Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Man U wamefunguliwa midomo leo ajabu, yaani utazani michuano imeisha jana wakati ndo kwaaaanza ligi imechanganya na kuna marudiano, acheni uzwazwa komaeni na vitimu vyenu ambavyo mnapambana kuvikwamua kutoka kwenye matope
 
Yani Katika Siku Tuliyocheza Vibaya Zaidi ya Vibaya basi Ni Leo! Ndani Ya Dakika 90' hatujapiga ON TARGET Hata moja.
Lukub. Alitoa koment kuwa liver wanacheza kwa kuvizia... Napoli anacheza mpira mwingi...naona ulimvaa kweli kweli.

Sasa umekubali aliyoyamanosha. Time will tell..Tena soon as possible. Front 3 yenu hiyo subiri.
 
Ndiyo soka,Napoli walikuwa wazuri sana uwanjani zaidi yetu
Tumefungwa pia bao dakika za mwisho sana
Hakukuwa na muda wa ku respond
Tunarudi nyumbani Anfield kwa mechi ya Jumapili
WE WILL BOUNCE BACK
Kinachomata ni ushindi tu haizalishi umeshinda muda gani.
 
Na Tusiwe Wabishi Jamani Mapenzi Ya Timu Yasiwatie Watu Upofu! Ukweli Ni Kwamba Front 3 yetu imekwisha! Tunailazimisha tu na Kuipa Sifa isizosatahiki lakini ukweli Ni Kwamba Hawawezi Kuscore Hata Kwa Mademu Zao.

Hivi Washambuliaji gani Wanatoka na 0 on target Kwa Dakika 90 nzima.
Mkuu king Gwaba. Nafikiri ni kwa sababu ya timu pinzani...front 3 yenu ni fire. Ila Mambo huwa yanabadilika uwanjani.
 
Leo mtasema timu mbovu
Kesho mkishinda timu yetu imekamilika hamtuwezi
Tukutane Anfield Tar 7
Khe khe khe khe khe khe khe khe khe . Umeua bendi timu ikifunga imekamilika ikifungwa mbovu. Khe khe khe khe
 
no panicking fellow Reds.

kwenye group stage msimu uliopita hata R Madrid alikung'utwa 3-1 na Spurs. sote tunajua kilichotokea come May 2018.

after all, tupo nafasi ya 2 kwenye group letu.

ninahisi Klopp aliwa instruct vijana wake wa conserve energy kwa ajili ya Sunday showdown vs Man City. criticism yangu kwake ni kufanya substitution very late and incorrectly bila kuzingatia flow ya game.
am sure na yeye hili atakuwa ameliona.
 
Matokeo ya Liverpool yamefutwa na necta yatarudiwa tena yatakapotangazwa hivi karibuni
 
Sturridge alitakiwa aingie dk ya 50 tu, Salah akae bench ajitathmini upya. Maamuzi mabovu ya Klopp, na mchezo mbaya especially kiungo na the front three ndiyo vimetuuwa leo.
Tulikuwa hovyo sana!
Kabisa!
Kumbe walivyosema Buvac ni brain ya Klopp ni sahihi aisee...yaani we have become a completely different team from that of last season!
Dah, washabiki sio watu kabisa, yaani kupoteza kamechi kamoja tu mmeshambadilikia Klop, Ni matokeo tu lakini bado mnachance kubwa sana ya kuprogress.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom