Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Man U wamefunguliwa midomo leo ajabu, yaani utazani michuano imeisha jana wakati ndo kwaaaanza ligi imechanganya na kuna marudiano, acheni uzwazwa komaeni na vitimu vyenu ambavyo mnapambana kuvikwamua kutoka kwenye matope
mashabiki wa arsenal, Chelsea na man u wana furaha kuliko wewe, wewe haujawai kuona Liverpool imebeba ubingwa wa ligi kuu live labda you tube, Maisha yako yote ya kuishangilia Liverpool yamkini umeona Liverpool ikibeba kombe 2006 na vi Fa kadhaa havizidi 3,carling sijui 1 sikumbuki lini maana team yenu yah makumbusho. Povu ruksa.
 
Ndiyo soka,Napoli walikuwa wazuri sana uwanjani zaidi yetu
Tumefungwa pia bao dakika za mwisho sana
Hakukuwa na muda wa ku respond
Tunarudi nyumbani Anfield kwa mechi ya Jumapili
WE WILL BOUNCE BACK
Hahahaha This is October

Unaambiwa usitukane mamba kabla hujavuka mto!

Muda sio mrefu sana; Unaweza jikuta kwenye gemu za alhamisi ...
 
Ni mapema mno kusema Liverpool ni wasindikizaji, at least sio katika group stage
Bado mechi nne, moja ya kukamilisha mzunguko na tatu za marudiano.
Izo za marudiano unaweza shinda moja tu.

#Alhamisi_inakuhusu.
 
Mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Man U wamefunguliwa midomo leo ajabu, yaani utazani michuano imeisha jana wakati ndo kwaaaanza ligi imechanganya na kuna marudiano, acheni uzwazwa komaeni na vitimu vyenu ambavyo mnapambana kuvikwamua kutoka kwenye matope
Wasiwasi wako tu kumsema marehemu si vizuri tusubir 40 zipite mwili bado haujaoza.
 
Mimi nilivyoiangalia hii game almost kipindi cha pili chote sikuwa na shaka na haya matokeo, jamaa wamecheza kwa nia ya kutafuta ushindi.
Then kingine jamaa mbona Salah amekuwa mtu wa kupoteza mipira hivi ? Mpira ukiwa kwake hauna matumaini ya kubaki kwetu lazima watauchukua tu maadui .
Salah ni aina ya wachezaji wanaotamba msimu mmoja tu,
 
Leo mtasema timu mbovu
Kesho mkishinda timu yetu imekamilika hamtuwezi
Tukutane Anfield Tar 7

Khe khe khe khe khe khe khe khe khe . Umeua bendi timu ikifunga imekamilika ikifungwa mbovu. Khe khe khe khe

Sijawahi ona timu yenye mashabiki wa kinafiki kama hii.

Tofautisheni Kati ya Timu Mbovu na Kucheza Vibaya...

Hatukusema Timu Mbovu! Bali Tumesema Tumecheza Vibaya Zaidi ya Vibaya..

Bado Tunaimani na Timu Yetu Kuwa na Nzuri na Ni ya Ushindani.

Nahisi Huu Unafiki Unawarudia Nyinyi Wenyewe.
 
no panicking fellow Reds.

kwenye group stage msimu uliopita hata R Madrid alikung'utwa 3-1 na Spurs. sote tunajua kilichotokea come May 2018.

after all, tupo nafasi ya 2 kwenye group letu.

ninahisi Klopp aliwa instruct vijana wake wa conserve energy kwa ajili ya Sunday showdown vs Man City. criticism yangu kwake ni kufanya substitution very late and incorrectly bila kuzingatia flow ya game.
am sure na yeye hili atakuwa ameliona.
Hahaha unajaribu kufananisha kufungwa kwa Madrid na wewe kufungwa jana?

Liverpool na Madrid ni timu mbili tofauti kabisa.

Uyo Madrid unayemtolea mfano alikunyoosha tatu final.

Ivyo take care unapotoa mifano yako.
 
Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
 
mashabiki wa arsenal, Chelsea na man u wana furaha kuliko wewe, wewe haujawai kuona Liverpool imebeba ubingwa wa ligi kuu live labda you tube, Maisha yako yote ya kuishangilia Liverpool yamkini umeona Liverpool ikibeba kombe 2006 na vi Fa kadhaa havizidi 3,carling sijui 1 sikumbuki lini maana team yenu yah makumbusho. Povu ruksa.
Hapa umegonga poiti.......ligi kuu currently ni ya Chelsea na man city...wanabadilishana since 2012 Hadi leo
 
Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua

Kwenye Ligi Unarun kwa 38 games ndiyo Concept ya Ugumu inapoanzia...

Kwenye CL Ni game of Chance ndiyomana unakutia Liverpool kamfunga PSG aliyebora lakini Kafungwa na Napoli anayestruggle...

Man City Kafungwa na Lyon lakink usijeshangaa Kuwa Man City ataoongoza Kundi...

Kwahiyo Hapa bado Game of Chance inashika nafasi Yake.
 
Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua

Liverpool FC imekumbwa na upepo wa wachezaji kuwa kwenye viwango vibovu, toka ligi imeanza, na kupelekea timu kupata matokeo ya kibahati bahati.

Kwa mfano, kuna kauli za:-

1. Cha muhimu tumepata point 3
2. Tungecheza vizuri tungepata hata magoli 4
3. We are winning ugly, etc.

Hapo kunaonesha kuna tatizo kubwa, toka msimu umeanza, ni game ya PSG peke yake nimeona Liverpool ikicheza mchezo ambao kwangu ni A+ rated, game ya Tottenham ilikuwa B+ (it could have resulted into a draw had referee offered that penalty, we had a chance to seal the game before and we didn't).

Game tuliyo draw na Chelsea fowardline zilikuwa usingizini, na lile goli la Sturridge ilikuwa ni uwezo binafsi, siyo game plan, game ilikuwa inapotea bila goli.

Liverpool tulitegemea kipindi hiki ambapo defence iko sold tuwe na margin nzuri ya magoli lakini katikati ni kubovu, mbele ni kubovu.
 
Sina Sababu yoyote ya Kujitetea Kwanini Tumepoteza Mchezo Wa Jana..

Lakini sina Panicking yoyote Kwani Najua Bado Timu Tupo Vyema! Kupoteza Mchezo Wa Jana Ni Matokeo tu Ya Kuwa Tumecheza Vibya..

Ila ikumbukwe Kuwa Kupoteza Mchezo Wa Jana Has Nothing to do With our Next game.

Next game Ni kiti chengine different na Hichi ambacho kilitokea Yesterday..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom