Endelea kuotaHapa jogooo lazima anyonyolewe kwa mpira huu mbovu mnaocheza kupata nafasi mbili za juu ni ndoto
Ni kweli tunacheza vibaya. Labda tunahifadhi nguvu kwa Man City.Hapa jogooo lazima anyonyolewe kwa mpira huu mbovu mnaocheza kupata nafasi mbili za juu ni ndoto
Teh teh teh poor liverpoolNi kweli tunacheza vibaya. Labda tunahifadhi nguvu kwa Man City.