Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal XI: Leno, Bellerin, Mustafi, Holding, Kolasinac, Xhaka, Torreira, Mkhitaryan, Ozil, Aubameyang, Lacazette

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Gomez, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Milner, Wijnaldum, Salah, Firmino, Mane
 
hapa kwanza Mabeki wao wasipande kupiga klosi kumfikia Lacazate,otherwise basi mabeki wao mechi zote walizoshinda walikua hawachezi kwa umakini...
Of course fellow KOP, ukiwauliza beki yao wanayoikubali utasikia Rob Holding. Pale namuogopa Mesut Ozil labda na Ramsey maana wanajua
 
hapa kwanza Mabeki wao wasipande kupiga klosi kumfikia Lacazate,otherwise basi mabeki wao mechi zote walizoshinda walikua hawachezi kwa umakini...


Kwa lineup yetu leo nimeona Klopp ameona kutokufungwa ni jambo la msingi leo
 
Kwenye mashambulizi milner sio mzuri kama xhaqiri na kazi ya milner mtu kama Gini au Fab wanaweza ifanya kwa ufasaha tu...


Kumbuka PSG na kipeperushi chao huko wamechapisha habari ili kumjaza upepo fabinho so inabidi apangwe vinginevyo jamaa ataingia king
Milner anatekeleza kila wajibu anaopewa kila wajib anaopewa so far na anafanya kiungo kuwa strong....ni creative sometimes ingawa sio kivile.Sio mchezaji wa kusema anaharibu ukizingatia recent performance.Alaf elewa fabinho hachezi namba moja na Milner Milner hapa ni kama box to box midfielder along side Gini .Fabinho ni no 6 na nadhani ndiye best holding we have.Milner anajua kucheza faulo flani hivi ambazo ni muhimu bila kupata kadi nyingi,hasa pale opponent anapotaka kufanya counter.
 
Sure mkuu...Ile Arsenal ya kupress uifunge goli 4 aliondoka nayo Wenger...Leo inabidi pressing ifanyike kwa nidhamu..

Arsenal tupo vizuri sana Mbele ukiacha gaps tutawaadhibu.
Leo Kwa Klopp sina Cha Kulaumu Kwa Line Up hii...
Kwakweli hii Kwa kikosi chetu ni Strong Line Up..
Kushinda au Kupoteza itategemea na Watakavyoperform pamoja na game plan ya Wapinzani wetu.

Kwa game ya leo hata point 1 ya sare naridhika nayo.
 
Ila huyu VVD ni bonge la beki..huyu jamaa akiumia Liver mtayumba sana pale nyuma.Manake quality yake ukifananisha na akina Lovren ni vichekesho.
 
Isha sema haya hapa!Tumpe Fabihno muda na tumchambue kwenye mechi kubwa kama hizi!
Leo dakika 45 hizi hajacheza vibaya wala hajacheza vizuri
Yupo avarage!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom