Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,179
Hakuna cha uzuri wala ubaya. Hii game Man City ana 97% za ushindi, draw ni 2% na Man U kushinda ni 1%. Nasema ivyo haijalishi nani yuko ugenini au nyumbani.
Ni maoni yangu mimi.
Ni maoni yangu mimi.
Mkuu kumbuka Mourihno mzuri wa hizi game kubwa...Msimu uliopita City alifungwa na United umesahau...
Chelsea alipata draw na United dakika ya mwisho.