Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We naye umepotea njia! Perfomance ya Salah jana ilikuwa ya viwango vya juu! Salah kasababisha nafasi nyingi kwa mane na firmino sema ndo hvyo umaliziaji ulkuwa tatizo.
mkuu ni mtazamo wangu kwahiyo sio lazima kukubali harafu usinifanye kipofu wakati nina macho mawili na yanafanya kazi kwa ufasaha embu nikumbushe nafasi salah aliyomtengenezea mane au firmino lasivyo nikwambie tu usikurupuke huo upuuzi wa salah anaofanya watu kama wakina sterling walishafanya wakati ndio makinda lakini saizi wamekuwa wameonja ladha ya ubingwa na wanajua nini chakufanya wakiwepo uwanjani
 
You know me brother, i'm not that deluded.

and if umepitia my recent posts, nimediscuss kuhusu kumpa Klopp muda kuhusu EPL, because he needs more that time ili kubeba hili kombe.

unajua this summer, tulisajili 2 midfielders ambao strength yao ni kwenye mfumo wa 4-2-3-1 (mainly Fabinho), but Klopp anashindwa kuswitch completely kwenye huo mfumo kwasababu anaogopa "his brexit boys" watakuwa eased-out completely.

Jana, kacheza 4-3-3 ili Milner acheze (not bad), but how do you link na front-3 bila ya kuwa second-hand creative mid? ambaye kwasasa ni Shaqiri?, kwanini usicheze mfumo ambao midfielders wako wanakuwa free sana kuucheza? why ucheze defensive game na team ambayo haina defensive cover nzuri?

he played 4-3-3. and Unai kacheza na mfumo wake ule ule wa siku zote wa 4-2-3-1 and he outclassed him kabisa.

Unai knew kabisa mfumo wake huu ungewaondoa kabisa wachezaji kama kina Ramsey, ambao wamekuwepo kwenye Club kwa muda mrefu, but hakujali kabisa but kwa Klopp ni tofauti kabisa ndiyo maana anachelewa sana kuwin trophies.
Mkuu jana hilo suala la Milner nimegusia watu wamejudge bila kujua hoja yangu ni nini, yani huwezi anza na viungo wote wenye asili ya kukaba na utegemee points tatu ukiwa ugenini itakuwa uongo... tunahitaji Ox apone Shaqiri aanze unless otherwise tunailinda nafasi ya nne tu
 
Asante sana kwa analysis nzuri....
Binafsi nilijihoji ilikuwaje akaingia na mfumo huo ilhali akijua kabisa utamuoutfit mchezaji hata aonekane mzururaji tu uwanjani?
Kwa nini asimtoe Milner ili Shaq aingie na kujaribu mfumo wa 4-2-3-1 ulionekana mzuri kwa mechi mbili mfululizo? Je hakujiamini kuwa anaweza kushinda hivyo alilazimika wacheze kujilinda? Sikuona sababu ya Andunje Torreira kutamba kwenye dimba la kati namna ile wakati Shaq alikuwa na uwezo wa kusumbua ile back-four ya Arsenal.
Nami nina mashaka kuwa twaweza kuwa title-contender kwa mara nyingine mbele ya Man City na Chelsea.
Kumbuka Sarri ameshatamka kuwa ingawa Moses ni mzuri lakini hafiti kwa mfumo wake. Naye kwa nini asituambie kuwa hajui mfumo gani autumie kwa kikosi chake?
 
Bro, siku hizi kuna baadhi ya wachezaji nimeona nisiwe nawagusa kabisa kwenye posts zangu ili kuepusha school-boy discussions na wazee wetu, na kuharibu mtiririko wa hii thread
 
Asante sana kwa analysis nzuri....
Binafsi nilijihoji ilikuwaje akaingia na mfumo huo ilhali akijua kabisa utamuoutfit mchezaji hata aonekane mzururaji tu uwanjani?
Kwa nini asimtoe Milner ili Shaq aingie na kujaribu mfumo wa 4-2-3-1 ulionekana mzuri kwa mechi mbili mfululizo? Je hakujiamini kuwa anaweza kushinda hivyo alilazimika wacheze kujilinda? Sikuona sababu ya Andunje Torreira kutamba kwenye dimba la kati namna ile wakati Shaq alikuwa na uwezo wa kusumbua ile back-four ya Arsenal.
Nami nina mashaka kuwa twaweza kuwa title-contender kwa mara nyingine mbele ya Man City na Chelsea.
Kumbuka Sarri ameshatamka kuwa ingawa Moses ni mzuri lakini hafiti kwa mfumo wake. Naye kwa nini asituambie kuwa hajui mfumo gani autumie kwa kikosi chake?

Sarri had to move Kante out of that "D' position kwaajili ya Jorginho, he then went further na kuwaondoa watu kama kina Moses/Cesc etc kwenye his mid and wide area ili kuimplement mfumo wake, ikumbukwe ana miezi michache sana Chelsea.

Maybe, kwa LFC, tuna tight owners na manager hawezi kuimplement his idea katika msimu wa kwanza, but after three years bado unakuwa unategemea the same midfield? i mean after buying Keita and Fabinho for over 100m bado unataka wacheze mfumo ambao una-accomodate brexit boys? hawa brexit boys tumekuwa nao miaka mingapi LFC, na wametupa kombe gani? kwanini tusijaribu hawa mids wapya tuone watatupa nini? sasa kama Manager anaogopa changes itakuwaje kwa wachezaji?

Torreira alitawala mid area kwasababu hatu-press kabisa now, tunacheza long balls tu sahiv, hata kina Robertson ambao tulikuwa tumezoea kuona wakifanya overlaps za mara kwa mara, siku hizi wanacheza long balls tu, and hawawezi kufanya hivyo bila kuwa instructed na Manager.

we have been poor msimu mzima, kibaya zaidi wenzetu wengine wanazidi kuimprove, mwisho wa siku tunaweza tukakosa kabisa Top four kama Klopp akiogopa kuchukua risk, i mean inakuwaje WC manager anaogopa kuchukua risks? kwahiyo huu mfumo wa 4-2-3-1 tutakuwa tunauona kwenye games ndogo tu? whats the point?
 
You know me brother, i'm not that deluded.

and if umepitia my recent posts, nimediscuss kuhusu kumpa Klopp muda kuhusu EPL, because he needs more that time ili kubeba hili kombe.

unajua this summer, tulisajili 2 midfielders ambao strength yao ni kwenye mfumo wa 4-2-3-1 (mainly Fabinho), but Klopp anashindwa kuswitch completely kwenye huo mfumo kwasababu anaogopa "his brexit boys" watakuwa eased-out completely.

Jana, kacheza 4-3-3 ili Milner acheze (not bad), but how do you link na front-3 bila ya kuwa second-hand creative mid? ambaye kwasasa ni Shaqiri?, kwanini usicheze mfumo ambao midfielders wako wanakuwa free sana kuucheza? why ucheze defensive game na team ambayo haina defensive cover nzuri?

he played 4-3-3. and Unai kacheza na mfumo wake ule ule wa siku zote wa 4-2-3-1 and he outclassed him kabisa.

Unai knew kabisa mfumo wake huu ungewaondoa kabisa wachezaji kama kina Ramsey, ambao wamekuwepo kwenye Club kwa muda mrefu, but hakujali kabisa but kwa Klopp ni tofauti kabisa ndiyo maana anachelewa sana kuwin trophies.

Kwa mtazamo wangu Gini, Milner ni watu wa kutokea sub, hatujachukua title almost thirty years kwa maana tunacompete tuchukue tuondoe gundu. Sasa tuna prompt competition gani kwa hii midfield yake pendwa huyu mzee ya Gini-Hendo-Milly ? Huku mchuano ni mgumu mgumu kuna timu kama nne sasa hivi ni title favorites(City,Chelsea,sisi na Arsenal)

Hiyo midfield tunayojitamba ilitupeleka final ya UCL msimu uliyopita nasema haifui dafu kwa current midfield ya Arsenal! Hawa waingereza Kocha wetu anawaogopa kivipi nawaza aisee.Gini-Milly-Hendo ukicompete na Fernandino-Kdb-Silva bado kwengine Kante-Gorginho-Kovacic. Ushabiki mchungu bana
 
Firmino been shit this season,

i mean, why play him if we are not pressing teams anymore?

he's not suited to long balls at all, so its better to bench him kuliko kumfanya apate unfair criticism kutokana na hii useless style of play ya sasa.

besides, just play DS who is suited to this style of play.
 
Kwa mtazamo wangu Gini, Milner ni watu wa kutokea sub, hatujachukua title almost thirty years kwa maana tunacompete tuchukue tuondoe gundu. Sasa tuna prompt competition gani kwa hii midfield yake pendwa huyu mzee ya Gini-Hendo-Milly ? Huku mchuano ni mgumu mgumu kuna timu kama nne sasa hivi ni title favorites(City,Chelsea,sisi na Arsenal)

Hiyo midfield tunayojitamba ilitupeleka final ya UCL msimu uliyopita nasema haifui dafu kwa current midfield ya Arsenal! Hawa waingereza Kocha wetu anawaogopa kivipi nawaza aisee.Gini-Milly-Hendo ukicompete na Fernandino-Kdb-Silva bado kwengine Kante-Gorginho-Kovacic. Ushabiki mchungu bana

Klopp anajua soccer management kuliko sisi man

but if you ask Sousness (Top 5 midfielder to ever played for this club) atakwambia pivot ya Faby na Keita ikiwa suported na Shaqiri ndiyo the only way.

but kwasasa, kipindi ambacho Keita anastruggle, tungestick na pivot ya Faby na Gini, wakisaidiwa na Shaqiri, na Milner atumike kwenye home CL games tu.

sasa klopp jana kacheza 3-man midfield kwaajili ya Milner tu and not other-wise
 
Kazi tunayo

Huyu City huyu na bado kule kuna Chelsea binafsi sijui
 
Mkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.

I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.

Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...
 
.....daaah ! Gulp...gulp...gulp !
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa hivi hawa kina Mane, Salah na Firmino ndo walewale wa mwaka jana au tumebadilishiwa?

Walitubeba timu ikiwa haina defense, leo defense iko wao wamepotea.
Wamepotea kivipi?
Mbona ndiyo takwimu zinawabeba zaidi?
Tumetoka sare na big teams tu Man City,Chelsea ugenini na Arsenal ugenini
Team ipo sawa sana,sasa tunacheza na Fulham,Watford na akina Newcastle
Hapo akina Mane watafunga tu
 
Mkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.

I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.

Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...
Nakushauri ondoka hapa, hapakufai
Nakushauri hamia kwa team ambayo umeambiwa na watabiri kama ndiyo itachukua kombe!
Nani anampendelea muingereza hastahili kucheza?
Liverpool hii inachukua kombe tena sio FA
Ni Liverpool bora kabisa kupatwa kukusanywa na kocha yyt yule ktk modern football era
Team inafanya vyema bado mnaongea madudu tu!
Nani hajamfunga Soton?City kamfunga nani ambaye Liverpool hajamfunga?
Uchambuzi mbuzi kabisa
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha dah.aisee
 
Naona lawama nyingi za kuboronga kwa mid yetu jana zinaenda kwa Fabinho while both Milner and Gin walifichwa, Arsenal waliutawala sana mpira eneo la kati, generally our perfomance was poor ingawa still unbeaten and one point away so mbaya. Msimu huu bundi kahamia eneo la midfield but we have time to change
Fabihno alicheza vibaya sana lkn nimechi ya kwanza kwake kubwa
Sasa tumuangalie ktk mechi ya PSG na baadae Man City
Alicheza vyema na Cardif sababu hiyo team ni trash
I believe Fabihno ata come back strong
 
Nakushauri ondoka hapa, hapakufai
Nakushauri hamia kwa team ambayo umeambiwa na watabiri kama ndiyo itachukua kombe!
Nani anampendelea muingereza hastahili kucheza?
Liverpool hii inachukua kombe tena sio FA
Ni Liverpool bora kabisa kupatwa kukusanywa na kocha yyt yule ktk modern football era
Team inafanya vyema bado mnaongea madudu tu!
Nani hajamfunga Soton?City kamfunga nani ambaye Liverpool hajamfunga?
Uchambuzi mbuzi kabisa
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Mkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.

I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.

Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...

Wahenga walisema asiekubali kushindwa si mshindani, ngoja nikubali hali yetu. Hapa nasubiria tu Archrivalry derbies na Manchester Utd kama tunaweza lipa kisasi cha msimu uliopita ama vipi. Kama vipi nitacheki La Liga kule labda kuna faraja kidogo
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Kuna wachambuzi wa ajabu sana aisee
Eti hadi ana swear!
Ni kawaida team moja kuongeza points na ingne kupunguzwa points kutokana na team unayo cheza nayo week husika
Mfano week ijayo,Man City vs Man U
Liverpool atacheza na Fulham
Hapo ni wazi kabisa Liverpool ataongeza points wkt Man City na Man U wanapunguzana wao kwa wao
Jana Arsenal vs Liverpool tumepunguzana lkn Man City kacheza na trash Soton kashinda
Liverpool atacheza na Newcastle siku ambayo Man City na Chelsea watapunguzana
Mtu hayajui haya anaongea sijui madudu gani
Liverpool tupo sawa sana,sijapata ona Liverpool bora kama hii
Thank you Klopp,thank you very much
 
Misimu iliyopita Klopp alikuwa na tatizo la kuzifunga teams ndogo hata Anfield
Tulishindwa mfunga WBA,Burnley na wengineo
CP ilikuwa ina uwezo wa kutufunga hata Anfield
Sasa Klopp effect ipo juu,vitimu hivi tunavipiga popote pale
Wakubwa wenzetu tunalazimisha sare ugenini
Mechi ya kwanza na Man City 0-0
Tupo sawa sawa kweli,week ijayo na Fulham home ground tunampiga kiurahsi tu
Klopp katengeneza sana team!
 
Hawa washabiki Wa Chelshit akili zao sijui zina madini gani!!!

Chelsea kadraw Home na Liverpool na Man United, Na Kashinda Home dhidi ya Arsenal...

Liverpool kadraw Away na Chelsea na Arsenal...
Kashinda Away dhidi ya Spurs...
Kadraw Home dhidi ya Man City.

Halafu unatokea mshabiki Wa Chelshit anaandika Comment kama hiyo....
Sasa wewe uliyemfunga Arsenal pekee tena home, Na Mimi niliyemfunga Spurs pekee tena Away kweli ulichokiandika Kinamake sense?

Sasa Round ya Kwanza umecheza Home mechi za Vigogo zote na umeibuka na Vidraw, basi subiri 2nd round uanze kutoka Away then uje na Comment kama hii.
Spurs kwangu sio kigogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom