Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Sab ya Stirridge haikupaswa Kufanyika dakika ya 87 kwani Ni Vigumu Kuleta Impact moja kwa moja.

Alipaswa Kuingia dakika ya 75 kuchukua Nafasi ya Mo Salah.

Sturridge alitakiwa aingie dk ya 50 tu, Salah akae bench ajitathmini upya. Maamuzi mabovu ya Klopp, na mchezo mbaya especially kiungo na the front three ndiyo vimetuuwa leo.
Tulikuwa hovyo sana!
 
Ila me naona kama wachezaji wamechoka sana hasa hawa wa mbele mechi kubwa nyingi rotation inakua ngumu kwa kocha na team imetengenezwa kumtegemea salah moto wa mwaka jana au ule wa psg haka ka Napoli kalikua kanakufa siyo chini ya3
 
Je wajua David Ospina Kipa wa SSC Napoli kapiga pasi nyingi kuliko Salah, Fermino na Allison Bakari ukijumlisha..



Tuimbe Wote Napoli Huendi Mbinguni
Ila ukweli ndio huo huendi mbinguni,
Yan huo ndo ukweli huendi mbinguni
 
Je wajua David Ospina Kipa wa SSC Napoli kapiga pasi nyingi kuliko Salah, Fermino na Allison Bakari ukijumlisha..



Tuimbe Wote Napoli Huendi Mbinguni
Ila ukweli ndio huo huendi mbinguni,
Yan huo ndo ukweli huendi mbinguni
Dah
 
Je wajua David Ospina Kipa wa SSC Napoli kapiga pasi nyingi kuliko Salah, Fermino na Allison Bakari ukijumlisha..



Tuimbe Wote Napoli Huendi Mbinguni
Ila ukweli ndio huo huendi mbinguni,
Yan huo ndo ukweli huendi mbinguni
Sio kweli mkuu. Tumeangalia mechi mkuu
 
Mmeyapata magoli.
Kuna Watu Wanaoangalia Mpira na Wanaotolea Macho TV...

Mtu anawasifu Napoli wameupiga Mwingi Lakini Anashindwa Kuangalia Je Wamefanya Mashambulizi gani??

Mpaka HT Napoli wamelenga On Target Moja tu!! Lakini Still anakuja Mtu anasifu wanaupiga Mwingi....

Hivi Mpira Ni Pasi na Chenga Nyingi??? Jamani Possession haina Points..

Wacha Wao Waupige Mwingi, Sisi Tunatafuta Magoli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom