Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Tusiwe Wabishi Jamani Mapenzi Ya Timu Yasiwatie Watu Upofu! Ukweli Ni Kwamba Front 3 yetu imekwisha! Tunailazimisha tu na Kuipa Sifa isizosatahiki lakini ukweli Ni Kwamba Hawawezi Kuscore Hata Kwa Mademu Zao.

Hivi Washambuliaji gani Wanatoka na 0 on target Kwa Dakika 90 nzima.
Wasenge week hii tuwakate mishahara.
 
Kupoteza mechi moja ugenini ndiyo hana alternative?
Kwa mtazamo wako labda
Lakini mim still nina matumaini ya kufany vzur hatua hii coz nikiitoa mech ya PSG ambayo naomba droo, sioni mech ya kupoteza tena
 
Uchambuzi wa kitoto kabisa
Eti sababu huyu hayupo!
Napoli kashinda kwake,kuna ubaya gani?
Nani alikuwa majerhi SPURS alivyo pigwa?Au wao Spurs hawamiliki mpira?
Uchambuzi wa hovyo sana
Endelea na mpira wa kuvizia na kutegemea bahati Spurs ana miliki mpira hupi? Zinapigwa one two wanakaba kwa macho ntarudi tena baada ya gemu ya city😂😂😂😂 mpira wa kuvizia hauna nafasi ukimbie kimbie halafu ushinde.unashinda spurs hayupo Hugo na dele alafu unatamba
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 endelea kusubiri embe kwenye mnazi jiandae na kipigo kingine kutoka kwa city mbinu zenu za kukimbia hovyo watu wamezijua unapigiwa moja moja
duu kweli mlitega itokee hivi muanze kicheko sidhani kama kuna shabiki wa Liverpool aliesema tutamaliza msimu bila kufungwo...
kumbuka huu ni mzunguko wa kwanza ipo nafasi ya kuyafanyja kazi mapungufu ya leo, kufungwo wakati mwingine hua ni wake up call kwa wachezaji na kocha..usiangalie upande mmoja tu leo.
Leo kufungwo ni halali kabisa maana tempo yote ilipotea...
 
kwa mara nyingine tena upungufu wa 4-3-3 umeonekana laivu bila chenga...
Klopp lazima akae atafakali hawa front three kwa sasa na huo mfumo wanawachosha wachezaji wengine maana wanapoteza mipira mingi ajabu na pia pasi wenyewe kwa wenyewe imekua mtihani sana, zile clear cut passes hakuna kabisa..
Mabeki na kipa leo wamefanya kazi kubwa sana ingekua sio hilo goli moja....
 
Tatizo sio kufungwa ugenini............ Front three yetu inahitaji New alternative approach hii imeshafeli kabisa unacheza Dk 90 bila Short on target huoni ni tatizo hili.
Salaam
IMG-20181004-WA0000.jpeg
 
Game ya leo imenifanya nimchukie henderson sana!! alivoingia ndo akaharibu game kabisa...

Its high time now!! wamvue u captain kabisa

(To me) he is useless!!

Mimi siku hizi nikimwona Henderson na assume tunachezea bahati, kwa hiyo hata tukifungwa inakuwa sawa.

Shaqir na Sturridge wapewe muda, hizi sub za 87' sizielewi kabisa.
 
Sub za Klopp ovyo. Sub ilikuwa ya Salah saa nyngi. Au Henderson asingeingia, angeingia Shaqiri ili Milner acheze holding mid. Mbele aingie studge, Salah atoke. Henderson is 0 creative.
 
Kwanza niseme wazi kuwa leo timu imecheza hovyo hovyo balaa, yaani it was extremely poor performance.

Pili niseme wazi kuwa Klopp leo maamuzi yake hayakuwa sahihi hata kidogo, especially baada ya kipindi cha pili kuanza. Mtu kama Salah hakutakiwa kurudi kipindi cha pili, ilitakiwa nafasi yake ichukuliwe na Shaqiri. Pia Firmino ndiyo angetoka nafasi yake aingie Sturridge. Kitendo cha kusubiria mpaka dakika ya 88 ndiyo unamuingiza Sturridge ni upuuzi. Mimi siyo kocha lakini niliona mapungufu ya wazi kabisa, nashangaa yeye Klopp kwa nini hakuyaona hayo.

Tatu niseme wazi kuwa mchezaji kama James Milner kwa umri wake na mechi zote anacheza siyo sahihi, ni wakati sasa wa Fabinho kuanza kucheza. Last season hatukuwa na depth kwenye squad yetu kwahiyo it was understandable wachezaji hao hao kucheza daily, this season Klopp afanye rotation ya akili.

Nne niseme wazi kuwa kwenye timu yetu kuna wachezaji washajua wao ni a must first eleven players, kwahiyo wameanza kubweteka...kocha afanye kazi yake hapo.

Mwisho niwapongeze Napoli although walitakiwa watupige kama nne hivi, maana leo tulikuwa hovyo sana!
Tukiendelea kucheza hivi tumekwisha, tutakuwa tunapigwa za kutosha.
 
Salah anacheza ovyo mpaka unamtaman yule winger wa Crystal palace (Zaha)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom