Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu wewe ni mshabiki wa Liverpool ila ujaribu kidogo kufuatilia team yako kwa undani. Clyne alicheza kwenye game ya Carling cup, kama uliangalia ile mechi utakuelewa kwanini kocha anamuweka nje. Clyne siyo yule tuliyekuwa tunamjua. Alikaa mwaka mzima msimu uliopita bila kugusa mpira akiuguza majeraha. Jamaa anahitaji muda ili arudi kwenye kiwango kile. Solanke ni mzima na mara kwa mara amekuwa akicheza kwenye mechi za U23 ila kwa msimu huu ujio wa shaqiri na kurejea kwa sturridge sioni nafasi kwa origi na solanke, hawa wanasubiri January waende kwa mkopo na wanatakiwa na Newcastle.
Game ya arsenal Lovren angekuwa mzima. Trent asingeanza ile mechi. Na lovren akianza mara nyingi nafasi ya Trent huchukuliwa na Gomez. Kwa maoni yangu yupo sahihi na ana taarifa nyingi kuliko sisi mashabiki tumpe support
Ishu ya Clyne ipo wazi sana klopp hamkubali huyu jamaa halafu huyo solanke sitii maneno mengi utaona we mwenyewe kwenye hizi mech mbili tatu zijazo
 
hayo ni maneno tu ...wewe mwenyewe unajua fika kuwa huna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu na suala la ARSENAL kumaliza juu ya LOSERFOOL ni suala la muda tu so tutaona...........katimu kembamba sana hako tusubiri january ................mkichukua ubingwa na timu hii mimi nahama GUNNERS
Hivi hadi leo mmefungwa game ngapi EPL?
 
Ishu ya Clyne ipo wazi sana klopp hamkubali huyu jamaa halafu huyo solanke sitii maneno mengi utaona we mwenyewe kwenye hizi mech mbili tatu zijazo

Mkuu inaonesha unaishi kwa Kukariri kuwa tokea ulipomuona Clyne Mwaka 2016 akiichezea Liverpool basi unahisi Kiwango Chake kipo vilevile.
Nadhani umesahau kuwa Mwaka Mzima Wa 2017 huyu mtu alikuwa Kitandani anauguza Majeraha.
Na inaonesha tokea huo Mwaka 2016 hujawahi kumuona akicheza Hata Carabao.

Kwahiyo Hata Lallana unaweza kutushauri kuwa tumchezeshe kulingana na Kiwango chake cha 2016 na si Kiwango chake cha sasahivi alichonacho.

Mkuu kuna mambo usishikilie tu kwasababu eti unamkumbuka mchezaji miaka 3 iliyopita alikuwa na Kiwango bora!! Huu si Mwaka 2016 Bali Ni 2018.
 
Milner kaiokoa team

Kazi ipo

Namkubali kwamba anaweza kusaidia kukaba, ila sio kiungo ambae ni World Class.

Barca sasa hivi ni kama wameshapata replacement ya Xavi, wakati huo sisi tunawapigia chapuo waingereza wakati mpira wao bado sana
 
Adam Lallana. Nathan Clyne.Origi .......... Kuna wachezaji wengine wameshakuwa AMATEUR PLAYER kwenye Squad ya Liverpool hawatakiwi kuwepo hata Substution.
 
Eti shaqri out duh
Mkuu shaqiri ameachwa kwa sababu maalum. Jamaa walijiandaa kumshambulia huko Serbia. Fuatilia habari usome kwanini kaachwa. Wazazi wa shaqiri inasemekana ni wa Yugoslavia. Ukifuatilia historia ya Serbia na Yugoslavia utaelewa. Na shaqiri alishawahi kushangilia goal kwa style ambayo iliwaudhi. Klopp ameona amuache ili isije ikaleta shida huko
 
Mkuu inaonesha unaishi kwa Kukariri kuwa tokea ulipomuona Clyne Mwaka 2016 akiichezea Liverpool basi unahisi Kiwango Chake kipo vilevile.
Nadhani umesahau kuwa Mwaka Mzima Wa 2017 huyu mtu alikuwa Kitandani anauguza Majeraha.
Na inaonesha tokea huo Mwaka 2016 hujawahi kumuona akicheza Hata Carabao.

Kwahiyo Hata Lallana unaweza kutushauri kuwa tumchezeshe kulingana na Kiwango chake cha 2016 na si Kiwango chake cha sasahivi alichonacho.

Mkuu kuna mambo usishikilie tu kwasababu eti unamkumbuka mchezaji miaka 3 iliyopita alikuwa na Kiwango bora!! Huu si Mwaka 2016 Bali Ni 2018.
Kop kwa hii hoja yako unataka kusema hata Ox hana maana tena kwenye timu?

Kwanza hatuna hoja maalumu ya kumjudge Clyne kwasababu mpaka sasa ajacheza hata game tatu! Apewe nafasi tuone kama kweli kaisha au hajaisha
 
Eti shaqri out duh

Mkuu Kama ulivyojibiwa na nyegere86 nikwamba Xhaqiri hakuachwa kwa sababu ya kimpira, Bali kaachwa kwa Sababu za Kidiplomasia Kwani Xhaqiri ametokea Kosovo na Albania ambao Ni Mahasimu wakubwa ya Yugoslavia sasahivi Serbia (baada ya Kugawika) , Kwahiyo Waserbia Watu wanaowachukia Zaidi Ni Xhaqiri na Xhaka (Wa Arsenal) jambo ambalo Mashabiki Wa Serbia wameshajiandaa kwa ajili ya Xhaqiri jambo linaloweza kupelekea Mashabiki Wa Liverpool na wao Wakaingia katika Vurugu kwa kujibu mapigo.

Ndiyomana Klopp kaamua Kuliepusha hili kwa Kumuacha Xhaqiri na Kuepuka Ban inayoweza kutupata kama Mwaka 1985.

Hapa imetumika busara zaidi
 
Kop kwa hii hoja yako unataka kusema hata Ox hana maana tena kwenye timu?

Kwanza hatuna hoja maalumu ya kumjudge Clyne kwasababu mpaka sasa ajacheza hata game tatu! Apewe nafasi tuone kama kweli kaisha au hajaisha

Sasa hapo Mkuu kumuingiza Clyne uwanjani ili tuone kuwa ameisha au hajaisha itakuwa tunajaribu wakati kwenye Mpira Hakuna Kitu majaribio.

Na kuhusu OX hilo lipo wazi atakapokuja Hatuna uhakika kuwa atakuwa vilevile alivyokuwa.
 
Mkuu shaqiri ameachwa kwa sababu maalum. Jamaa walijiandaa kumshambulia huko Serbia. Fuatilia habari usome kwanini kaachwa. Wazazi wa shaqiri inasemekana ni wa Yugoslavia. Ukifuatilia historia ya Serbia na Yugoslavia utaelewa. Na shaqiri alishawahi kushangilia goal kwa style ambayo iliwaudhi. Klopp ameona amuache ili isije ikaleta shida huko
Na Fifa walimtwanga faini kwa kosa hilo la ushangiliaji.
 
Sasa mchezaji tutasemaje ni bora au mbovu kama hapati nafasi? Halafu majaribu kwenye timu yetu yanaanzia kwa kocha sio mashabiki yani anapanga kikosi kama kavuta shisha!

Juzi ndio nimekuoa umesema kweli kuhusu kombe sisi tunasafari ndefu ila nafasi ya nne tutaishikilia kama Wenger na Arsenal yake
Sasa hapo Mkuu kumuingiza Clyne uwanjani ili tuone kuwa ameisha au hajaisha itakuwa tunajaribu wakati kwenye Mpira Hakuna Kitu majaribio.

Na kuhusu OX hilo lipo wazi atakapokuja Hatuna uhakika kuwa atakuwa vilevile alivyokuwa.
 
#LFC line up v Red Star tonight: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Milner, Lallana, Mane, Salah, Sturridge.

Subs: Mignolet, Fabinho, Keita, Firmino, Gomez, Moreno, Origi.
 
Watabisha wasiopenda
IMG-20181106-WA0001.jpeg
 
Umekuwa Shehe Yahya na unasahau sana haraka mbona?
WHU alifungwa 4-0 sasa team inayo fungwa 4-0 ndiyo ilisumbua?
Brighton alifungwa 1-0 kama ambavyo Newcastle alipo fungwa 2-1 na Man City!
Sasa hawa akina Watford ndiyo watamsumbua Liverpool huyu?
Comment reserved
 
Dah klopp bado sio kocha jasiri hata siku moja, nasubiri na hendo apone ili tuendelee kufaidi creative mid ya hendo, milner na lallana hapo ndo naona tutabeba kombe huku tukitandaza soka tamu la kiingereza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom