Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Unakariri mambo tu!loserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumza
Mabeki wa pembani:Clyne,TIA,Robo,Moreno
Mabeki wa kati:Matip,Lovren,Gomez,VVD
Viungo:Wilj,Milner,Fabihno,Keita,Hendo,Lallana
Mbele ndiyo wala sitaji akina Dan akina Shaqir na watatu regular!
Kikosi kipana kama hiki kinacho weza kuwa na team mbili kali na bado wachezaji wakabaki kinaitwa eti sio kikosi kipana!Maajabu haya kwa kweli
Liverpool tupo OK sana na tusubiri May