So, Liverpool fans wa hii platform walikuwa wananiambia kuwa "its okay kucheza vibaya as long as tunashinda"
if anything, perfomance ya jana imeonesha kuwa bado tunasafari ndefu sana ya kubeba EPL, matter of fact, shabiki yeyote mwenye akili angeligundua hilo baada ya ile game ya Chelsea.
Sarri and Unai both outclassed Klopp completely and its sad because wapo na team zao si chini ya miezi minne, but wote wamecheza mpira mzuri kuliko LFC, tulipokutana nao. Klopp been here kwa miaka mitatu na bado ana-struggle na formations
its been nothing but useless long balls, we are not even trying to press teams anymore, and LFC fans ndiyo walikuwa wanaongoza kumponda Mourinho na his long ball tacticts, sasa inakuwaje kuhusu Klopp? shit perfomances week in, week out, how can you play long balls wakati una players wanao weza kupress?
4-2-3-1 (pivot ya Gini na Fabinho) ilikuwa imeanza kufanya vizuri, but man kaenda Emirates na kuona kuwa 4-3-3 will be good enough to win him the game, games ngapi tumeshinda msimu huu na hiyo useless 4-3-3, unachezaje 4-3-3 bila kuwa na transitional merchant kama Ox or even Keita? how can you go at Emirates and embarrass the fans by playing defensive footie against Arsenal ffs?
Told you guys, weeks ago, forget abou EPL, City are walking the league again, we need a lot of time with this "coward" manager ili kubeba EPL.