Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Sijawahi kuona Liverpool akishinda ubingwa aiseeIla kumbuka liver ndo kabeba mara nyingi EPL na UEFA kuliko club yoyote ile England
Sijawahi kuona Liverpool akishinda ubingwa aiseeIla kumbuka liver ndo kabeba mara nyingi EPL na UEFA kuliko club yoyote ile England
Naona watu mmeweka kibanzi machoni... salah simuelewi anampango gani na sisi
Mkuu game unaangalizia kuzimu au.?FT Arsenal 0-0 Liverpool.
Bonge la game. Van Jink ni bonge la Centers back. Katuli hana papara. Matokeo ni fair kabisa.
wewe mara ya mwisho timu yako ya taifa kufuzu AFCON ilikuwa ni lini mbona mwaka huu inajipa matumaini kuwa itafuzuTulia kisu kimekata mfupae
Tehe tehe teh
called big 4 bado wanavitofali...so far this season tupo kwenye right track guys....Tukumbuke Kuwa This season mpaka sasa tupo Unbeaten!
Tumetika sare na:-
Chelsea
Man City
Arsenal
Na wala hatujatoka Sare na Fulham! Kwahiyo hiyo sio progree ndogo.
Mkuu game unaangalizia kuzimu au.?
Teh teh umehamia kwenye timu ya taifa tena mkuu. Kubali tu umeshindwawewe mara ya mwisho timu yako ya taifa kufuzu AFCON ilikuwa ni lini mbona mwaka huu inajipa matumaini kuwa itafuzu

TAA kuna kitu kimemsibu this season! Ametuexpose kwenye game ya leo
Gini kupangwa nyuma mbele faby humlaumu?Leo Kwa Klopp sina Cha Kulaumu Kwa Line Up hii...
Kwakweli hii Kwa kikosi chetu ni Strong Line Up..
Kushinda au Kupoteza itategemea na Watakavyoperform pamoja na game plan ya Wapinzani wetu.
Kwa game ya leo hata point 1 ya sare naridhika nayo.
Kapangwa namba asio imudu nahisi kocha anamtengenezea zengwe tuFabinho hayupo mchezoni.
Fabinho ana yellow anaogopa ku tackle nashangaa kwanini kocha bado anamuacha
hivi kama liver mara ya mwisho kushinda epl ni 1990 ndio inapaswa ifungwe kila mechi?Teh teh umehamia kwenye timu ya taifa tena mkuu. Kubali tu umeshindwa
Binafsi hata mimi sikumbuki mara ya mwisho kufuzu ilikua lini ninachokumbuka ni liver alichukua epl mwaka 1990 takribani miaka 28 iliyopita![]()
![]()
![]()
Na Totte Anaenda kumtoa pale No.4 Muda Si MrefuUnashangilia draw yetu wakati bado hujakutana naTottenham na Manchester city?!!
Sisi this first round tumembakiza Manchester Utd
Unashangilia draw yetu wakati bado hujakutana naTottenham na Manchester city?!!
Sisi this first round tumembakiza Manchester Utd
Mpaka nimetukana peke yangu, huyu jamaa anacheza kivivu sana muda mwingine anabaki na mpira bila msingi
Na Totte Anaenda kumtoa pale No.4 Muda Si Mrefu