Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Haha ha haaaaaa jamaa asione hiiTackles Alizowin Fabinho Katika Mechi Ya Leo tu Basi Ni Nyingi Kuliko Za Henderson za Misimu Miwili.
Haha ha haaaaaa jamaa asione hiiTackles Alizowin Fabinho Katika Mechi Ya Leo tu Basi Ni Nyingi Kuliko Za Henderson za Misimu Miwili.
Kocha anaumbuka leoYani Huyu Fabinho Ndiyo Wa Kukaa Benchi Kweli???
Unakuta Unaenda wewe Mpira unabakia Mguuni Mwake...
Dah klopp anatutania kwa kweli... lets hope for the best kwakeYani Huyu Fabinho Ndiyo Wa Kukaa Benchi Kweli???
Unakuta Unaenda wewe Mpira unabakia Mguuni Mwake...
Lovren kama anataka kucheza aende CardiffVVD-Gomez best CB ... Ni ajabu Klopp kuwabagua hawa na Kumchezesha Lovren.
Na bado Faby hajahit full gears
Kocha anaumbuka leo
Guys are you entertained???
4-2-3-1 at its very best.
Shaqir, our star man so far.
What a team perfomance man...
maaan!!! Fabinho is top class!!Guys are you entertained???
4-2-3-1 at its very best.
Shaqir, our star man so far.
What a team perfomance man...