eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Sasa uniambie Liverpool inatwaa ubingwa wataanzia wapi kama huwezi kumfunga kigogo hata mmoja
Hehee.. Airtime ndio mdudu gani.?
Naomba nieleweke sijasema Shaqiri ni mbovu. Nilichosema kwa timu kama Liverpool hakukua na haja ya kumsajili mtu kama Shaqiri. Wangehangaika wakapata mtu bora zaidi yake. Ufundi wake labda Soton au Stoke City.
Sifa kubwa ya sisi washabiki wa Liver ni kuipenda team yetu hata katika wakati mbaya. Swali la kujiuliza je mwaka huu tuko vizuri kuliko mwaka jana? kuna improvements? Mimi nadhani yes, na tunaweza tusichukuwe ubingwa lakini tuta challenge mpaka mwisho na huwezi kujuwa huko mbele maana league ni ngumu. Kuhusu midfield nakubali tuna tatizo bado tunahitaji mtu mfano wa dybala anayeweza kupiga pass za mwisho maana tuna defence midfields wengi ukiondoka Keita kidogo hapo tunajitaji kuboresha. ukiniuliza nani tumnunue sina jibu na huo ndio mjadala tunatakiwa kuongelea. wapi tuboreshe.Wapo Fanboys wa Liverpool waliobeba ubingwa kabla ya Ligi kuanza lakini mimi mpaka sasahivi sijafikiria kuwa kuna timu inayoweza kubeba ubingwa mbele ya Man City.
Mpira ni collectively effort sio mtu mmoja!Kwenye game vs Napoli tulifungwa hasa Hata draw ilitushinda wakati Henderson alikuwemo.
Na Midfield yetu iliwekwa Mfukoni mwanzo mwisho na Napoli.
Kwahiyo logic yako sijajua umekusudia nini.
Mkuu mwaka huu tupo vyema sanaSifa kubwa ya sisi washabiki wa Liver ni kuipenda team yetu hata katika wakati mbaya. Swali la kujiuliza je mwaka huu tuko vizuri kuliko mwaka jana? kuna improvements? Mimi nadhani yes, na tunaweza tusichukuwe ubingwa lakini tuta challenge mpaka mwisho na huwezi kujuwa huko mbele maana league ni ngumu. Kuhusu midfield nakubali tuna tatizo bado tunahitaji mtu mfano wa dybala anayeweza kupiga pass za mwisho maana tuna defence midfields wengi ukiondoka Keita kidogo hapo tunajitaji kuboresha. ukiniuliza nani tumnunue sina jibu na huo ndio mjadala tunatakiwa kuongelea. wapi tuboreshe.
Sasa uniambie Liverpool inatwaa ubingwa wataanzia wapi kama huwezi kumfunga kigogo hata mmoja
Sifa kubwa ya sisi washabiki wa Liver ni kuipenda team yetu hata katika wakati mbaya. Swali la kujiuliza je mwaka huu tuko vizuri kuliko mwaka jana? kuna improvements? Mimi nadhani yes, na tunaweza tusichukuwe ubingwa lakini tuta challenge mpaka mwisho na huwezi kujuwa huko mbele maana league ni ngumu. Kuhusu midfield nakubali tuna tatizo bado tunahitaji mtu mfano wa dybala anayeweza kupiga pass za mwisho maana tuna defence midfields wengi ukiondoka Keita kidogo hapo tunajitaji kuboresha. ukiniuliza nani tumnunue sina jibu na huo ndio mjadala tunatakiwa kuongelea. wapi tuboreshe.
Mane anafanya kazi kubwa ila ndio vile haonekani sana kuliko salah anayekaa na mpira bila mantiki yoyote...Mpaka sasa nashindwa kuelewa hivi hawa kina Mane, Salah na Firmino ndo walewale wa mwaka jana au tumebadilishiwa?
Walitubeba timu ikiwa haina defense, leo defense iko wao wamepotea.
Gini na Fabihno nani alikua na mechi mbuvu zaidi?Tumepata point muhimu sana na mechi imeisha tunajipanga na zinazo kuja
Overall Fabihno,Trent na Firmino walikuwa na mechi mbovu lkn ndiyo soka!
Yani Salah anakaa na mpira bila mantiki kweli kabsaa?Mane anafanya kazi kubwa ila ndio vile haonekani sana kuliko salah anayekaa na mpira bila mantiki yoyote...
Harafu mi nilishasema jana ukianzisha gini fab na milner unaingia kulinda sio kushambulia hapa ndio huwa naona pengo la coutinho na kikubwa tuombee ox apone haraka manake klopp ameshindwa muamini shaqiri kabisa.
Game ya jana hakukuwa na kiungo yoyote mbunifu ndani wote ni wazuri nyuma sio mbele hii inawafanya hawa jamaa wetu watatu waonekane kama wamepoteana hivi
Kwa mimi sijachukizwa na sale ila nimechukizwa na kiwango kibovu cha team.Siku tutakayofungwa EPL nadhani kuna watu watahama timu..
Yani Jana draw tu na Arsenal watu wamepanic..
Lakini hili ndiyo Tatizo la Watu kujitangazia Ubingwa kwa Mihemko wakisahau kuwa Wenzetu kina Chelsea na Man City wana uwekezaji Mzuri kuliko sisi.
Watu wameingiza Joginho na Mahrez wewe unafufua Lallana na Sturridge then unadraw na Arsenal unaanza kuchachawa.
Na sifa ya Plastic Fans subiri tushinde mechi ijao uone watatiririka hapa na Kunadi Makombe yote yetu na kusifu kuwa tuna bonge la timu.
Yani Salah anakaa na mpira bila mantiki kweli kabsaa?
Hivi kati ya hao nani alitengeneza nafasi zilizo koswa?
Inamaana hujamuona mane alivyo kua anamtegemea refa badala ya kupambana? Utakua unachuki zitakutesa.
Kwa wachezaji wa mbele Salah kacheza vyema mnoo.
Kama unazani kufunga ndo kucheza vyema mimi hapana.
Niwe na chuki na mchezaji wa liver inanisaidia nini? Yaani kutofautiana kimawazo ndio uconclude kwamba ni chuki?Yani Salah anakaa na mpira bila mantiki kweli kabsaa?
Hivi kati ya hao nani alitengeneza nafasi zilizo koswa?
Inamaana hujamuona mane alivyo kua anamtegemea refa badala ya kupambana? Utakua unachuki zitakutesa.
Kwa wachezaji wa mbele Salah kacheza vyema mnoo.
Kama unazani kufunga ndo kucheza vyema mimi hapana.
Mkuu ni mtazamo wangu sio lazima kuukubali kama mimi ninavyokinzana na mtazamo wako... SimpleMimi huwa napata ukakasi kuquote baadhi ya Watu! Jana Salah ndiyo katika Wachezaji wetu walioperfirm vizuri lakini mtu sijui anaangalia game LiveScore ikisha anaandika maajabu.