Auba pace Yake Ni kubwa ndiyo inayomsumbua Trent.
Clyne kumuingiza uwanjani Ni kujiandikia Death Warrant
Bonge la game.
Namshukuru Mungu mpaka sasa yupo safe. Kipindi cha pili defence yetu inatakiwa kaongeza umaskini maana kwa aina ya mpira Arsenal wanacheza anaweza kutudhuru muda wowote.
Fabby kwangu mimi naona kaflop kipindi hiki cha kwanza. Tunammiss Keita kwa kweli.
our front 3 are not pressing enough wanafanya kazi ya midfielder wetu kuwa kubwa na arsenal wamejaa kwenye kiungoTuseme ukweli tu hawa Arsenal wametukosa chance nyingi mno, ndio yale ya viungo wetu kuwa sio wabunifu. Gini is selfish and less creative Mid along with Milner, namkubali AOX kama kiungo wetu mbunifu na asie mbinafsi
Trent amecheza vizuri saana anafanya kazi kubwa upande wake ndo arsenal wanataka kuutumia kupita Ozil,Aub na lacazette wana force wote wapiteIla inawezekana maana ule upande wa dogo Trent ni majanga matupu.
Tuseme ukweli tu hawa Arsenal wametukosa chance nyingi mno, ndio yale ya viungo wetu kuwa sio wabunifu. Gini is selfish and less creative Mid along with Milner, namkubali AOX kama kiungo wetu mbunifu na asie mbinafsi
HAHAHAHAH HUYU FABINHO NILISEMAGA KITAMBO KUWA NI FLOP MTARAJIWA KUNA MAJAMAA YAKATAKA YANIPIGE HUMU
We bwabwaja tu.HAHAHAHAH HUYU FABINHO NILISEMAGA KITAMBO KUWA NI FLOP MTARAJIWA KUNA MAJAMAA YAKATAKA YANIPIGE HUMU