Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Keita has not lived to our expectations, Fabinho sijui kwa nini mpaka leo (jana kacheza dakika chache sana), Salah is a shelf of himself, Mane is just doing B.S, Firmino anajitahidi lakini sioni kama ana link nzuri kwa sababu wenzake wa kusaidiana nao wamechoka.
Mane anapokea pass, anakaa nao akitaka kupiga chenga chenga watu wanachukua, na anazidi kirudia rudia makosa hayo hayo, Salah hata lango la goli halioni liliko, au anapigia pasi golikipa.
Kocha awaweke benchi Salah na Mane, otherwise game zitaanza kuwa draw muda si mrefu.
Halafu sub za dakika ya 75 kuendelea huwa siyo za kutafuta matokeo, ni za kulinda ushindi. Sasa mtu kama Sturridge, game kadhaa kaonekana kuliona lango vizuri unamleta dakika ya 86/87!
Ili aje kufanya nini?