Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sikufika kwa sababu nilitolewa.

Wewe uliyefika ulichukua nini?

Mshindi wa pili???! Haha...
impact yake kufika fainali ni mpaka kusajili wachezaji wanakuja wenyewe bila kuwabebeleza...Chamberlin aliwakataa...Shaqir hakufikilia mara mbili, VD nae aliwakataa n.k...
ukiongeza na mapato ya TV inakua sio kama wewe ulieishia njiani...
na msimi huu upo dodo cup hivyo ya UCL tafadhali kaa mbali
 
Inauma sana lkn ni deflection huwezi fanya lolote
Next game na Arsenal
Insha'Allah tutafanya vyema!
aaaa the gooners kwao, have watched couple of thier games na wanashambulia mpaka mabeki na kuacha defence yao ikiwa kind of open...kama watacheza vile aaaa tutawapiga mengiiii...hope hio game this players il turn up thier perfomance iwe shwariiiiiiii
 
Huyu Klopp sub zake zitakuja tucost, sikatai Milner ni bora lakini ukitaka kuwa bingwa inabidi utarget kujilinda na kushambulia sass tunaongoza 2-0 huku backline ipo vizuri mbele firmino anazngua... Anamuacha Sturidge anamuingiza Milner kwa Firmino kweli?
 
Mulianza na Nyimbo ya September is coming...
Mukaja October is coming...
Now badala ya kuingia kwenye Nyimbo mpya ya November is coming mumeanza kuja na Mipasho ya Mbio za sakafuni?
Hawajui haya mambo ni one step at a time. Uki slip ukajidai nitajipanga ndio ushaachwa wenzio wanapeta tu
 
Mulianza na Nyimbo ya September is coming...
Mukaja October is coming...
Now badala ya kuingia kwenye Nyimbo mpya ya November is coming mumeanza kuja na Mipasho ya Mbio za sakafuni?
And now #Unai_isComing..

Ukumbuke Klopp ana historia mbaya SANA kwa Emery Unai. Hajawahi kushinda!

#Unai_isComing.
 
And now #Unai_isComing..

Ukumbuke Klopp ana historia mbaya SANA kwa Emery Unai. Hajawahi kushinda!

#Unai_isComing.
watu wengine bhana ila ndio ushabiki kwenye ishu ya historia ya liver kwenye vikombe before 1990 mnasema history doesn't matter ila kwa klopp na unai now history is matter why dont you be consistence
 
Sub ya Milner kwa Firmino kazingua labda kwasababu tumecheza na Cardiff madhara yake atujaona



Asijaribu huu upuuzi kwenye gemu kama ya Napoli au City tunaeza shtuka tupo mortuary siku hiyo
 
ila my fellow liverpool fans leo kwenye sub klopp kajitahidi maana sometimes anazinguaga ungeshangaa angemtoa fabinho na kumuingiza solanke
sub msimu huu hajatuzingua sanaaa na kipindi kile Solanke alikua anaingia maana benchi ya sub haikua kama sasa hivi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom