Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ivi hizi stats unazisoma kinyumenyume ama?
Mbona zinavyoonesha Ni kinyume na unavyosema?
Eden kimario na Jasho La Kuku ni watu wa kukopi vitu na kupaste hawanaga hata muda wa kusoma wanacho kileta
 
The weak link for Liverpool today, is their midfield. I don't know what's wrong with Fabinho but he is unable to match with Premier League's quick pace. No wonder why he wasn't getting any playing time. He is too slow for PL
#ARSLIV
Umechunguza amepangwa nafasi gani hii mechi?
 
Sikuwahi Kuwaza kama Kwenye Liverpool tuna Plastic Fans Kiasi Hichi!!!

Man City alidraw na Wolves, Je ikitokea nasisi kuja Kudraw na Wolves si watu watahama timu?

Hivi Kuna mashabiki ndiyo wanaamini kuwa tutamaliza Ligi bila ya Kugungwa?

Ivi kweli kuna mashabiki waliamini kuwa Pale Emirates tutakwenda kuzoa points 3 na kuondoka tu?

Mimi Nashauri Washabiki Wenzangu tujiandaeni Kisaikolojia kuridhika na kitakachotutokea mpaka kufikia May.
 
Upuu

Ni upuuzi na uzwazwa kujisifu unbeaten ilihal hatuwez kuzifunga big teams! Kwa hali hii hatuwez kubeba EPL wa UEfa sababu ili uweze kutwaa mataji hayo ni lazima uwe na mkakati wa ziada wa kuweza kuzifunga big teams.

Kitu kikubwa klopp hakujiandaa kushinda leo, hasa kwenye subs, mtu kama shaqir alitakiwa aingie mapema kama sio kuanza kabisa sababu imethibitika kuwa yeye ndio ana uwezo wa kuwachezesha Mane, salah na firmino.

Kuna wachezaj game changers kama sturrge ilibid waingizwe kama sub kwa ajil ya kupresharazi
Uko sahihi ase lakini kumbuka kila kitu ni taratibu tu na pili arsenal walikuwa nyumbani na uwanja ulijaa mimi niliwaelewa vyema Liverpool wamejitahidi sana mana mwanzoni walikuwa na uoga achana na zile fujo za kelele mzee unaweza kushindwa kukipiga kwa kutetemeka kingine jamaa unayemkosoa amejaribu kueleza progress ambazo Liverpool imefanya inahitaji pongezi kwa kweli mana mbali na kudraw na hizo teams kubwa na kuwa unbeaten pia hizo teams kubwa zimedraw na kubwa nyingine hivyohivyo so na wao hawatatwaa ubingwa kwa logic yako.
 
Na Kuhusu Fabinho Leo watu wengi Wanamtupia lawama lakini Wanashindwa Kujiuliza kuwa Kwani Katika Midfield yetu Leo Ni Nani aliyecheza Vizuri??

Iwapo Gini na Milner walipotea Je Fabinho naye atafanya Nini?

Leo so mechi si mechi ya kumhukumu mchezaji mmoja kwani wote hakuna aliyefanya Vizuri kwani Hata Defence yetu ilikuwa inaleak.

Kwa Leo Ni VVD, Gomez, Robbo na Alisson tu Waliocheza kwenye viwango vyao.

Kwahiyo lawama si kwa Fabinho kuwa Ni mbovu, Bali Ni Kuwa Midfield yetu yote imepotea, Kwani Watu Wanalifumbia Macho lakini Ukweli Ni Kwamba Gini kacheza vibaya zaidi ya Fabinho, Je nayeye Ni mbovu?
 
Upuu

Ni upuuzi na uzwazwa kujisifu unbeaten ilihal hatuwez kuzifunga big teams! Kwa hali hii hatuwez kubeba EPL wa UEfa sababu ili uweze kutwaa mataji hayo ni lazima uwe na mkakati wa ziada wa kuweza kuzifunga big teams.

Kitu kikubwa klopp hakujiandaa kushinda leo, hasa kwenye subs, mtu kama shaqir alitakiwa aingie mapema kama sio kuanza kabisa sababu imethibitika kuwa yeye ndio ana uwezo wa kuwachezesha Mane, salah na firmino.

Kuna wachezaj game changers kama sturrge ilibid waingizwe kama sub kwa ajil ya kupresharazi
Miaka ya nyuma Liverpool tulikuwa tunasifika sana kwa kuzifunga Big team wakatupa na Jina la wazee wa kukamia Big match je.tuliwahi kuchukua ubingwa Premier league ni marathon kushinda hii tittle unahitaji vitu vingi.
 
Mimi Naonekana Ninawachukia Baadhi ya Wachezaji lakini points yangu inakuja kuwa Wapo Kwenye Timu zaidi ya Msimu Wa 5 na bado hawaoneshi Maendeleo yoyote!

Lakini siwezi kumhukumu Fabinho kwa Mchezo mmoja tu Wa Leo kisa kacheza Vibaya wakati hajafika Hata Robo ya Msimu.

Ni sawa na TAA najuwa kuwa Leo kacheza vibaya lakini siwezi kumhukumu kutokana na experience yake kuwa bado hajakomaa anajifunza sasa.

Nasubiri Nimuangalie atleast michezo 10 ndiyo niweze kumuhukumu.
 
Fabinho ni mchezaji wa kawaida sana hawez kulinganishwa na emre hata kidogo.yaan jamaa anauogopa mpira anakaba na macho wakat yeye ni namba 6.yule hawez kuhimili presha za viungo wa timu kubwa. Mm naona Leo yeye ndo kazingua amesababisha hadi gini kaflop
Gini leo ndo alicheza namba 6 Fabinho alicheza mbele haimudu hiyo nafasi aliopangwa ndomana alikua akidhurula tu kufata mpila icheki tena gem utaona leo Gini hakupanda kabisaa

Bado sikubali kama nimbovu bali amefanywa aonekane m bovu mechi alizo pangwa namba 6 zote kacheza vizuri sana mbaya zaidi alipangwa kwa shinikizo la mashabiki na akaonyesha uwezo mkubwa tu ni kama vile kamuumbua Klop mana alikua akidai bado hajafiti kwenye timu yake mpaka akatolea mfano Goundogan alimuweka benchi myezi 6 leo kaaminisha watu kimkakati tu.
Kuna pasi ndefu 2 alitoa kwa wakati tofouti Klop alionyeshwa akimuwakia sana kama uliona hii yote ni kumtoa mchezoni.

FABINHO NI NAMBA SITA MZURI SANA KULIKO HENDERSON.
 
Hapana mkuu, shaqiri anajua ,sema apewi sana airtime
Hehee.. Airtime ndio mdudu gani.?

Naomba nieleweke sijasema Shaqiri ni mbovu. Nilichosema kwa timu kama Liverpool hakukua na haja ya kumsajili mtu kama Shaqiri. Wangehangaika wakapata mtu bora zaidi yake. Ufundi wake labda Soton au Stoke City.
 
Tumepata point muhimu sana na mechi imeisha tunajipanga na zinazo kuja
Overall Fabihno,Trent na Firmino walikuwa na mechi mbovu lkn ndiyo soka!
 
Tusimlaumu Fabihno
Ni mechi yake ya kwanza ngumu nina uhakika ata adapt atakuwa mzuri zaidi
 
Na Kuhusu Fabinho Leo watu wengi Wanamtupia lawama lakini Wanashindwa Kujiuliza kuwa Kwani Katika Midfield yetu Leo Ni Nani aliyecheza Vizuri??

Iwapo Gini na Milner walipotea Je Fabinho naye atafanya Nini?

Leo so mechi si mechi ya kumhukumu mchezaji mmoja kwani wote hakuna aliyefanya Vizuri kwani Hata Defence yetu ilikuwa inaleak.

Kwa Leo Ni VVD, Gomez, Robbo na Alisson tu Waliocheza kwenye viwango vyao.

Kwahiyo lawama si kwa Fabinho kuwa Ni mbovu, Bali Ni Kuwa Midfield yetu yote imepotea, Kwani Watu Wanalifumbia Macho lakini Ukweli Ni Kwamba Gini kacheza vibaya zaidi ya Fabinho, Je nayeye Ni mbovu?

Unalaumu ktk andiko lako kama mido yetu haikucheza vyema wkt asiyejua Hendo hakucheza?Kama Hendo hajacheza kwa nn tumepata sare?Kwa nn hata kiungo Liverpool leo tulizidwa wkt asiye jua kitu Hendo hakucheza?
 
Kwenye game vs Napoli tulifungwa hasa Hata draw ilitushinda wakati Henderson alikuwemo.
Na Midfield yetu iliwekwa Mfukoni mwanzo mwisho na Napoli.
Kwahiyo logic yako sijajua umekusudia nini.
 
Sikuwahi Kuwaza kama Kwenye Liverpool tuna Plastic Fans Kiasi Hichi!!!

Man City alidraw na Wolves, Je ikitokea nasisi kuja Kudraw na Wolves si watu watahama timu?

Hivi Kuna mashabiki ndiyo wanaamini kuwa tutamaliza Ligi bila ya Kugungwa?

Ivi kweli kuna mashabiki waliamini kuwa Pale Emirates tutakwenda kuzoa points 3 na kuondoka tu?

Mimi Nashauri Washabiki Wenzangu tujiandaeni Kisaikolojia kuridhika na kitakachotutokea mpaka kufikia May.
Tatizo mlishachukua ubingwa baada ya mechi 6
 
Gini leo ndo alicheza namba 6 Fabinho alicheza mbele haimudu hiyo nafasi aliopangwa ndomana alikua akidhurula tu kufata mpila icheki tena gem utaona leo Gini hakupanda kabisaa

Bado sikubali kama nimbovu bali amefanywa aonekane m bovu mechi alizo pangwa namba 6 zote kacheza vizuri sana mbaya zaidi alipangwa kwa shinikizo la mashabiki na akaonyesha uwezo mkubwa tu ni kama vile kamuumbua Klop mana alikua akidai bado hajafiti kwenye timu yake mpaka akatolea mfano Goundogan alimuweka benchi myezi 6 leo kaaminisha watu kimkakati tu.
Kuna pasi ndefu 2 alitoa kwa wakati tofouti Klop alionyeshwa akimuwakia sana kama uliona hii yote ni kumtoa mchezoni.

FABINHO NI NAMBA SITA MZURI SANA KULIKO HENDERSON.

Ila yule mzee wetu bwana, Gini ndio wakuwalinda centrebacks kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom