Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Milner
1541271396783.gif
 
Fabinho can never be an upgrade on Hendo. never ever!!

the Hendo debate goes on....
 
Leo Kwa Klopp sina Cha Kulaumu Kwa Line Up hii...
Kwakweli hii Kwa kikosi chetu ni Strong Line Up..
Kushinda au Kupoteza itategemea na Watakavyoperform pamoja na game plan ya Wapinzani wetu.

Kwa game ya leo hata point 1 ya sare naridhika nayo.
said n done...nice game
 
our front 3 are not pressing enough wanafanya kazi ya midfielder wetu kuwa kubwa na arsenal wamejaa kwenye kiungo

Hiyo nadhani ndio ilikuwa game plan, maana kupress higher inabidi timu nzima i"press" kwa pamoja la si hivyo kuna concession of spaces kwa opponents kuzitumia and we were playing Arsenal
 
Wametukosa nafasi Nyingi Kivipi? Mbona stats zinasema tunakosana sote!!!
Wana 2 tu On Target kama sisi...
Nilichokiona Mimi Ni Kuwa Wao Wanacheza Mpira zaidi kuliko sisi lakini si kwamba Wanatushambulia zaidi kama unavyosema.

View attachment 920449
Mkuu Ngwaba first half nimepiga shots 9 in general...Nyingi kuliko ulizopigiwa since 2017 ulivyocheza na Leicester...

By the way recently umekua ukinifunga na kunizidi kwa Kila kitu..Leo nafurahi Nimecheza vizuri na Pia Draw kwako imekua nzuri zaidi kwa namna ulivyocheza.
 
Wametukosa nafasi Nyingi Kivipi? Mbona stats zinasema tunakosana sote!!!
Wana 2 tu On Target kama sisi...
Nilichokiona Mimi Ni Kuwa Wao Wanacheza Mpira zaidi kuliko sisi lakini si kwamba Wanatushambulia zaidi kama unavyosema.

View attachment 920449


Kop hawa leo wametengeneza Clear chances nyingi kuliko sisi, wamezitumia vibaya chances hizo Auba na Lacazette
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom