Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mafan wa chelshit wanakimbia Uzi wao wanakuja kusumbua huku haha ule Uzi wao hawajui kuchambua mpira hata punje naonaga kuna jamaa anacopy na kupest tu huko kwenye source nyingine na pia hatoi ufafanuzi

Kwahiyo wana LFCtunawapa hifadhi tu huku maana Uzi wao upo borred

YNWA
 
Haha Ndio Kuna jamaa huyo hapo ollachuga sjui hata wachezaji wake hawajui coz yuko busy kumfuatilia Salah kuliko hata wachezaji wake
 
mafan wa chelshit wanakimbia Uzi wao wanakuja kusumbua huku haha ule Uzi wao hawajui kuchambua mpira hata punje naonaga kuna jamaa anacopy na kupest tu huko kwenye source nyingine na pia hatoi ufafanuzi

Kwahiyo wana LFCtunawapa hifadhi tu huku maana Uzi wao upo borred

YNWA

Wao Kwenye Uzi wao Hawachambui Chochote Manake Hakuna Hata Mmoja Anayeijua timu yake au Kuujua Mpira! Kwahiyo Huishia Kujisifu na Sarriball tu na Magoli ya Hazard.

Kuna Yule Jamaa anaejiita Jasho La Kuku yeye Hajawahi Kutoa Wazo lake kuhusu Mwenendo Wa Timu bali Huishia Kwenda Twitter na Kucopy Quotes za Kocha na Wachambuzi na Kuja Kupost Kwa Rant Boys wenziwe.

Kwahiyo lazima waishie kurandaranda Kwenye Nyuzi za Watu ili wajifunze Namna ya Watu Wanavyoongolea Madhaifu na Maboresho ya Timu zao na Namna Kuuzungumzia Mpira kitactics zaidi.
 
  • Yaan chelshit fan muda mwing wapo humu sijui Uzi wao VP huko

Unajua Timu Yao Haina Upinzani Kama Zilivyo
Arsenal vs Spurs
Arsenal vs Man U
Arsenal vs Liverpool
Liverpool vs Man U

Sasa Wanapita Kila Uzi ili kujitangaza nawao waonekani Wana Upinzani Na Timu Kubwa.

Wanaona Aibu Kuambiwa Mpinzani wao ni Fulham 😀😀😀
 
Kuna na Aaron wa arsenal

Yule AARON nimeshamuonya tayari kuwa siku zake za kurukia Uzi huu na huu zinahesabika.
Karibuni tutamsahau hapa kama tulivyowasahau Kina Kisu cha Ngariba, xYz na washabiki wengine wa Man U ambao walikuwa tafarani hapa Wakati Tunakamata Nafasi ya 8 kwenye Msimamo.
 
Kwa hiyo mimi kuja kuleta statistics za Klopp 3 years hana EPL ni vumbi na hug na vicheko ndo anavyo. Kuna kosa?
Wao Kwenye Uzi wao Hawachambui Chochote Manake Hakuna Hata Mmoja Anayeijua timu yake au Kuujua Mpira! Kwahiyo Huishia Kujisifu na Sarriball tu na Magoli ya Hazard.

Kuna Yule Jamaa anaejiita Jasho La Kuku yeye Hajawahi Kutoa Wazo lake kuhusu Mwenendo Wa Timu bali Huishia Kwenda Twitter na Kucopy Quotes za Kocha na Wachambuzi na Kuja Kupost Kwa Rant Boys wenziwe.

Kwahiyo lazima waishie kurandaranda Kwenye Nyuzi za Watu ili wajifunze Namna ya Watu Wanavyoongolea Madhaifu na Maboresho ya Timu zao na Namna Kuuzungumzia Mpira kitactics zaidi.
 
Madhaifu yetu tunajua na Sarri anasema sana kwenye kila press conference. CF na Right winger. Na midfielder ni weng lakn wana udhaifu wao. Kovacic ni mzuri lakn si mtu wa kushoot na kufunga. Barkley hawez kukaba. Kante anaimprove advanced role aliyopewa naona now na yy ana shoot. Mabeki Alonso anacheza kama no 10. Luiz ni mzuri kuanzisha mashambulizi si kukaba. Azpilicueta sarriball inamkataa lakn anaimprove. Tumpe Sarri mda yule ni mwalimu wa mpira King Ngwaba
 
Mulianza na Nyimbo ya September is coming...
Mukaja October is coming...
Now badala ya kuingia kwenye Nyimbo mpya ya November is coming mumeanza kuja na Mipasho ya Mbio za sakafuni?
Mpaka sasa ukiniuliza mwisho wa hizi mbio Liverpool atakuwa na chochote cha kujivunia nakuwa na mashaka makubwa
Mmebaki na makombe mawili tu ya kugombania EPL na FA cup
 
Kwa hiyo mimi kuja kuleta statistics za Klopp 3 years hana EPL ni vumbi na hug na vicheko ndo anavyo. Kuna kosa?

Huu uliozungumza Kuwa Klopp Hajashinda Chochote Kwenye Miaka Mitatu aliyokaa Liverpool ni Ukweli Mtupu wala Haupingiki!!!
Lakini usiishie hapa tu Ungemalizia na kuwa Sarri Hajawahi Kushinda Chochote Ndani Ya Miaka yake 67 aliyoishi. Nadhani hapo ingependeza zaidi kuwa hukufanya Biase yoyote.

√ Mmoja hajashinda Miaka 3
√ Mmoja hajashinda Miaka 67

Ngoma draw
 
Sarri atatwaa kombe msimu huu huku kloop akiendelea kuhangaika tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom