Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukizunngumza kisoka Liverpool hii inataka Ubingwa.

Fabinho hakucheza kama tulivotarajia ila amecheza vizuri, na ndio sababu akina Ozil wamecheza vizuri, ukiangalia kwa Arsenal torrera ndio amecheza vizuri sana kati.

Tunachotakiwa ni kutopoteza game za timu chini ya Big 6 na kutumia uwanja wetu
 
Match za wakubwa kesho Liverpool anashuka Mpaka nafasi ya 3
Nimebet sare nimekula Mzigo wa maana tu
Asanteni wana Liverpool
 
Hiyo mechi ngumu mkuu, nakuambia its possible City anashinda
Najua ni ngumu Man u kutamba mbele ya city lakini hakuna namna adui lazima aombewe njaa.
Kingine kinachotubeba game saba zijazo zote tunauhakika wa kubeba points kikubwa tuombee tu majeruhi yasitupate na wachezaji waimprove yani mtu kama firmino hajaperform vizur game za karibuni
 
Bado niko hapa nasubiri mchango wa Shaqiri kwa Liverpool. Maana kuna siku niliwahi kusema nikaambiwa simjui vizuri. Usajili mbovu hamtaki kuamini.
 
Mo Salah VS the Big teams this Season
Mancity 0 Goals
Chelsea 0 Goals
Chelsea( league cup) 0 Goals
Tottenham 0 Goals
Arsenal 0 Goals
PSG 0 Goals
Napoli 0 Goals
 
Arsenal walikuwa vizuri mno leo
Screenshot_20181103-222421.jpg
 
Acha kuhadithiwa njoo uishuhudie Chelsea wewe. Vs Burnley tumewapiga 4 bila Hazard kuwepo. Kama ingekua kubahatisha basi ingekua walau hata moja hiyo ni bila Hazard. Alikua majeruhi amekuja timu ilikua inashinda alivyorudi yeye akaongeza ushindi. Hivi hamuyaoni yote hayo.?
Hii Chelsea ambayo ukikaba Hazard umemaliza kila kitu au?
 
The weak link for Liverpool today, is their midfield. I don't know what's wrong with Fabinho but he is unable to match with Premier League's quick pace. No wonder why he wasn't getting any playing time. He is too slow for PL
#ARSLIV
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom