Tores
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 551
- 475
kuna group linajumuisha Kops wa mataifa mbalimbali duniani na Lugha ya mawasiliano ni English tu. vipi nikupe link?Wakuu wangu naomben wasap group la Chama kubwa Liverpool.
kuna group linajumuisha Kops wa mataifa mbalimbali duniani na Lugha ya mawasiliano ni English tu. vipi nikupe link?Wakuu wangu naomben wasap group la Chama kubwa Liverpool.
Kumbe,Nilikuwa sijui.Ila kumbuka liver ndo kabeba mara nyingi EPL na UEFA kuliko club yoyote ile England
kuna group linajumuisha Kops wa mataifa mbalimbali duniani na Lugha ya mawasiliano ni English tu. vipi nikupe link?
Hao ni mashabiki nchini Tz wamefungua fanclub ambayo sasa club inaifaham officiall kwa ajili ya kusupport clubMwenye taarifa zaidi kuhusiana na hii kituView attachment 917769
Mwenye taarifa zaidi kuhusiana na hii kituView attachment 917769
Hahah..
Mchezaji kutoka liverpool kwenda manure au kutoka manure kuja Liverpool ni ngumu zaidi ya LIONEL MESSI kusajiliwa na YANGA..
Afu ni Daily mail hao, ni kama Express vile amabao bado wanang'ang'ania ishu ya Shaqir to LFC mpaka leo...
So relax bro Tores..
kuna group linajumuisha Kops wa mataifa mbalimbali duniani na Lugha ya mawasiliano ni English tu. vipi nikupe link?
Dogo Mateo Guendouzzi alikula kadi nyekundu jana kwenye Carabao, so will he be playing versus LFC this Saturday?
Anacheza kama kawaida adhabu anaitumikia kule alipoipatia tu so atamis game ya spurz ya robo fainali
Hahahahaha Sheria zimeshabadilika tangu last season mashindano yote yaliyochini ya FA ukipata RED CARD ina apply kwenye all competitions ya FA kuanzia Carabao cup. FA cup mpaka Premier league.Anacheza kama kawaida adhabu anaitumikia kule alipoipatia tu so atamis game ya spurz ya robo fainali
Sio kweliThanks Brother
Sio kweli
Kwanini usiseme anaweza kumkaba Salah?!Cheers aisee
Huyo dogo ni shida linapokuja suala la kukata umeme, Hazard huwa inahitajika watu wawili kumkaba ila kwa nilivyomcheki huyo Gouendouzzi ile mechi ya CFC vs Arsenal pale darajani nasema hivii dogo Goundouzzi anaweza/anatosha kumkaba Hazard akiwa alone!
Kwanini usiseme anaweza kumkaba Salah?!
Kwanini usiseme anaweza kumkaba Salah?Kacheki ile mechi yenu mliyocheza na Arsenal uone kama Hazard alitembea kwa dogo au hakutembea
Leta linkkuna group linajumuisha Kops wa mataifa mbalimbali duniani na Lugha ya mawasiliano ni English tu. vipi nikupe link?
Kwanini usiseme anaweza kumkaba Salah?