mpira! Tunae Fabinho pale ambae anaweza kucheza mpira hata akiwa anakabwa na watu wengi na anaweza kumiliki mpira
 
Sherehe kwangu maana washakuwa forced kuwachezesha Xhaka na Toreira ambao ni average midfielders, tutapeta tu pale kati mkata umeme wa maana hamna
Xhaka game ya Crystal alicheza beki wa kushoto leo sijui watamchezesha wapi...kazi wanayo maana wana majeruhi lukuki...
Waje tu..hii game ni ya kushinda maana japo walishinda mechi zao zote defence yai ni shindaa, front 3 wakitulia leo ushindi
 
Sherehe kwangu maana washakuwa forced kuwachezesha Xhaka na Toreira ambao ni average midfielders, tutapeta tu pale kati mkata umeme wa maana hamna
Sawa Mimi nimepita hapa Arsenal nawasalimu ndugu nitarudi tena baada ya mechi kuja kuwapongeza na Asante kwa kutufundisha Mpira
Arsenal 1...LFC 4
 
waliosubiri zaidi ya miaka 40 mbona mlikaa kimya au unaona ni Liverpool tu..sisi hutawala EPl ni jadi yetu sio mafanikio ya muda mfupi mfupi kama jmaa fulani waliosubiri wallet ya mrusi, na mwarabu n.k..
chelsea tena walisubiri 50 ndio Murinyo 2005 kuja kubeba ubingwa...Man utd walisubiri 26yrs nao kujakubeba 1992....asa unatucheka sie wakati tupo kwenye right track...
 
Sijasema mbovu lakini kwa kipindi hiki liver tunawachezaji ambao wanafanya anachofanya milner na zaidi...

Kwani ni kiungo gani wa liver ambaye hayupo form this season mkuu? Kuna muda tunahitaji zaidi magoli kuliko cleansheet ukizingatia hasa mpinzani wetu ni man city kwenye race ya ubingwa!

Kwa James Milner umepotoka mkuu

Kwa sasa Milner yuko form hatari sana
 
Kwenye mashambulizi milner sio mzuri kama xhaqiri na kazi ya milner mtu kama Gini au Fab wanaweza ifanya kwa ufasaha tu...

Kumbuka PSG na kipeperushi chao huko wamechapisha habari ili kumjaza upepo fabinho so inabidi apangwe vinginevyo jamaa ataingia king
Milner huharibu nini?
 
Xhaka game ya Crystal alicheza beki wa kushoto leo sijui watamchezesha wapi...kazi wanayo maana wana majeruhi lukuki...
Waje tu..hii game ni ya kushinda maana japo walishinda mechi zao zote defence yai ni shindaa, front 3 wakitulia leo ushindi

Of course fellow KOP, ukiwauliza beki yao wanayoikubali utasikia Rob Holding. Pale namuogopa Mesut Ozil labda na Ramsey maana wanajua
 
Nashukuru mkuu umenielewa tusifurahie tu cleansheet tujitahidi kuangalia pia mpinzani wetu kwenye mbio ya ubingwa yupoje!

Mpaka sasa man city kama sikosei anagoli 27 so tunahitaji viungo ambao watakuwa flexible yaani Gini Fab na Xhaqiri hawa watu wamejitosheleza kabisa
Mkuu Milner anao uwezo wa kukaba na si kumiliki mpira. Tafuta top Class midfielder ambae hawezi kumiliki mpira! Tunae Fabinho pale ambae anaweza kucheza mpira hata akiwa anakabwa na watu wengi na anaweza kumiliki mpira
 
Nashukuru mkuu umenielewa tusifurahie tu cleansheet tujitahidi kuangalia pia mpinzani wetu kwenye mbio ya ubingwa yupoje!

Mpaka sasa man city kama sikosei anagoli 27 so tunahitaji viungo ambao watakuwa flexible yaani Gini Fab na Xhaqiri hawa watu wamejitosheleza kabisa

Of course
 
Klopp: January signings unlikely

Liverpool are unlikely to make significant moves in the forthcoming January transfer window, explained Jürgen Klopp.

The Reds completed four signings last summer as Fabinho, Naby Keita, Xherdan Shaqiri and Alisson Becker joined the club.

Klopp believes his squad is therefore sufficiently stocked to last the season – barring any unexpected circumstances in the next few months.

“If crazy things happen then maybe we have to think new but I don’t expect that,” said the manager.

“At the moment it doesn’t look like we will be too busy but it all depends on injuries and things like that. In the moment we have each position twice, three times and sometimes four times covered.

“I don’t think there is any reason to try to do something really big like bring in another striker.

“We have all that we need. Our job now is to use the quality that we have and to work with it because one player doesn’t change it.”
 
Xhaka game ya Crystal alicheza beki wa kushoto leo sijui watamchezesha wapi...kazi wanayo maana wana majeruhi lukuki...
Waje tu..hii game ni ya kushinda maana japo walishinda mechi zao zote defence yai ni shindaa, front 3 wakitulia leo ushindi
Leo anaenda kati kukipiga na torreira,then kushoto.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom