Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Sarri atatwaa kombe msimu huu huku kloop akiendelea kuhangaika tu
Labda Kikombe Cha Babu Manake Athletico Madrid na PSG wanakuja huko Futuhi sijui utapambana vipi!!!!
Sarri atatwaa kombe msimu huu huku kloop akiendelea kuhangaika tu
Kocha wako Sarri ameshafikia umri wa kustaafu hana hata kikombe cha kahawa.Kwa hiyo mimi kuja kuleta statistics za Klopp 3 years hana EPL ni vumbi na hug na vicheko ndo anavyo. Kuna kosa?
Kocha wako Sarri ameshafikia umri wa kustaafu hana hata kikombe cha kahawa.
CV ya kocha wako nini zaidi ya uvutaji wa sigara utadhani alizaliwa Tabor a kwenye mashamba ya TumbakuKwa hiyo mimi kuja kuleta statistics za Klopp 3 years hana EPL ni vumbi na hug na vicheko ndo anavyo. Kuna kosa?
Ameshinda kombe gani? Acha,storyYeye ndo alijitahid kuleta competition kwa Juventus. Napoli ile imesimama vile kwa sababu yake mpaka wachezaji wanamsifu kina Allan na Koulibally. Msimu uliopita unakumbuka nadhan alivyopunguza gap. Ila me nataka tuhesabu miezi yake miwili pale Chelsea na philosophy yake inavyoenda vizuri. Ameichukua timu kutoka kwa kocha mwenye philosophy ya kukaba Conte
kama Mourinho
Alijitahidi kuleta competition kwa Juve.......... kwa akili yako kabisa unahesabu haya ni Mafanikio ya Kocha.Yeye ndo alijitahid kuleta competition kwa Juventus. Napoli ile imesimama vile kwa sababu yake mpaka wachezaji wanamsifu kina Allan na Koulibally. Msimu uliopita unakumbuka nadhan alivyopunguza gap. Ila me nataka tuhesabu miezi yake miwili pale Chelsea na philosophy yake inavyoenda vizuri. Ameichukua timu kutoka kwa kocha mwenye philosophy ya kukaba Conte
kama Mourinho
Alijitahidi kuleta competition kwa Juve.......... kwa akili yako kabisa unahesabu haya ni Mafanikio ya Kocha.
Dah! Goli tuliloconcede limeniuma sana.. Hatukustahiki Kuconcede kwenye hii game.
Washabiki bhana! Eti Wanasema Moreno an gundu (Cursed)... 😀😀😀
Mechi Yake Ya Kwanza Kuanza ya EPL ndiyo iliyovunja Rekodi ya Liverpool Ya Kuto Kufungwa Goli lolote Kwenye EPL kwenye uwanja Wa Anfield tokea February...
Hahaha, ila kabla ya goli kuingia tulikuwa so relaxed, kama vile tunajua hatuwezi kufungwa kabisa.
Baada ya kufungwa ndo tukaanza kukaza.
Toka msimu umeanza nimeona kwamba hatuchezi kwa umakini mkubwa tunapokutana na hizi mediocre teams, ila tukicheza big games tunakuwa makini sana.
Mfano nikiangalia performance vs Tottenham, PSG, Man City na Chelsea ni games tumecheza vizuri sana kupita tunavyocheza na vibonde.
Nadhani kuna umuhimu wa kutodharau mechi ili tuweze kutengeneza magoli mengi na kusecure game mapema.
Sawa karibu sanaJioni Nitawaibukia! Nipo Burnley mwanzo mwisho.
Lazima uweke lengo kama huna lengo na wachezaji wa kukufanya ufikie hilo lengo utaishia kulialia tuShona tulia sasa kama unazungumzia wakati ujao
Aje yeyote mi napiga tu watatukuta wenyeji hukoLabda Kikombe Cha Babu Manake Athletico Madrid na PSG wanakuja huko Futuhi sijui utapambana vipi!!!!
Mkuu Kimario nakuhakikishia Leo point 3 hupatiSawa karibu sana
Tatizo hilo la Kudharau Game vs Vibonde so Kwa Timu tu Hata sisi washabiki tumeshakuaa hivyo Kwani Mimi Akikaa VVD-Gomez kwenye CB basi tukicheza na Kibonde huwa ninajiamini Kwa 100% kuwa Hawaingizi goli Hata la kubahatisha.
Kwahiyo naona kama tunapiga mazoezi tu.
Unajuwa defence nzuri inakufanya ujiamini!!!
Lakini akicheza Lovren tu basi sina amani Kwa dakika zote 90+ manake nahisi muda wowote goli litaingia golini kwetu.
Umri wa kustaafu kwani umeambiwa ile ni kazi ya serikaliKocha wako Sarri ameshafikia umri wa kustaafu hana hata kikombe cha kahawa.
Jana sub ya Firmino ndio ilitaka iharibu gemu, Cardiff wakafanya sub mbili za fasta waliingiza washambuliaji goli wakaipata!!Hahaha, ila kabla ya goli kuingia tulikuwa so relaxed, kama vile tunajua hatuwezi kufungwa kabisa.
Baada ya kufungwa ndo tukaanza kukaza.
Toka msimu umeanza nimeona kwamba hatuchezi kwa umakini mkubwa tunapokutana na hizi mediocre teams, ila tukicheza big games tunakuwa makini sana.
Mfano nikiangalia performance vs Tottenham, PSG, Man City na Chelsea ni games tumecheza vizuri sana kupita tunavyocheza na vibonde.
Nadhani kuna umuhimu wa kutodharau mechi ili tuweze kutengeneza magoli mengi na kusecure game mapema.