Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klop ana mapuuza mengi sana katika uoangaj wa kikosi, Fabhino hathaminiwi kabsa mara ampige sub, mara asicheze kabisa, Mijitu kama yakina Hunderson na Lalana ndiyo vipenzi vyake hvyo ila wachezaj wa maana anawchukulia poa.

Ipo siku tutapoteza wachezaj wazur tuanze kujuta
 
Sijui nn kilinipata!
Sikuweza kutuma au kupokea msg toka hapa kwa week nzima!
Malalamiko yangu niyafikishe wapi?
Leo na Arsenal nawaamini sana vijana!
 
Hizo habari mi mwenyewe nimeziona, wanyetishaji wanasema anataka kwenda PSG kwa mkopo, and earlier PSG were after him
Nadhani ni udaku tu
Fabihno hakuwa sawa sawa kuanza EPL
Sasa ndiyo kaiva!
 
Today tupo tena uwanjani.
Kwanza kabisa Leo Ni Away game.
Kwahiyo:
Malengo yangu Ni Kupata 3 points tu.
Kwavile Ni AWAY basi tukifail kupata 3 points Hata 1 point ya Clean sheet ni enough kwamimi kupiata away kwenye big game.

#YNWA
 
Kwa Game ya Leo ukitoa injuries za Muda mrefu za AOC na RB basi kwa watakaokosa ambao wana injury za muda mfupi Ni Henderson (good news) na Keita (bad news) tu.

Waliobakia wote wapo fit kwa ajili ya kupambana.
Kwa Leo only problem tulilonalo Ni fitness ya Lovren tu kwani akiwa mzima lazima acheze, na akicheza amani kwetu inapotea kutokana na kuwa muda wowote goli letu halitokua salama.
 
Ningependa kosi leo liwe hivi
Becker
Trent
Gomez
Djik
Robo
Gini
Fab
Shaqiri
Salah
Mane
Firmino

Lakini kwa akili za kocha wetu muda mwengine hazisomeki tunaweza ingia uwanjani na usajiri mmoja tu wa msimu huu(Becker)
 
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
 
Kwanza unapenda uchawi ila uchawi haukupendi...

Pili jifunze majina ya wachezaji.. Gerald ndio nani.!?

Halafu usipende kuwa kimbelembele kama mtoto wa kike..
 
Tulia kisu kimekata mfupae
Tehe tehe teh
 
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
Kwanza JF umeijua juzi achana na Liverpool y2 usijifanye unaijua sana.
 
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo

Nilifikiria hii Ni ID ya ME kumbe Ni ya KE!!! bora nikuache tu manake Mimi sijazowea kubishana na Mipasho ya Wanawake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom