Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uzuri Gomez huwa anacover makosa baadhi ya VVD kwenye mipira ya chini, na nafasi za tackling anazifanya yeye kwa ufanisi.

Mpaka jana nikatamani angekuwepo labda angeweza kuucheza yeye ule mpira (though goli lingeweza kuingia vilevile).

Mimi kutokuwepo Henderson jana kulinipa amani sana, ila Lallana nimeshindwa kumwelewa, naendelea kukaa kimya kwanza.
Lallana hutokuja kumuelewa mkuu... huyo kazi yake kupiga vyenga na kuchelewesha mashambulizi, angalia baada ya yeye kutoka shaqiri anaendana na speed ya front three yetu kama Chambo
 
Mpaka sasahivi sijasikia strong rumours kuhusu usajili January!! Nahisi hatutosajili...

Na issue ya Mane Klopp aanze kutafuta Mbadala na Mapema Kwani Mnyamwezi anaonesha wazi kuwa hana plan ya kusaini Mkataba mpya Bali anasubiri amalize this current contract asepe.
 
Dwarf Man Xhaq....

• Kaplay dhidi ya Red star, Tumemla 4
• Kaplay dhidi ya Cardiff, Tumemla 4

Kinachonipendeza Ni Kitu Kimoja tu Kutoka Kwake!!!
Akipata Mpira tu Haangalii Nyuma wala Pembeni Bali Anaelekea Kwenye Mashambulizi moja kwa moja... That is why front 3 wanaanza kucheka Na Nyavu..
Xhaq yuko Faster sana kwenye Kuattack.
Foward oriented. Huwa harudi nyuma asee.
 
Dwarf Man Xhaq....

• Kaplay dhidi ya Red star, Tumemla 4
• Kaplay dhidi ya Cardiff, Tumemla 4

Kinachonipendeza Ni Kitu Kimoja tu Kutoka Kwake!!!
Akipata Mpira tu Haangalii Nyuma wala Pembeni Bali Anaelekea Kwenye Mashambulizi moja kwa moja... That is why front 3 wanaanza kucheka Na Nyavu..
Xhaq yuko Faster sana kwenye Kuattack.
Hohoho red 2naenda kumpiga tena 4 pale kwake
 
Opponents bana
aty wanakataa tutumie historia kujidefend eti ni ya 1990's.At the same time Klopp ana miaka mitatu hajachukua kombe lolote nauliza hivi hii ni Physics mnayotumia?
 
Report: Liverpool make offer for Athletic Bilbao midfielder Iker Muniain

Iker Muniain has spent his entire career at Athletic Bilbao but, after 357 first-team appearances, is it time to bid farewell to the San Mames?

A hugely popular and creative midfielder, Muniain will see his contract at Athletic expire at the end of this season. And it has been claimed on Radio Marca (30 October, 7:00am) that both Liverpool and Napoli will attempt to sign the 25-year-old on a pre-contract agreement in the New Year.



IMG_20181030_171601_795.jpeg
images%20(25).jpeg
 
AOC could return before the end of the season although Liverpool won't rush him back. Rhian Brewster expected to fully recover ahead of AOC and could make his senior appearance for the reds in the second leg of the season.
841153616.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom